Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 680
jee wao wameahidiwa?
kama kuna chama kimeahidi wakristo wapewe kitu fulani ktk kampeni kma ni ahadi wakipata wakristo wanayo haki kudai haki hiyo.
hii ni ahadi iliotolewa sawa na kuwaletea watanzania maisha bora, tuna haki ya kuulizia zote, sio kukubali sehemu kuuliziwa nyengine ikiuliziwa mnune.
ama kweli wengine wanachuki sana uislamu bila ya macho?
tuacheni roho ya kwa nini