Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Hayo maswali nafikiri ni muhimu watu wanaojua watujibu. Sidhani kwa jinsi maisha yalivyokwisha kuwa westernised namna hii watu waisilam watakubali mambo kama ya mirathi yaende huko kadhi!!

Mr. Zero,

Kumbuka kwamba hata waislamu wenyewe; wengine wanaweza wasitumie mahakama hiyo, hii ni kwa wale wenye imani thabiti, kumbuka dini zote zina wenye imani thabiti na pia wenye imani ya bora liende...

Na ni ruhusa kwa waislamu kuamua wasitumie mahakama ya kadhi, issue ni haki ya wale wanaotaka ku-practise uislamu fully ndio lazima wapatie fursa ya kumuabudi Mungu wao
 
HILI HALINA USHABIKI, WAISLAMU WANATAKA HILI KWA KUWA KITABU CHAO KINATAMKA HIVYO.

Kitabu chao kinatamka mambo mengi, kwanini wasiyadai yote? au mengine ni muhimu na mengine si muhimu?

WAKRISTO KITABU CHAO HAKITAMKI HIVYO, NA WAKRISTO NI WATU MAKINI WAWEZE FANYA MAMBO KISHABIKI KAMA WANASIASA

Wakatoliki wanayo Mahakama ya Kanisa inayoongozwa na Code of Canon Law (Sheria za Kanisa). Mahakama hii inahusiana na mambo yote yanayohusu utawala wa Kanisa Katoliki (Administration), mambo matakatifu (Sacred Things), na mambo ya uhalali wa ndoa. Padre wa Kikatoliki akiona anaonewa na Askofu wake au kiongozi mwingine wa Kanisa, anaweza kuchagua kwenda mahakama ya kawaida (kama suala ni la kiuhalifu au linahusiana na sheria za nchi) au anaweza kwenda mahakama ya Kanisa (kama suala ni mambo ya utawala wa kanisa, sakramenti n.k). Akiamua kufuata mahakama ya Kanisa, kwenye kila Jimbo kuna watu ambao wamesomea shahada za sheria za Kanisa na ana haki ya kupata mawakili wa Kanisa n.k Mahakama hiyo hukutana na kusikiliza shauri hilo na kuleta ushahidi wote na hatimaye kulitolea maamuzi. Endapo padre huyo hatoridhika basi ana haki ya kukata rufaa Roma kwenye kitendo kinachohusika, na baadaye mahakama ya juu kabisa ya rufaa ya Vatican, na mwisho kwa Baba Mtakatifu.

Sasa, Mahakama hii imeanzishwa na inaendeshwa na Wakatoliki wenyewe na haipati ufadhili, haijatungiwa sheria, na wala haisimamiwi kwa namna yoyote ile na Serikali. Mahakama hizi zipo katika nchi za kikatoliki na zisizo za kikatoliki alimradi eneo hilo wakatoliki wamepata utambulishi rasmi na wameridhiwa kuwa muundo wao.

Kutokana na hilo:

a. Kwanini WAislamu wasikae chini pamoja na kutafuta jinsi ya kuanzisha Mahakama ya kadhi, kukusanya sheria zitakazohusika, kujadili jinsi ya kuzigharamia n.k

b. Kwa vile mahakama hizi zitawahusu Waislamu peke yao, Bunge litawezaje kuziundia sheria wakati Katiba inakataza sheria za kibaguzi aidha kwa moja kwa moja au kwa taathira zake?
 
Kama hatutaki kujuana kamwe nchi yetu haiwezi kupiga maendeleo wala matatizo yetu ya msingi hayatakwisha.

Uislam hauwezi kuwa Ukristo na kinyume chake. Amani itakuwapo kwa kujuana na kuheshimiana. Tunaongozwa na chuki hata michango ya wenzetu hatuisomi.

Tungekuwa kwenye mazingira ya kusikilizana tungeelimishana kisha tujadili kama kwa kuanzisha mahakama ya kadhi watu wa dini nyingine wataathirika au la. Hatujafika na hatuwezi kufika huko kwasababu sisi watanzania ni wanafiki na tunaongozwa na chuki za kupandikizwa.

Hutujui sheri za Kiislam zinasemaje na mipaka yake. Mtu hajui kuwa katika uislam utekelezaji wa sheria zinazohusu ndoa,talaka na mirathi ni tofauti na sheria za makosa ya jinai kama wizi, uzinzi nk.

