Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Why changing constitution because of funding kadhi court project? At this point KATIBA does not support serikali ya Muungano kufund hiyo project.

by the way Katiba is a live document, it can be changed at any time (t), provided the process and procedures will be followed, so if the wananchi want it they will change, if they don't they won't!

By the way, we are not sure if the KATIBA is the one which will be needed to be changed or only act associated with court of law...

Since then, kindly relax.
 
Technical the goiverment has nothing to do with you practice poligamy, monogomy or quatrogamy. The job of the government is to enforce what is in the Katiba... thats it, now you tell me where in the Katiba there is a position said Tanzanian goverment is muslim or chiristian? what it said is, Serekali ya Tanzania haina dini. Now brake it down, that means there is separation of church or mosque and state, simple. Tanzania govermnet has nothing to do with neither muslim no jews nor christian. The next thing Hindu will ask for their Kadhi court, christian, pagans, satans, Kakobe and all other belivers, now how will you regulate that.....???? Don't support every thing, think and then react. There is a neaning when they said "Serikali ya Jamuhuri ya Nuungano haina dini" that means it is not engage in neither believers activities, simple what is the Ilani ya CCM let it stay in there.

Mtanganyika,
Samahani this response was meant for Bongolander and not you! Hata hivyo, jinsi ulivyojibu you were off point! Mara nyingine soma kwanza kwa makini badala ya kukurupuka tu! Those were facts on poligamy versus population explosion and have nothing to do with Mahakama ya Khadhi!
 
by the way Katiba is a live document, it can be changed at any time (t), provided the process and procedures will be followed, so if the wananchi want it they will change, if they don't they won't!

By the way, we are not sure if the KATIBA is the one which will be needed to be changed or only act associated with court of law...

Since then, kindly relax.

Hivi CCM na Serikali yake wa power zipi za kuwakatalia wananchi haki yao ya kubadilisha katiba. Kwa nini wasiitishe referundum kuwauliza wananchi wanataka nini????
 
Mr. Zero, unafikiri CCM hata wakiitisha referendum na endapo asilimia 80% ya watakaoulizwa wakasema hawataki mabadiliko ya Katiba je mjadala wa mabadiliko ya Katiba Ukome? Ninarudia tena nilichosema mwanzoni, kama CCM wanataka mabadiliko ya Katiba tutayapata, wasipotaka hatupati. Period.
 
Mwanakjj-na wengine Katiba gani itavunjwa incase Mahakama ya kadhi itaanzishwa....Can u tell me kwanini siku ya kupumzika ilkuwa Jumapili na isiwe Jumatano?...na unajua Source ya wimbo wa Taifa?...

Bunge liliojaa wakristo huenda wasipitishe hili, kama ilivyokuwa huko nyuma..Suala la Hijab..ilibidi Mwinyi aseme lkn kwa jinsi nchi ilivyokaa Kikrsto unakuta mwalim wa Primary au sekondary anamzuia mwanafunzi kuvaa...confidence anapata wapi wakati ipo secular/paper ya Gov inayotoa maelekezo...

Tulikuwa tunafanya kazi hadi Jumamosi...wasabato walikuwa very coonfidence hawakuwa na hawatokuwa wakija makazini...Ma-lobiest wa Church waliingiza Bungeni..Jumamosi ikaja kuwa officially siku ya Mapumziko...Muslim walipokuja nao wapate 2 hrs tu ya siku ya Ijumaa ilikuwa mbinde..kwa Mzee KK na Kapuya...Tunaenda wapi??...Wakristo mkiwa na Ajenda YENU inapita bila kupingwa ktk Bunge..na hatusemi katiba inavunjwa...Muslim wakisema..eti UDINI..ohh katiba ibadilishwe...

Sometimes tukisema Serikali iiingilie issue fulanfulan...nyie mnasema kuna mahakama Rais asiingilie very goood...Lkn lilipokuja ktk issue ya Mihadhara..hamtaki mwende Mahakaman mkaoneshe wapi mmekashifiwa hamwendi..serikali inachukua mamlaka ya kuwashtaki Muslims...

Wana-ndugu tuwe makini..wakristo mliopo ktk MAMLAKA za UTAWALA..jueni nchi hii sio yenu peke enu...yetu sote...Matunda ya Uhuru tule wote...

