Jamani wakati mwingine kama mtu hujui kitu ni bora kukaa kimya tu!
Huyu Juma Nkamia asitake kuudanga uuma kua kua eti bunge bunge la Uingereza halioneshei live! Huu nio uongo kuongea kitu ambacho mtu hakijui kwa kujipendekeza tu. Yeye kufanya kazi kama kibarua BBC(kwa mujibu wa hotuba ya KUB 2013) haimaanishi kua unaweza kusema lolote kuhusu bunge la Uingereza.
Shule ni kitu muhimu sana, NAPE NAUYE alisema kua kipindi chote ambacho TBC hsioneshi matangazo ya biashara hua wanaonesha matangazo ya bunge na kulisabibishia shirika hilo la umma hasara. Nkamia na Nape watuambie ni muda gani BBC hua wanaonesha matangazo ya biashara? Amewahi kusikia wapi BBBC linajiendesha kwa hasara au kwa faida.
Malofa hizo ndo hoja zenuUwezo wako hautofautiani na Nkamia, wewe endelea kuuza t-shirts na kofia za chama hapo Lumumba.
Aliyesoma ni kubenea wa miongizo ya kuvuana chupi bungeniTuliosoma naye nkamia pale sengerema tunafahamu kua alifeli, je alisomaje uandishi wa habari?
Hivi Juma Nkamia bado ni mbunge?Jamani wakati mwingine kama mtu hujui kitu ni bora kukaa kimya tu!
Huyu Juma Nkamia asitake kuudanga uuma kua kua eti bunge bunge la Uingereza halioneshei live! Huu nio uongo kuongea kitu ambacho mtu hakijui kwa kujipendekeza tu. Yeye kufanya kazi kama kibarua BBC(kwa mujibu wa hotuba ya KUB 2013) haimaanishi kua unaweza kusema lolote kuhusu bunge la Uingereza.
Shule ni kitu muhimu sana, NAPE NAUYE alisema kua kipindi chote ambacho TBC hsioneshi matangazo ya biashara hua wanaonesha matangazo ya bunge na kulisabibishia shirika hilo la umma hasara. Nkamia na Nape watuambie ni muda gani BBC hua wanaonesha matangazo ya biashara? Amewahi kusikia wapi BBBC linajiendesha kwa hasara au kwa faida.
ungefanya alichoshauri pasingekuwa na ubaya wowote,lakin hli jibu lako linaonesha hujui chochote juu ya hoja husikaUwezo wako hautofautiani na Nkamia, wewe endelea kuuza t-shirts na kofia za chama hapo Lumumba.
wewe hutazama BBC gani?..au big black c**k?!..BBC ina mpango wa kupunguza idhaa kisa hasaraJamani wakati mwingine kama mtu hujui kitu ni bora kukaa kimya tu!
Huyu Juma Nkamia asitake kuudanga uuma kua kua eti bunge bunge la Uingereza halioneshei live! Huu nio uongo kuongea kitu ambacho mtu hakijui kwa kujipendekeza tu. Yeye kufanya kazi kama kibarua BBC(kwa mujibu wa hotuba ya KUB 2013) haimaanishi kua unaweza kusema lolote kuhusu bunge la Uingereza.
Shule ni kitu muhimu sana, NAPE NAUYE alisema kua kipindi chote ambacho TBC hsioneshi matangazo ya biashara hua wanaonesha matangazo ya bunge na kulisabibishia shirika hilo la umma hasara. Nkamia na Nape watuambie ni muda gani BBC hua wanaonesha matangazo ya biashara? Amewahi kusikia wapi BBBC linajiendesha kwa hasara au kwa faida.
ukikosa ubunge dodoma au kondoa jinyonge maana utakuwa na gundu la hatari sana !Hivi Juma Nkamia bado ni mbunge?
kama hujui kitu ni bora kutokuandika. waingereza wanachangia £147 kwa kila nyumba kwa mwaka kuendesha BBC, kitu ambacho TBC haifanyi. Na BBC wanachanel nyingi kwa hiyo siyo moja inayorusha matangazo na wala BBC unayosikiliza huko bongo wakati wingine ni tofauti sana na ile wanayosikiliza waingereza wenyewe.Jamani wakati mwingine kama mtu hujui kitu ni bora kukaa kimya tu!
Huyu Juma Nkamia asitake kuudanga uuma kua kua eti bunge bunge la Uingereza halioneshei live! Huu nio uongo kuongea kitu ambacho mtu hakijui kwa kujipendekeza tu. Yeye kufanya kazi kama kibarua BBC(kwa mujibu wa hotuba ya KUB 2013) haimaanishi kua unaweza kusema lolote kuhusu bunge la Uingereza.
Shule ni kitu muhimu sana, NAPE NAUYE alisema kua kipindi chote ambacho TBC hsioneshi matangazo ya biashara hua wanaonesha matangazo ya bunge na kulisabibishia shirika hilo la umma hasara. Nkamia na Nape watuambie ni muda gani BBC hua wanaonesha matangazo ya biashara? Amewahi kusikia wapi BBBC linajiendesha kwa hasara au kwa faida.