Watu wanadai mahakama ya kadhi itatumia kodi za raia wote wakati itashughulikia dini moja, mbona mahakama za Biashara, Ardhi, Watoto nk zinatumia kodi za raia wote wakati raia wengine mahakama hizo haziwagusi.

Kenya leo wana kadhi, wanabenki ya kiislam lakini umesikia wapi wakristo wa Kenya wakilalamikia hayo. Tumekataa OIC kwa chuki hizo hizo licha ya kuwa misaada yao ingelisaidia taifa na si waislam pekee. Imetolewa mifano ya nchi za waafrika wenzetu, jirani zetu, na kwenye wakristo wengi walio jiunga na OIC – Uganda, Msumbiji nk. Yote tunayopigia kelele hapa kwetu kule hakuna.

Zilipigwa kelele sana hapa waislam walipoomba ruhusa ya kuvaa hijab mashuleni. Ikaonekana nchi inataka kutumbukizwa katika machafuko; kiko wapi mbona leo hijab zinavaliwa mashuleni na amani ya nchi ipo kama zamani – tujuane tuishi vizuri. Na kwa wasioelewa ni kuwa kuna waislam wasiovaa hizo hijab lakini kwanini tuwazuie wenye kutaka kuvaa?

Tujuane, sote ni watanzania.
 
Hatutaki kujuana.

Tunao wakristo wachache sana kama akina marehemu Prof Chachage ambaye aliwaambia waliomuuliza juu ya rais Kikwete kuteuwa mabalozi watano waislam watupu: "kabla ya kujibu swali lako itabidi kwanza tutafute idadi ya mabozi wote tulio nao tuone waislam ni wangapi na wasio waislam ni wangapi"

Wako wapi wakristo wenye mamlaka kwenye taasisi muhimu wanaoweza kuwa kama Prince Bagenda ambaye anatowa ruhusa kwa muislam akiwa kazini kwenda kuswali bila hata kumwambia, muhimu tu muislam huyu awe mchapakazi. Huyu anawajuwa waislam na namna ya kuishi nao.

Mwisho nimalizie kwa kumwambia mwanakijiji na watu wa aina yake kwamba nchi yetu inauawa na itaangamia kwa siasa za chuki.

Angalia utendaji wa Dr Ramadhani Dau na Dr Idrissa Rashidi na makelele yasiyo na msingi yanayopigwa dhidi yao. Hawa ni waislam wanaongia msikitini na wacahapakazi wazuri. NSSF ilikuwa imejaa uozo (aliyekuwapo pale ni muislam), Tanesco ndio usiseme lakini nenda leo ukaone kazi anayofanya Dr Idrissa na mafanikio ya NSSF ya sasa yanajulikana. Sasa angalia anachofanya Balali benki kuu aliyechukuwa nafasi ya Dr Idrissa. Kinchotuua kama taifa ni kukosa uzalendo na chuki zisizo na msingi na wala si mahakama ya kadhi.
 
suppose wewe umeoa, mkeo anafanya kazi n a wewe pia una kazi nzuri. mmeshirikiana kujenga nyumba, kuanzisha miradi na mmejaliwa kupata mtoto mmoja wa kike. Bahati mbaya sana (mungu apishe mbali) ukatangilia mbele ya haki. Utaridhika mkeo apate mgao wa kathumuni kwenye mirathi yako? Au pengine unieleweshe mgao hapa utakuwaje kwa mkeo na mwanao.

Kwa bahati mbaya sina details sasa, lakini haki amepewa kila mtu kwenye sheria ya ndoa ya kiislamu.

hapa ndio kazi ingine inazuka. Nani atasomesha hao mahakimu Qoran? watkuwa wapya au ni wale ambao tayari ni mahakimu?
na Je, ajira ya waislam katika mahakama za kawaida itasitishwa ili ku-balance ajira kati ya waislam na wakristo katika idara ya mahakama?(au mahakama ya kadhi haitakuwa chini ya idara ya mahakama, maana inaweza kuongozwa na makafiri)
Katika kusomeshwa, at whose expense? kama ni serikali itagharamia, ita-justify vipi hizo kodi za wakristo?
na kama watajilipia, ni kigezo gani kitatumika kuhakikisha baada ya kusomeshwa wataajiriwa?
Hizi ndio complications ambazo zinafanyafanya/justfy, waislamu wanatake mahakama yao, yenye mahakimu wao wanaojua katiba yao [Quoran].

