...kwa muda mchache uliobaki ....uwakilishi atakaotoa kwa miezi hii michache..SIO VALUE FOR MONEY kwa kodi zetu..atapata kiinua mgongo pia...bora angemchagua baada ya uchaguzi!
MwanajamiiOne kuitwa mwakilishi wa watu ni kwamba unakubalika.Kama hukubaliki kwa watu kwa matendo na maneno ya kinywa chako utawawakilishaje?
Hujiulizi tuu kwamba huyu mama na usomi wake alikuwa wapi siku zote asionekane kwenye njanja za kisiasa,Ila kwenye magazeti zile kurasa za kununua za makala tuu.
wadau kulikua na umuhimu wowote kwa rais kuteua wabunge wakati huu, ukizingatia muda ulio baki kabla ya uchaguzi mkuu ?
CV imetulia hasa ukizingatia wabunge wengi......Kuongeza gharama kwa walipa kodi! Watafanya nini muda huu uchaguzi OCT! Kaweka rekodi kuchagua jamaa wa CUF.
Sijui kama ni Mbene huyu nime-mgoogle!
Janet Mbene -
She joined the Board in May 2006. She is a professional banker and holds a Masters Degree in Economics from University of New England, Armidale New South Wales, Australia. She has a Bachelor of Arts in Economics from University of Dar es Salaam and an Advanced Diploma in banking from Institute of Finance in Dar es Salaam. She is a Company Director and Lead Consultant SIA Limited and a member of Fair Competition Tribunal Tanzania and the Advisory Board Faculty of Business at Tumaini University in Dar es Salaam. She is also a founder member of the Association of Women Economists in Tanzania among others.
Akili huyu Prof si anaitwa Mbelle au ni Mbene?
Tangaza majibu ya mama yako kwanza.
kauli hii n chafu sana, haifai. waheshimini wazazi wetu...................
Tangaza majibu ya mama yako kwanza.
Bado umeniacha nje..next time.. tukombe kumuamsha aliyelala!!!
Referees:
Seif Sharif Hamad
Secretary General,
The Civic United Front (CUF)
P. O. Box 3637
Zanzibar
East Africa
Mr. Nick D. M. Parry
Senior Lecturer,
The University of Hull
Law School
Hull HU6 7RX
United Kingdom