WELCOME MAHAKAMA YA KADHI
 
Chuma,

Tanzania waislamu na wakristo ni ndugu. Waislamu wanachinja vitoweo vyote vya wakristu bila matatizo yeyote. Wakristu wakichinja ni kibudu. Hili suala limekubalika TZ nzima bila matatizo yeyote. Kama wakristu wangekuwa na mizengwe leo hii kungekuwa na mabucha ya wakristu na ya waislamu. Huu ni mfano mdogo tu wa ustarabu uliopo TZ isipokuwa wachache ndiyo wanataka kuharibu!!
 
Chuma, hakuna anayekataa mahakama ya kadhi kuwepo. Nafikiri hapa ndio tunashindwa kuelewana. Mahakama ya Kadhi inakaribishwa kabisa na waislamu wana haki nayo. Swali ni jinsi gani wataiunda? Kanisa Katoliki lina mahakama zake lakini hatukusikia wao kwenda Bungeni kutaka serikali iwatungie sheria yenye kuhalalisha mahakama hiyo wakati Katiba iko wazi kuwa mambo ya kuendesha dini yatakuwa nje ya mamlaka ya serikali.

Swali langu kwako: Kuna ugumu gani Waislamu kukaa pamoja na kusema tunataka kuanzisha mahakama ya kadhi, na itakuwa na jurisdiction na juriprudence hii na ile. Na katika kuandaa Katiba hiyo wakahakikisha haipingani na Katiba na sheria zilizopo? Je, Mufti Mkuu anachaguliwa na kulipwa na nani?
 
Mwanakjj-na wengine Katiba gani itavunjwa incase Mahakama ya kadhi itaanzishwa....Can u tell me kwanini siku ya kupumzika ilkuwa Jumapili na isiwe Jumatano?...na unajua Source ya wimbo wa Taifa?...

Bunge liliojaa wakristo huenda wasipitishe hili, kama ilivyokuwa huko nyuma..Suala la Hijab..ilibidi Mwinyi aseme lkn kwa jinsi nchi ilivyokaa Kikrsto unakuta mwalim wa Primary au sekondary anamzuia mwanafunzi kuvaa...confidence anapata wapi wakati ipo secular/paper ya Gov inayotoa maelekezo...

Tulikuwa tunafanya kazi hadi Jumamosi...wasabato walikuwa very coonfidence hawakuwa na hawatokuwa wakija makazini...Ma-lobiest wa Church waliingiza Bungeni..Jumamosi ikaja kuwa officially siku ya Mapumziko...Muslim walipokuja nao wapate 2 hrs tu ya siku ya Ijumaa ilikuwa mbinde..kwa Mzee KK na Kapuya...Tunaenda wapi??...Wakristo mkiwa na Ajenda YENU inapita bila kupingwa ktk Bunge..na hatusemi katiba inavunjwa...Muslim wakisema..eti UDINI..ohh katiba ibadilishwe...

Sometimes tukisema Serikali iiingilie issue fulanfulan...nyie mnasema kuna mahakama Rais asiingilie very goood...Lkn lilipokuja ktk issue ya Mihadhara..hamtaki mwende Mahakaman mkaoneshe wapi mmekashifiwa hamwendi..serikali inachukua mamlaka ya kuwashtaki Muslims...

Wana-ndugu tuwe makini..wakristo mliopo ktk MAMLAKA za UTAWALA..jueni nchi hii sio yenu peke enu...yetu sote...Matunda ya Uhuru tule wote...

WELCOME MAHAKAMA YA KADHI

Chuma,
Ukishaangalia kila kitu kwa jicho la ukristo au uslam- ni ngumu sana! Kuna waislam wengi tu wameoa na kuolewa na wakristo! Wanaishi kwa amani na wanapendena- na wengine wana wajukuu na vitukuu! Kwa nini tusiseme ni Watanzania tu?

Mimi nashangaa hizi dini walileta Waarabu na Wazungu- leo hii zinatungawa- badala ya kutufanya tuwe na upendo zaidi!

Basi siku za Mapumziko zianzie Ijumaa hadi Jumapili!

Hakuna raha kama watu wenye amani tofauti kupendana na kuheshimiana! Hisia za udini mara nyingi huleta mfarakano!
 
chuma,
kwanini unafikiri itakuwa vema kama Mahakama hii ikianzishwa kwa sheria ya Bunge? kwanini Waislamu wasiungane wenyewe wakamchagua Kadhi Mkuu na yeyote anayemtambua apeleke mashauri yakaamuliwe?