Mahakama za Kiserikali huwezi kuzichanganya na kuzipa mambo ya dini,,, kumbuka kwenye idara ya mahakama ya serikali pia kuna mahakama mbalimbali za ardhi, biashara, etc... ikimaanisha specialization is key ili kutoa haki.

In terms of resources sifahamu, lakini serikali yaweza amua itoe resources kwa wananchi wake ikipenda,,, nakumbuka kuna siku mkutano mkuu wa bakwata uligharimiwa na serikali enzi za mkapa, na kumbuka hivi karibuni chuo cha dodoma ilikuwa majengo ya serikali hivyo... waislamu ni wananchi wa serikali,,, details sina.

Hili la resource litachambuliwa, ingawa naamini hatuwezi kutumia resource issue kama sababu ya kumfanya mtu mwingine asimwabudu Mungu wake, at the same time, huwezi kumuumiza mtu mwingine,,, haya yanafanyiwa kazi. sina details

wezi, wagoni,wabakaji..wana adhabu zao ndani ya sheria za kiislam; haya sio makosa ya kiutendaji, ni jinai kamili. waislam watakubali kuona wagoni wao wakilipishwa faini ya sh 20,000 mahakama ya kawaida wakati mahakama ya kiislam ipo?
civil law na mahakama ya kawaida itafanya kazi yake,,, nchi haiongozi na sheria za kiislamu... ingawa kuna sehemu moja tu... sina unahakika nayo,,, nadhani kama ni waislamu wamekoseana wawili wamekoseana na kuamua kutatua kidini... inaruhusiwa.. mheshimiwa sina details hapa.

Wrong! Given time naweza kukuainishia sheria/vipengele rundo zima zinazokinzana na haki za binadamu kama zinavyojulikana na katika ulimwengu wa haki za binadamu:
Usually kwenye mambo ya civil laws,,, sio kwenye ndoa... na civil laws,,, sheria za mahakama za ki-serikali zitaprevail

Marekebisho ya kuingiza suala la mahakama ya kadhi linahitaji 'major uverhauling' its more like Katiba mpya, at least ndivyo ninavyoona

Kutoa haki ni gharama pia, kama ilivyo demokrasia ni gharama, ndio maana serikali inafanya uchambuzi makini...katika hili, kujua how many laws will be affected etc...
 
Hatutaki kujuana.

Tunao wakristo wachache sana kama akina marehemu Prof Chachage ambaye aliwaambia waliomuuliza juu ya rais Kikwete kuteuwa mabalozi watano waislam watupu: “kabla ya kujibu swali lako itabidi kwanza tutafute idadi ya mabozi wote tulio nao tuone waislam ni wangapi na wasio waislam ni wangapi”

Wako wapi wakristo wenye mamlaka kwenye taasisi muhimu wanaoweza kuwa kama Prince Bagenda ambaye anatowa ruhusa kwa muislam akiwa kazini kwenda kuswali bila hata kumwambia, muhimu tu muislam huyu awe mchapakazi. Huyu anawajuwa waislam na namna ya kuishi nao.

Mwisho nimalizie kwa kumwambia mwanakijiji na watu wa aina yake kwamba nchi yetu inauawa na itaangamia kwa siasa za chuki.

Angalia utendaji wa Dr Ramadhani Dau na Dr Idrissa Rashidi na makelele yasiyo na msingi yanayopigwa dhidi yao. Hawa ni waislam wanaongia msikitini na wacahapakazi wazuri. NSSF ilikuwa imejaa uozo (aliyekuwapo pale ni muislam), Tanesco ndio usiseme lakini nenda leo ukaone kazi anayofanya Dr Idrissa na mafanikio ya NSSF ya sasa yanajulikana. Sasa angalia anachofanya Balali benki kuu aliyechukuwa nafasi ya Dr Idrissa. Kinchotuua kama taifa ni kukosa uzalendo na chuki zisizo na msingi na wala si mahakama ya kadhi.

Nunungu,

Unakataa kuendeleza chuki, lakini hapa ndio unaweka petrol kwenye moto, kitachotokea unajua mwenyewe...

WanaJF,, namna nzuri ni kutojibu hoja hizi; chukulieni kama taarifa...
 
