Julius Mtatiro ndiye 'Sunday Charles'?

Julius Mtatiro ndiye 'Sunday Charles'?

Bwana J ulius Mtatiro anakabiliwa na tuhuma ya kutumia jina bandia ambapo kambi ya Bw.Hamad rashid imedai kukamata mawasiliano kati ya Bw.Mtatiro na mwenye jina hilo.Taarifa kutoka kambi ya Bwana Hamad inaeleza kuwa ,kulikuwepo na mawasiliano kati ya Bw.Mtatiro na mwenye jina hilo ambapo inaelezwa kuwa ,jina halisi la Bw.Mtatiro ni Bw.Sunday Charles.
Source: Majira, 26/02/2012 pp 4 "CUF kufa 2013"
My take: Inaonekana ukifanyika utafiti yakinifu mengi yanaweza kugundulika,tatizo hili linaonekana ni kubwa sana hapa nchini kwetu,kwa wale ambao wanatafuta research titles,this is highly recommended!

Fanya utafiti utuletee ni kwa nini anatumia jina la mtu mwingine? itakuwa bora zaidi na itatupa mwanga wa kuchangia vizuri.
 
Mkuu mbona unakwenda nje ya mada?nani ameongelea mambo vya vyama?mimi kama mtoa hoja sijaonjelea chama bali nimejikita zaidi kwenye matumizi ya jina!

Yaani unasema kwa kifupi kwamba Julius Mtatiro huenda ni jina la mtu ambaye yuko hukoooo anachunga ng'ombe au?
 
Sishangai san,..
enzi hizo kufaulu ilikuwa kazi sana na wengine walio kuwa wakifaulu walikua
hawaendi sekondari so ulikua una mlipa hela aliye faulu then unachuku nafasi yake.
Nime yashuhudia mengi sana,sio ajabu.
 
kwa wanaomjua naomba wadondoke na data za kutosha za familia yake kama hajatokea kwenye famia ya mtatiro tujue.
 
Guys! give the man a break! You have chosen your party and he has chosen his! Isiwe nongwa yeye kutokuwa CDM. Kama mnamuona jembe si bora mumuendee kistaarabu?

Break ya nini?! Kuna kipi kafanywa hadi tumpe hiyo break unayolilia hapa? Una hakika gani kama hayuko cdm? Kama yuko kimkakati tu huko kwenu then asignment ikiisha arudi anakostahiki na pongezi za kutosha? Mshauri aweke wazi kwa nini katumia jina bandia na ikiwezekana aje hapa JF tumtupie maswali mawili matatu then itakua safi na hatojadiliwa tena kiivyo kama unachukia akijadiliwa.
 
Mtatiro si mtanzania wa kwanza kurudia shule baada ya kukosa nafasi ya kuchaguliwa kwenda secondary, watanzani wengi sana waliosoma miaka ya sabini themanini na tisini hata sasa wanatumia majina ambayo si yao, wakati ule kwenda secondary haikuwa shuhuli rahisi unakuta kata nzima wamechaguliwa watano au sita so watu wanatafuta majina ya walioacha shule au watoro wa kudumu wanayatumia kujaribu tena bahati yao, kama hii scenario ndo inamhukumu Mtatiro mimi nitakuwa upande wake kabisaaa
Kwa maana hiyo jamaa alifeli akatafuta second chance ndio akafaulu, which means jamaa ni kilaza. Pia kutafuta 2nd chance haihalalishi kitendo alichokifanya kwani sio mfano mzuri kwa jamii, ingawa anaweza kuwa na sababu za msingi kufanya hivyo na manufaa yake ameyapata. Hope hii experience itamsaidia kupata ubunge 2015 kwani alishafeli ubunge 2010.
Watanzania lazima tujenge utaratibu wa kuwaweka viongozi katika public scrutiny ili tupate viongozi wazuri na wasafi. Haya mambo ya kuwa na RAIS MWENYE GPA 2.1 yanatokana na kutowaweka viongozi ktk public srutiny. Nawapongeza CUF kwa kujua maovu ya Mtatiro, endeleeni kwa viongozi wengine...
 