Zanzibar kulitokea mgogoro kwamba Kadhi Mkuu anateuliwa na Raisi,lakini yuko ktk Mamlaka ya Waziri wa Sheria ambaye alikuwa Mkristo--Brig.Adam Mwakanjuki.

wakati wa Mkoloni kulikuwa na Mahakama ya Kadhi. Kwa msingi huo suala ambalo ni la KIIMANI na KIDINI lilikuwa chini ya MAMLAKA ya KI-SECULAR. Hali hiyo ndiyo iliyowezesha Bunge kuja kuifuta Mahakama ya Kadhi.

Wasiwasi wangu ni MGOGORO unaoweza kutokea iwapo DOLA itaona KADHI MKUU amekiuka matakwa ya SHERIA iliyoanzisha MAHAKAMA YA KADHI na kuamua kumchukulia hatua.
 
Sasa huyo Kadhi Mkuu akiteuliwa na kiongozi Mkristu atakubalika? au kiongozi huyo mkristu atatakiwa kuteua mtu anayependekezwa na waislamu?
 
Sasa huyo Kadhi Mkuu akiteuliwa na kiongozi Mkristu atakubalika? au kiongozi huyo mkristu atatakiwa kuteua mtu anayependekezwa na waislamu?

MKJJ, Good question!

Kama nimekuelewa, ikiwa rais wa Zanzibar ni, kwa mfano, "Adam Mwakanjuki" au "Isaac Sepetu", je anaweza "kumteua" Kadhi Mkuu wa Zanzibar?


Je, Katiba ya Zanzibar inasema chochote kuhusu uwepo wa Kadhi Mkuu? Ofisi yake (Kadhi Mkuu) inaendeshwa kwa pesa za SMZ?
 
Can we borrow a leaf from our neighbor!

He we go!

Kenya constitution:

66. Katchis' Courts.

1. There shall be a Chief Kadhi and such number, not being less than three, of other Kadhis as may be pro- scribed by or under an Act of Parliament.
2. A person shall not be qualified to be appointed to hold or act in the office of Kadhi unless-
1. he professes the Muslim religion; and
2. he possesses such knowledge of the Muslim law applicable to any sect or sects of Muslims as qualifies him, in the opinion of the Judicial Service Commission, to hold a Kadhi's court.
3. Without prejudice to section 65 (1), there shall be such subordinate courts held by Kadhis as Parliament may establish and each Kadhi's court shall, subject to this Con stitution, have such jurisdiction and powers as may be conferred on it by any law.
4. The Chief Kadhi and the other Kadhis, or the Chief Kadhi and such of the other Kadhis (not being less than three in number) as may be prescribed by or under an Act of Parliament, shall each be empowered to hold a Kadhi's court having jurisdiction within the former Protectorate or within such part of the former Protectorate as may be so prescribed: Provided that no part of the former Protectorate shall be outside the jurisdiction of some Kadhi's court.
5. The jurisdiction of a Kadhi's court shall extend to the determination of questions of Muslim law relating to personal status, marriage, divorcc or inheritance in proceedings in which all the parties profess the Muslim religion
Huenda hiki tu ndio kinachotakiwa kwenye katiba yenu ya wamakonde... haya tuanzie hapo kujadili
 
5. The jurisdiction of a Kadhi's court shall extend to the determination of questions of Muslim law relating to personal status, marriage, divorcc or inheritance in proceedings in which all the parties profess the Muslim religion

Shukran Kilitime!
Hiyo "personal status" ndiyo inahusu masuala gani?

Kuna vipengele vingine (articles) zaidi vya kutusaidia? Mathalani huyo Kadhi anapatikanaje na gharama za uendeshaji wa ofisi yake, nk.
 
Mwangagenzi,

Naomba kuonyesha mambo ambayo wenzetu wameshayafanyia kazi, tayari kwenye tume yao ile ya Katiba. report kamili pata hapa, lakini naomba niweke sehemu ambayo inajibu maswali mengine...
The Kadhis Courts are part of the judiciary and the legal systems.

When the commission issued "issues and questions" for public hearing to guide the people in the collection of the views, the same contained questions on what was to be done to the Chief Kadhi and Kadhis Courts.

Many of the people, organizations and experts who gave views on the Kadhis courts did not at all question their existence but advocated for their retention with some improvements or modifications.

The Muslims generally asked for the enhancement of the role and status of the courts while in some cases like in N.E. Province, they asked for the full application of Sharia Law in their areas.