Kilitime,
I appreciate your position and admire the way you acted like a buffer zone against attacks towards Nungunungu's post.

majibu yako pia yanatia moyo kwasababu unasema kile unachojua bila kuongeza jazba ..
Ukweli ni kwamba kwenye suala la mirathi mjane mke hawezi kupata sawa, anapata moja ya nane ya mali zilizopo.(kathumuni)na hii kwangu naona ni mbaya sana hasa wakati huu ambapo mchango wa mama na baba katika familia ni sawa au hata mke anaweza kumzidi mume. Hiki kipengele ni dhambi to say the least

suala la kuwa na mahakama za ardhi, biashara nk hilo ni tofauti sana, hta kulinganisha itapoteza dira ya hoja hii.

MJJ ametoa mfano wa mahakama za Kikatoliki. Zipo, zinafanya kazi, lakini hazijawahi kuleta mgongano na katiba ya nchi, ingawa ni wazi kuwa zinagongana na sheria ya ndoa ya Kiserikali kwa kiasi fulani; na pia hazilalamikiwi maana hazimgusi asiyehusika.
Ikiwa mahakama ya kadhi itafanya kazi kwa mtindo huo wa mahakama za Kikatoliki sioni shida..tatizo nionalo hapa kwenye Kadhi ni kuingizwa kwa bunge/serikali katika uanzishwaji wake, na namna itakavyofanya kazi
 
Mwendapole,

Sure, mechanics haijaeleweka kwamba itakuwa vipi? Lakini napenda kukuhakikishia kwamba mashauri yatakayo pelekwa huko ni machache sana, kama ilivyo kwa wakatoliki na kwa kweli hayana athari yoyote kwa jamii... ni jambo lililo wazi tu kwamba huenda waislamu wengine sio wote wanapenda tu, haki yao waone ipo, ukiniuliza kwanini waislamu wasifanye kama wakatoliki, kwa kweli hata mimi sifahamu; Ingawa najua kwamba mahakama ya kadhi ina-apply kwa wale waislamu wawili (mtuhumiwa na mtuhumu) wanaporidhia kutumia mahakama hiyo...

Otherwise default mahakama, ni mahakama chotara (ya serikali)
 
Ninavyofahamu ni kwamba JK hakuhusika na kuliweka suala la kadhi katika ilani ya CCM. Walioiandaa hawakudhani kwamba ndiye angegombea, wala hakuhusishwa. Aliinadi tu katika kampeni lakini halikumtoma moyoni.

Baada ya kupata madaraka amekuwa akitaka kulifunika na kuliacha kabisa. Na mkakati wa serikali yake ni kulipiga danadana ili wakati upite. Waislaamu wataambiwa wawe na subira, linashugulikiwa, linatafutiwa maoni, waipe serikali muda, na kadhalika hadi JK amalize ngwe yake. MUda unaweza kuwa miaka 2,7,10 au hata 15.

Hii ndiyo dhamira ya serikali. Waandishi walishanyamazishwa kuliandika. Lakini kume kuna wasiojua kinachoendelea ndiyo maana wamempa coverage huyu mbunge wa upinzani aliyeliibua Bungeni. Sitashangaa baada ya muda litapotea tena, maana mtandao utafanya kazi yake.

Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba JK anaweza kumwachia mrithi wake bomu hili. Hatakuwa ametoa ufumbuzi. Kw akuwa lilisemwa wazi wakati wa kampeni Waislamu wataendelea kulidai na kulitumia kama kigezo cha kupima ukweli na umakini wa serikali yao chini ya CCM. CCM inawajitaji Waislamu sasa kuliko wakati wowote. Nao walipiga kura wakidhani wamepata, sana wakigundua wamepatikana ndo itakuwa patashika nguo kuchanika. Huu ni msalaba mzito kwa JK na Lowassa.
 
Mtalii,
Usiongee kitu ambacho hukifahamu.Tangu lini Jumuiya ya Commonwealth ni ya kikristo.Kwa hiyo Pakstan na india niwa kristo?
 
Mtalii,
Hii ya kusema Kawawa ana watoto 27 na Mkapa anao wawili siyo scientific. Hata kule kijijini utakuta mzee asiye na dini akiwa na watoto 12. Kwa hiyo hii hoja haina mantiki.
 
