JWTZ ina vikosi vingapi?


mimi hunijui vyema mkuu,ni mtu ambaye naandika sana maelezo kuwahusu wanajeshi humu hata askari wa taasisi nyingine.

kuhusu ndevu nilimaanisha nilichokiandika,kwamba wanajeshi kufuga ndevu huo sio utaratibu wa kawaida,nia yangu ilikuwa zaidi kuelezea namna mapinduzi yalivyofanyika na uimara wa jeshi husika.

hapa bongo wanaofuga ndevu wapo,ila hata wewe hujawahi kukutana nao kwanini unadhani???
 

Sasa kama iko hivyo ulitaka hao makomando wafanyaje ikiwa waliwekwa chini ya ulinzi wa serikali?
 

Mkuu sio kwamba tunakutana nao ila hatuwajui?
 
Hao waliovaa mabaka na kofia nyekundu ni kutoka kamandi ya nchi kavu kikosi maalum(komandoo)
Hao waliovaa kama nyeusi/dark blue ni kutoka kamandi ya maji kikosi maalum ie ni makomandoo lakini wa navy
Komandos wako navy, infantry na airwing

Na wanatofautiana kwa ballet zao kichwani

Infantry wanavaa damu ya mzee sio nyekundu(nyekundu ni mp)

Navy wanavaa zile dark bluu (chelsea)

Airfore sijui wanavaa rangi gani maana za wa kawaida ni ni light blue
 
Wapo wengi mkuu. Huwa nawaona sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…