The team of judicial experts and eminent scholars from the Commonwealth in their report on the judiciary also recommended the retention of the Kadhis Courts in their present form. A group of Human Rights and Legal Organisations such as KHRC, LSK, ICJ, FIDA, etc, also prepared a model constitution under the motto, "Kenya Tuitakayo" (the Kenya we want) and in that model constitution, they also recommended for the retention of the Kadhis Court with their present jurisdiction and for the Chief Kadhi to have minimum academic qualification and to enjoy the same status and privileges as a High Court Judge.

In recommending improvements to the Kadhis Courts, the commission was faithfully reflecting an analysis of the views it received.

It is therefore wrong to suggest that CKRC is favouring Muslims or creating parallel court structure or introducing Sharia Law through the back door. The commission did not receive any views for the creation of courts for Jews, Hindus or others.

Sharia Law is not being introduced as the jurisdiction of the Kadhis Courts are clearly confined to matters of personal Law between Muslims.

There will be no stoning to death for adultery or cutting of hands even for the Muslims in Kenya as this is covered by Islamic Criminal Law which is not permitted here in Kenya either in the present constitution or under the new draft bill.

Again sina uhakika lakini nadhani Mahakama hii, haswa ukiangali Kenya naona inagharimiwa na Serikali, sina uhakika tutafute data zaidi, lakini kama ni party ya judiciary then it should be funded and paid by the government...

Tutafute pamoja..
 
Kwa wale wao ambao watakuwa wavivu kwenda kwenye url, niliyotoa hapo juu! Naomba kuweka quote hii hapa chini hadharani

The Kadhis Courts do not exist in Kenya alone. Several countries in Africa and the Commonwealth that have a significant population of Muslims provide for these courts in their constitutions and Laws to cater for the regulation of the personal status of their Muslim Citizens. Save for those countries that have established Islamic states which apply Islamic Law throughout the country, other states tend to limit the jurisdiction of these Courts to matters affecting the personal status of the Muslims.

In some cases, the jurisdiction is exclusive to the Kadhis Courts while in others the Courts are established as subordinate Courts to the Secular High Courts or Supreme Court. The Kadhis Courts are also called Qadhis Courts (Uganda), Cadi Court (Gambia), Sharia Court (Nigeria), Shariat Court (Pakistan) and Religious Court (Jordan).

The Nigeria constitution provides for the establishment of the Kadi and Sharia Courts in the states and in the Federation. The Sharia Court of Appeal is to compose of the Grand Kadi and such number of Kadis as may be prescribed by Law.

The jurisdiction of the Sharia Courts is listed under Sections 262 and 277 of the Constitution. The qualification for appointment to the office of Grand Kadi or Kadi of the Sharia Court of Appeal is set out by Sections 261 and 266 of the Constitution. Sections 264 and 279 give the grand Kadi, who is equivalent to the Chief Kadhi in Kenya, the Power to make rules for regulating the Practice and Procedure of the Sharia Court.

The major difference between the Kadhis Courts in Nigeria and Kenya is that the former apply full Islamic Sharia law while in Kenya, the jurisdiction is limited to personal law i.e marriage, divorce and inheritance which is the case in Gambia and Uganda.

The Gambian Constitution under Section 137, establishes the Cadi Court to be constituted by the Cadi and two other Scholars qualified to be a Cadi or Ulama. Appeals from this Court goes to a review Court composed of the Cadi and four ulamas (Islamic Scholars).

The Cadi Court has jurisdiction to apply Islamic Sharia in matters of marriage, divorce and inheritance where the parties before the Court are Muslims. The qualification for appointment to the position of Cadi requires a person of high moral standing and professional qualification in Sharia Law.


The Ugandan Constitution establishes the Qadhis Courts under Section 129 as one of the subordinate Courts of judicature exercising judicial power in Uganda to deal with matters of marriage, divorce, inheritance of property and guardianship.

The argument that the Provisions in the Draft Constitution treat other religions less favourably is clearly without merit.

Article 44 of the Draft Bill is a basket clause containing several sections guaranteeing and protecting the freedom of religion for all. The Kadhis Courts, which fall under the Chapter on the Judiciary, could not have been brought under the ambit of article 44 which comes under the Chapter on Human Rights.