Technically waislamu ndio wengi zaidi Tanzania. Kwanza ni lazima mtambue the fact kuwa polygamy ambayo haki ya waislamu ni fertile ground ya population explotion, halafu uangalie kuwa kwenye maeneo mengi ambayo uswahili unaendekezwa kuwepo kwa bastards(children born out of wedlock). Na kuna sehemu za pwani hata watu wanajidai kwa kuwa na watoto nje ya wedlock, Mimi nadhani pamoja na kuwa mbunge alikuwa anasema kutoka hewani anaweza kuwa sahihi. Wanajambo msifiche!

Bongolander,
1. Poligny versus population explosion!!! Una data au anabuni tu! Sii kweli! Katika Sociology of Population- many studies have actually shown the opposite! That polygamous families tend to have fewer children on average! In demography, there is Total Fertelity Rate (TFR) - that is the average number of children per woman during her reproductive age. Men are not considered.
So polygamous families tend to have fewer children on average compared to monogamous families! Kwa hiyo kama Mzee ana wake 4 na kila mke ana watoto 4, on average each woman will have 4 children! Ila mara nyingi unakuta Mzee ana mke mmoja na ana watoto 6 au 7. Kule kwetu Iringa for monogamous families wakati wa baridi- ndo mimba nyingi hutungwa na familia huwa na watoto hata 8 na 9 ni tofauti kidogo na poligamous families!
Hili swala la kusema kuoa wake wengi = kuongeza watoto wengi! Sii sahihi!
2. Hata relationships kati ya polygamy families versus HIV transmission could even be lower than monogamous relatioships. In families with monogamous relationship tafiti zaimeonyesha maambukizi ya UKIMWI yako juu zaidi. Wakristo wengi pamoja na kuwa ni Monogamous pia wana nyumba ndogo- na hii huweza kuleta ukimwi nyumbani. Kwa Waislamu ambapo wake zake wote ni halali na wanafahamiana hali yaweza kuwa tofauti! Ila pia kuna mambo ya mila na tamaduni pia zaweza kuchangia kuwepo maambukizo zaidi regardless of monogamous or poligamous relationships!
I am however, not encouragig Watanzania wawe polygamous au monogamous- population dynamics are complex issues na sii kama siasa! Kumbuka hadi sasa wastani wa watoto kwa familia Tanzania ni 5.8
 
Mhhh... jama!
Hivi huu ni upepo gani?

Mbona kila kukicha waislamu! waislamu! waislamu!
-Mara tunaonewa,
-Mara afadhali Mkapa..
-Mara viwanja vyetu
-mara sisi ni wengi kuliko wengine
-Mara tupeni mahakama zetu

na yote ni kuelekezwa kwa raisi?

JAMANI KUNA NINI HASA??

Mbona haya mambo yanazidi kufuatana mno, na yanaibuka kwa kasi sana?

Ina maana ni upepo tu? na yamefuatana tu bahati nasibu? (coincidence) ama wimbi hili ni kubwa kuliko tunavyo dhani?

''whatch out''

Ukisoma ukurasa wa pili 108 ipo hiyo ya kuanzisha hizi mahakama.

Kazi kubwa!
 
Attachments

Du thread imeingia wadudu! ndio mnaita je tena vi vi virus
 
Mnachokiongea wote mnao support hii kadhi mahakama ni upuuzi, just stupid. Serikali ya Tanzania haina Dini hivyo ndivyo katiba inavyo sema, even though viongozi wa Tanzania wana dini. Sasa basi nchi yoyote inaongozwa na Katiba na sio ILANI YA CCM AU CUF AU CHADEMA, kama Ilani ya hivi vyama hewa itakiuka katiba ni kazi ya mahakama kuu kuvote against the decisions. Sasa ninapo sikia Tax payer money inatumika kujenga Kadhi that is total insanse, nitarudia that is total insane. I dont care what Kikwete and other fools said in their Irani, what matters is, does it violate Katiba?...if yes there is no chance for it, simple as 1,2,3. Sasa kama kila chama kitaanza kuingiza mambo yake ambayo yana violate katiba guess what will happen? You answer that.

What is the point of having Katiba if we cant enforce what is in there. Don't just stand like a stupid cowerd support every thing because it will favor your religion, I'm Muslim and i believe this Kadhi is crazy idea, and government is not entitled to enforce that stupid Idea.