Jamani wakati mwingine kama mtu hujui kitu ni bora kukaa kimya tu!
Huyu Juma Nkamia asitake kuudanga uuma kua kua eti bunge bunge la Uingereza halioneshei live! Huu nio uongo kuongea kitu ambacho mtu hakijui kwa kujipendekeza tu. Yeye kufanya kazi kama kibarua BBC(kwa mujibu wa hotuba ya KUB 2013) haimaanishi kua unaweza kusema lolote kuhusu bunge la Uingereza.
Shule ni kitu muhimu sana, NAPE NAUYE alisema kua kipindi chote ambacho TBC hsioneshi matangazo ya biashara hua wanaonesha matangazo ya bunge na kulisabibishia shirika hilo la umma hasara. Nkamia na Nape watuambie ni muda gani BBC hua wanaonesha matangazo ya biashara? Amewahi kusikia wapi BBBC linajiendesha kwa hasara au kwa faida.
Na wewe ni profesa la ujinga,nyambafuKitendo cha kuanzisha thread humu ndani inayomhusu juma nkamia tayari una masterz ya ujinga.
It means hadi wazazi wako ni ngedere?kama hujui kitu ni bora kutokuandika. waingereza wanachangia £147 kwa kila nyumba kwa mwaka kuendesha BBC, kitu ambacho TBC haifanyi. Na BBC wanachanel nyingi kwa hiyo siyo moja inayorusha matangazo na wala BBC unayosikiliza huko bongo wakati wingi ni tofauti sana na wanayosikiliza waingereza.
Hata hivyo siungi mkono TBC kutokurudha matangazo maana inayumia kodi zetu, lakini hata hivyo nasema sawa tu wasirushe maana Kikwete aliwadekeza sana sasa acha muisome number kwanza. Mh. Magufuli popote ulipo usiruhusu TBC kurusha bunge live, acha kwanza waisome number hawa ngedere.
kama hujui kitu ni bora kutokuandika. waingereza wanachangia £147 kwa kila nyumba kwa mwaka kuendesha BBC, kitu ambacho TBC haifanyi. Na BBC wanachanel nyingi kwa hiyo siyo moja inayorusha matangazo na wala BBC unayosikiliza huko bongo wakati wingi ni tofauti sana na wanayosikiliza waingereza.
Hata hivyo siungi mkono TBC kutokurudha matangazo maana inayumia kodi zetu, lakini hata hivyo nasema sawa tu wasirushe maana Kikwete aliwadekeza sana sasa acha muisome number kwanza. Mh. Magufuli popote ulipo usiruhusu TBC kurusha bunge live, acha kwanza waisome number hawa ngedere.
Nichangie ili kuonyesha miondoko ya kukata viuno??
Abunuas hebu jiulize ile TBC 2 ambayo toka asubuhi mpaka asubuhi siku ya pili ni TAARABU,Mipasho na nyimbo za kina Diomond tu,nani analipia gharama za kuendesha ujinga na upumbavu wa TBC 2???Je TBC 2 siyo TV ya TAIFA??Abunuas hatukatai serikali pato bado dogo basi watueleze tu hiyo TBC 2 inamsaidia nini Mtanzania wa kawaida?Je hivyo viuno ni bora kugharamiwa kuliko vipindi vya Bunge?Je hivi hakuna hata mtu mmoja ndani ya TBC ambaye ataenda hatua tatu mbele za kutafuta matangazo ya biashara ya kutosha kukidhi haja??Maana ni rahisi kupata matangazo mengi na kupata faida kuliko hasara,lakini Wakurugenzi wa TBC 1 na Waziri wa habari wameshindwa hata kubuni njia hii....
Hapa kazi tu maana yake kuifanya akili ifanye kazi ya ziada ili kupata ziada lakini sababu CCM na serikali yake ikidhani hata bunge ni sehemu ya serikali basi wao ndiyo wenye haki ya kusema hapana au ndiyo.Bunge ni Mihimili ulio huru,Magufuli anatakiwa kulijua hilo,na ili adhma yake ifanye kazi lazima ujinga wa wabunge tuuone,hata wakipigana tuwaone tuwahukumu 2020.Hakuna siri siku hizi............
Kama hujui Abunuas hao wanaokataa lisionyeshwe wanasiri wanataka kumficha Magufuli,wanatengeneza situation Magufuli achukiwe mapema na watanzania,kama alisema Serikali ya MAGUFULI basi aonyeshe utofauti na wale wenzake aliache BUNGE kuwa huru ili aweze kufaidika na akifanya hivyo mwaka 2020 hatahitaji Nguvu nyingi kidogo tu.Lakini kwa kuwafunga midomo wabunge basi ajue anapoteza.
wewe ni mbunge wa jimbo gani.ukikosa ubunge dodoma au kondoa jinyonge maana utakuwa na gundu la hatari sana !
jimbo nililokuwa nigombee kwa tiketi ya chadema hili la TEMEKE makubaliano ya UKAWA yaliamua mwana cuf apeperushe bendera , na mimi nikaheshimu maamuzi ya pamoja , umoja ni nguvu .wewe ni mbunge wa jimbo gani.