Jussa, Mbenne wabunge wapya!

Aliwahi kuolewa na mwanajeshi hapo zamani na sasa ana wajukuu ingawa anaonekana bado wamo!!
 
Aliwahi kuolewa na mwanajeshi hapo zamani na sasa ana wajukuu ingawa anaonekana bado wamo!!

Mhhhh ...Mkwere ........isijekuwa kwenye mambo yetu yaleeeee.........
icon5.gif
 
Kumbe bado hamumjui Janet Zebedayo Mbene sawa sawa,Huyu mama akiwa NBC alipora benki na kukimbilia Nairobi Kenya,RB ya kutafutwa kwake ipo police central Dar Es Salaam Tangu hapo amekuwa mtu wa kuranda randa tu hadi alipohitimisha ajira yake pale Oxfam akaanza kujihusisha na siasa za CCM,Siyo wa kihivyo mnavyomjua ana vibwanga zaidi ambavyo asingesitahili kabisa kuingia mjengoni.

Mh nijuavyo mimi wote mjengoni wana vimbwanga vya kuajabisha na kutisha sasa hivyo vya mama Mbenne vikoje kiasi cha kumfanya asistahili kuingia mjengoni?
 
Si tumemkumbusha juzi hapa (last week) kuwa ni mvivu kuchagua hadi ameshindwa kujaza nafasi mbili za ubunge zilizosalia.... finally kaamua kujaza ili asionekane mvivu mvivu.

Mkuu inawezekana Bunge linablock nomination zake kama kwa BHO..........ahaha aha ha lol, wonder if this day gonna come in my land!!!!!!!!!!
 
Mh nijuavyo mimi wote mjengoni wana vimbwanga vya kuajabisha na kutisha sasa hivyo vya mama Mbenne vikoje kiasi cha kumfanya asistahili kuingia mjengoni?

MwanajamiiOne kuitwa mwakilishi wa watu ni kwamba unakubalika.Kama hukubaliki kwa watu kwa matendo na maneno ya kinywa chako utawawakilishaje?

Hujiulizi tuu kwamba huyu mama na usomi wake alikuwa wapi siku zote asionekane kwenye njanja za kisiasa,Ila kwenye magazeti zile kurasa za kununua za makala tuu.
 
huku ni kuongezea garama nchi bila sababu...wa nini sasa hawa muda huuu?
 
MwanajamiiOne kuitwa mwakilishi wa watu ni kwamba unakubalika.Kama hukubaliki kwa watu kwa matendo na maneno ya kinywa chako utawawakilishaje?

Hujiulizi tuu kwamba huyu mama na usomi wake alikuwa wapi siku zote asionekane kwenye njanja za kisiasa,Ila kwenye magazeti zile kurasa za kununua za makala tuu.
Ni kweli usemacho Abednego but je wabunge wa Tanzania wote wanakubalika kwa matendo na maneno yao? Nijuavyo Mama Mbene amerudi nchini siku za karibuni (kama sikosei ) alikuwa Swaziland au Botswana.

Hapa sitetei kuwa yeye ni msafi sana (since simjui kihivyo) but ninajaribu kusema kuwa tusimpime kwa kipimo ambacho kikitumika kwa wabunge waliopo kitatoa majibu sawa kwa wote!! Unless uvilete hivyo vimbwanga tuanzekuvichambua ili tuone ni kwa kiwango gani vimevizidi vile vya wabunge wenzie mjengoni.
 
Nafikiri ni wakati muafaka wa kutangaziwa rasmi majibu ya kweli ya vile vipimo vya "akili" alivyofanyiwa rais Kikwete. Kwa kawaida kuna confidentiality issues kati ya daktari na mgonjwa/mteja wake. Lakini sasa imekuwa an issue of national security.

Next thing we know atafanya uamuzi ambao utaathiri wananchi moja kwa moja.

This man is not well. This is not the time to be giving out seats in the House as early Easter gifts!!
 
Kuongeza gharama kwa walipa kodi! Watafanya nini muda huu uchaguzi OCT! Kaweka rekodi kuchagua jamaa wa CUF.

Sijui kama ni Mbene huyu nime-mgoogle!

Janet Mbene -
Janet%20Mbene%20-%20TZ.jpg

She joined the Board in May 2006. She is a professional banker and holds a Masters Degree in Economics from University of New England, Armidale New South Wales, Australia. She has a Bachelor of Arts in Economics from University of Dar es Salaam and an Advanced Diploma in banking from Institute of Finance in Dar es Salaam. She is a Company Director and Lead Consultant SIA Limited and a member of Fair Competition Tribunal Tanzania and the Advisory Board Faculty of Business at Tumaini University in Dar es Salaam. She is also a founder member of the Association of Women Economists in Tanzania among others.

Pia aliwahi kufanya kazi - part time pale Habari Corporation mwaka 2003 wakati kampuni ikiwa bado ya akina Jenerali. nadhani ilikuwa wakati katika kipindi cha kusota.
 
Ni kupoteza tu wakati na kujikosha kwa CUF halafu kila kiongozi akichaguliwa ni CUF kwani vyama vingine havipo?
 
Wakapige usingizi bunge la budget wachukue chao aka jasho letu then watambae.......lol!
HII NDO NNJI YETU
 
Kumbe bado hamumjui Janet Zebedayo Mbene sawa sawa,Huyu mama akiwa NBC alipora benki na kukimbilia Nairobi Kenya,RB ya kutafutwa kwake ipo police central Dar Es Salaam Tangu hapo amekuwa mtu wa kuranda randa tu hadi alipohitimisha ajira yake pale Oxfam akaanza kujihusisha na siasa za CCM,Siyo wa kihivyo mnavyomjua ana vibwanga zaidi ambavyo asingesitahili kabisa kuingia mjengoni.
enzi ya kina SARAH MARTIN SIMBAULANGA na TOROHA MOHAMED TOROHA??? kwenye ishu kama hizo???
 
Back
Top Bottom