The Kadhis Courts should be seen in the context of the judiciary and the legal system and not as a religious or Muslim issue alone. Those opposing the Kadhis Courts and making allegation of bias for Muslims are politicising the issue and creating unnecessary tension and disharmony between the Muslims and their Kenyan brothers and sisters. By whipping up emotions of other people who may not have all the facts before them, these people are undermining the goals of the constitutional review process which is inter alia to unite the country and to respect and promote the ethnic and religious diversity of the people of Kenya.

It is the hope of all those who wish to see the continuation of the peace and harmony that exists between the different religious communities in Kenya that men and women of goodwill in Kenya will see through the propaganda war being waged against the Kadhis Courts and support the recommendations of CKRC which is a faithful reflection and analysis of the views received from the people.

Maswali yanaweza kuanzia hapo
 
Angalia utendaji wa Dr Ramadhani Dau na Dr Idrissa Rashidi na makelele yasiyo na msingi yanayopigwa dhidi yao. Hawa ni waislam wanaongia msikitini na wacahapakazi wazuri. NSSF ilikuwa imejaa uozo (aliyekuwapo pale ni muislam), Tanesco ndio usiseme lakini nenda leo ukaone kazi anayofanya Dr Idrissa na mafanikio ya NSSF ya sasa yanajulikana. Sasa angalia anachofanya Balali benki kuu aliyechukuwa nafasi ya Dr Idrissa. Kinchotuua kama taifa ni kukosa uzalendo na chuki zisizo na msingi na wala si mahakama ya kadhi.

..kwahiyo,wakristo ni wafujaji na wasiofaa kuongoza?

..halafu hii imekaa kidinidini sana!huu ndo msingi wa kujenga chuki na wala hauhusiani na mahakama ya kadhi!

..mi nadhani watu wasiumize vichwa sana na kuyasema wanayoyafikiria kwa sauti. mahakama ya kadhi mbona inakuja haiko mbali.ni suala la uvumilivu!
 
Mnachokiongea wote mnao support hii kadhi mahakama ni upuuzi, just stupid. Serikali ya Tanzania haina Dini hivyo ndivyo katiba inavyo sema, even though viongozi wa Tanzania wana dini. Sasa basi nchi yoyote inaongozwa na Katiba na sio ILANI YA CCM AU CUF AU CHADEMA, kama Ilani ya hivi vyama hewa itakiuka katiba ni kazi ya mahakama kuu kuvote against the decisions. Sasa ninapo sikia Tax payer money inatumika kujenga Kadhi that is total insanse, nitarudia that is total insane. I dont care what Kikwete and other fools said in their Irani, what matters is, does it violate Katiba?...if yes there is no chance for it, simple as 1,2,3. Sasa kama kila chama kitaanza kuingiza mambo yake ambayo yana violate katiba guess what will happen? You answer that.

..mwenye akili kwenye kundi la wajinga huonekana mjinga,na wajinga ndo wenye akili!

..punguza munkhari!kwani kenya ni nchi yenye dini? mbona suala la kadhi si issue sana kama baadhi wanavyotaka tuamini!

..issue ni jinsi gani litakavyokuwa na muundo litakaochukua,nani atawajibika kwa lipi na nini.

..hii inazua hoja ya umuhimu wa katiba kufanyiwa marekebisho!jambo ambalo si dogo[kama uzoefu wa kenya ulivyoonyesha]lakini ambalo wanaumme/wanawake hawapaswi kulikwepa!kwani litaendelea kuwapo na litaibuka kila mara hadi lipatiwe ufumbuzi!
 
Dar si Lamu,
Kwenye hayo uliyonukuu nimeandika hivi
"NSSF ilikuwa imejaa uozo (aliyekuwapo pale ni muislam)"
Hebu rudia kusoma. Kwanini mnasoma nusu nusu halafu mnakimbilia kujibu.

Sitetei uozo wala mada za chuki za kidini. Hoja (au mtu) ipingwe kwa uhalisia wake sio chuki kama za hao walioleta mada hii.
 
by the way Katiba is a live document, it can be changed at any time (t), provided the process and procedures will be followed, so if the wananchi want it they will change, if they don't they won't!

By the way, we are not sure if the KATIBA is the one which will be needed to be changed or only act associated with court of law...

Since then, kindly relax.

True. However what does katiba said concern goverment and dini. use your common sense.
 
Mtanganyika,

Nafikiri umeelewa unataka tu kufanya mashindano, tuhamie mada nyingine.
 
Back
Top Bottom