Jumatatu napanda ndege kwa mara ya kwanza

Let me nikae upande wa vibe, music na code: since wengine washaelezea protocols.
Vile una-fly kwa mara ya kwanza, I guess You paid enough effort to reach here, so hii inakua celebration, you are going to party, congratufuckinlation!!!
kwa upande wa code:
1. Juu weka haircut moja ya maana, zingatia engo anko. Kama ni msichana weka braids flan hivi ndefu zisiwe nyeusi sio wigi.
2. Vaa tshirt ya chrome heart mikono mirefu, nyeupe yenye blue katikati. (even if you are a girl)
3. Vaa white-blue jeans yenye crazy au damage kidogo, ukiweka kitu cha Amiri utaua!!!
4. Mguu ufunike na sneaker moja makini, iwe nyeupe au blue, Unaweza kuweka Jordan 4 retro, Jordan 4 white cement, Jordan 4 jack cactus au ile Jordan ya Travis scott. bitcoiner sports wear muuzie sneaker huyu.
5. if you are a man, Watch moja kali mkononi isiwe gold wala silver.
6. Scent?? Mallerina msaidie spray moja ya kike
MUSIC
1. Beba pods za oraimo
2. Hakikisha una ngoma za central cee hasa Band4band pamoja six for six HIzi zina verse tamu zitakazoendana na vibe la ku-fly kwa mara ya kwanza kama
"I'm not in a mood cause my flight delayed so I jumped in a private jet and ask a pilot for ETA''
"if you know the risk we took to get paid you wouldn't look me the same"
3. Kwa sababu utakuwa umekula code za uhakika najua huwezi kukaa kizembe, usisahau kuwa na ngoma ya Lil baby "drip too hard"
NB: kama ni business trip haya yapuuzwe.
 
Akuje nimpe airmax moja makini huyu ni wakike, asisahau kutuletea picha!
 
😹Ngoja nitunze haya maneno yatanisaidia baadae ...
Spray atumie ya uwezo wake
Alafu kwanini kama ni wa kike umepreffer braids kuliko wig?
 
Never seen a girl looking good in wig, but I've been seeing girls looks great whenever they've braids!
 
Kama unakwenda kupanda zile ndege za Jeshi zilizopambwa na rangi za CCM huhitaji ABC zaidi ya kusifia na kujigaragaza mavumbini huku ukisujudu. 😂
 
Probably you havent seen me yet In a wig😹😹😹
If I'll see you beautiful in a wig, that means with no doubt, I see you like an Angel if you got braids. Especially zikiwa purple au rangi gani ile damn, Ain't good in naming colors.
 
Asante kwa dondoo hizi nilikuwa sijui chochote Vipi kuhusu cash utaakiwa kuwa na tsh ngapi mfukoni je viburungutu vinaruhusiwa?
Concept iko hivi;
Kama unaenda nje ya Tanzania, hata hvy sehemu nyingi USD Dollar inakubalika na kubadilishika kirahisi hata hvy duniabya sasa nchi nyingi wana discourage matumizi ya pesa taslimu.

so ukiwa na kadi ya benk za hapa kwetu mfano CRDB visa/master card pata huduma na bidhaa kwa kuchanja tu. Pesa kidogo inaweza kuwepo mfukoni kama dharura ikiwa utakutana na kikwazo cha kuchanja.

Pesa taslim kusafr nazo ni risk na sikushauri.
 
Back
Top Bottom