Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,902
- 11,395
Swali langu ni dogo tu. Wakristu na wengine wataathirika vipi kama tukijiunga na O.I.C?
Kwa kupinga tu kwa vile kinahusu waislamu kunawapa upenyo wenye nia mbaya kupenyeza suala la Mahakama ya Kadhi. Hawa wanawaambia wenzao, wakristu watapinga chochote chenye manufaa kwa WAISLAMU na haya mahakama wanayapinga kwa sababu tu yatawafaidia waislamu kama wanavyopinga OIC! Kwangu mimi hayo Mahakama ya Kadhi kwa muundo wanaopendekeza hayana tija kwa taifa letu, wakristu, waislamu na wengine. Kwa kuyaingiza katika katiba tutakuwa tumekubali system mbili tofauti za haki ziende sambamba. Hii ni hatari sana na inastahili kupingwa na kila mwenye nia njema na nchi yetu.