That kind of syestem will cause a lot of controvesial between Mahakama and Kadhi, apart from that it will be spending of tax payer money unneccesary. I think people need to grow and think critical and dont ack like monkey.
Wake up Tanzanin and don't support stupidity because it's in CCM ilani
 
Bongolander,
1. Poligny versus population explosion!!! Una data au anabuni tu! Sii kweli! Katika Sociology of Population- many studies have actually shown the opposite! That polygamous families tend to have fewer children on average! In demography, there is Total Fertelity Rate (TFR) - that is the average number of children per woman during her reproductive age. Men are not considered.
So polygamous families tend to have fewer children on average compared to monogamous families! Kwa hiyo kama Mzee ana wake 4 na kila mke ana watoto 4, on average each woman will have 4 children! Ila mara nyingi unakuta Mzee ana mke mmoja na ana watoto 6 au 7. Kule kwetu Iringa for monogamous families wakati wa baridi- ndo mimba nyingi hutungwa na familia huwa na watoto hata 8 na 9 ni tofauti kidogo na poligamous families!
Hili swala la kusema kuoa wake wengi = kuongeza watoto wengi! Sii sahihi!
2. Hata relationships kati ya polygamy families versus HIV transmission could even be lower than monogamous relatioships. In families with monogamous relationship tafiti zaimeonyesha maambukizi ya UKIMWI yako juu zaidi. Wakristo wengi pamoja na kuwa ni Monogamous pia wana nyumba ndogo- na hii huweza kuleta ukimwi nyumbani. Kwa Waislamu ambapo wake zake wote ni halali na wanafahamiana hali yaweza kuwa tofauti! Ila pia kuna mambo ya mila na tamaduni pia zaweza kuchangia kuwepo maambukizo zaidi regardless of monogamous or poligamous relationships!
I am however, not encouragig Watanzania wawe polygamous au monogamous- population dynamics are complex issues na sii kama siasa! Kumbuka hadi sasa wastani wa watoto kwa familia Tanzania ni 5.8

Technical the goiverment has nothing to do with you practice poligamy, monogomy or quatrogamy. The job of the government is to enforce what is in the Katiba... thats it, now you tell me where in the Katiba there is a position said Tanzanian goverment is muslim or chiristian? what it said is, Serekali ya Tanzania haina dini. Now brake it down, that means there is separation of church or mosque and state, simple. Tanzania govermnet has nothing to do with neither muslim no jews nor christian. The next thing Hindu will ask for their Kadhi court, christian, pagans, satans, Kakobe and all other belivers, now how will you regulate that.....???? Don't support every thing, think and then react. There is a neaning when they said "Serikali ya Jamuhuri ya Nuungano haina dini" that means it is not engage in neither believers activities, simple what is the Ilani ya CCM let it stay in there.
 
Ninyi kama mnajitia upofu hamuwezo kuona zaidi ya chuki zenu mlizojengwa! Kwahiyo umeona nusu tu ya niliyosema.

Kama hukuelewa vizuri rudia kusoma. Si wahukumu watu kwa dini zao bali utendaji.

Nimetaja kuwa aliyekuwapo NSSF kabla ya Dr Dau ni muislam (Mustafa Mkulo) na aliboronga. Someni vizuri wazee.

Kwa taarifa yako Dr Rashid alipokuwa BoT alipigiwa makelele sana ya udini, kama hukujuwa waulize hao waliojazwa chuki.

Nimetaja pia mifano ya wakristo wasio na chuki za kidini. Soma post yangu ya juu kabla ya hiyo uliyonukuu uone nimesemaje -hamuikatai mahakama ya kadhi ila kwa chuki tu kama mlivyokataa OIC, hijab nk!

Matusi ya akina mtanganyika tumeyazoea!
 
What is the point of having Katiba if we cant enforce what is in there. Don't just stand like a stupid cowerd support every thing because it will favor your religion, I'm Muslim and i believe this Kadhi is crazy idea, and government is not entitled to enforce that stupid Idea.

It is only illegal, if it can be/have been implemented without making sure the current constitution is not violated , and if the introduction of Kadhi will be violeted, the constitution should be changed before implementation of Kadhi.

Until then, NO ONE HAS EVER violeted the constitution.
 
Why changing constitution because of funding kadhi court project? At this point KATIBA does not support serikali ya Muungano kufund hiyo project.
 
Back
Top Bottom