Sasa hivi shule za secondari kibao both private na public, wakati mtatiro anasoma kule kwao shule ziliyokuwepo ni Tarime ,Mara na Musoma sec tu,ilikua kazi ngumu sana kuchomoza na kwenda shule ya sekondari. Cha msingi hapa tuangalie Je alitumia jina la mtu akafanya mtihani na kufaulu kwenda sec na baadae chuo au alinunua cheti?Kama ni effort zake basi hapo hamna hoja na ikifuatiliwa watu wengi sana wataumbuka manake ni wengi wamepitia mkondo huo
 
Alikariri several time!
Alafu mambo ya majina hayo viongozi fulani wana majina sio yao mbona
 
Sasa hivi shule za secondari kibao both private na public, wakati mtatiro anasoma kule kwao shule ziliyokuwepo ni Tarime ,Mara na Musoma sec tu,ilikua kazi ngumu sana kuchomoza na kwenda shule ya sekondari. Cha msingi hapa tuangalie Je alitumia jina la mtu akafanya mtihani na kufaulu kwenda sec na baadae chuo au alinunua cheti?Kama ni effort zake basi hapo hamna hoja na ikifuatiliwa watu wengi sana wataumbuka manake ni wengi wamepitia mkondo huo,Rhobi Makindi alikua anabadilishwa anaitwa Robert Makendo,Mkami Bisendo anaitwa Mkama Biseko baada ya kurudia shule.
 
Mtatiro si mtanzania wa kwanza kurudia shule baada ya kukosa nafasi ya kuchaguliwa kwenda secondary, watanzani wengi sana waliosoma miaka ya sabini themanini na tisini hata sasa wanatumia majina ambayo si yao, wakati ule kwenda secondary haikuwa shuhuli rahisi unakuta kata nzima wamechaguliwa watano au sita so watu wanatafuta majina ya walioacha shule au watoro wa kudumu wanayatumia kujaribu tena bahati yao, kama hii scenario ndo inamhukumu Mtatiro mimi nitakuwa upande wake kabisaaa

Kwani sheria inasemaje kuhusu hili? Ukiwa mtoro au ukiacha shule basi unapoteza haki-miliki ya jina lako?
 
Ukipenda siasa uwe na moyo wa chuma. Moyo wa nyama ngumu kuvumilia!Kaazi kwelikweli.
 
Ni hatari kudanganya jina/umri kwa sababu kama kwenye mambo madogo sio muaminifu je wananchi watakuamini vipi kwenye mambo makubwa? Hili ni kosa tosha la kujiuzulu nyadhifa.

Saidi Bagaile!!!
 
Mtatiro si mtanzania wa kwanza kurudia shule baada ya kukosa nafasi ya kuchaguliwa kwenda secondary, watanzani wengi sana waliosoma miaka ya sabini themanini na tisini hata sasa wanatumia majina ambayo si yao, wakati ule kwenda secondary haikuwa shuhuli rahisi unakuta kata nzima wamechaguliwa watano au sita so watu wanatafuta majina ya walioacha shule au watoro wa kudumu wanayatumia kujaribu tena bahati yao, kama hii scenario ndo inamhukumu Mtatiro mimi nitakuwa upande wake kabisaaa

Sishangai san,..
enzi hizo kufaulu ilikuwa kazi sana na wengine walio kuwa wakifaulu walikua
hawaendi sekondari so ulikua una mlipa hela aliye faulu then unachuku nafasi yake.
Nime yashuhudia mengi sana,sio ajabu.

Rhobi Makindi alikua anabadilishwa anaitwa Robert Makendo,Mkami Bisendo anaitwa Mkama Biseko baada ya kurudia shule.

Vilevile wapo waislamu walojiita majina ya kizungu kama vile Victor Hugo lakini wale ninaowajua walibadilisha majina kwenye Idara za Vizazi na Vifo kupitia mahakamani, na huo ndio utaratibu rasmi.

Kinyume chake, ni kosa mtu kutumia jina jengine kinyemela na wala "dhamira njema haihalalishi tendo ovu".
 
Kwa maana hiyo jamaa alifeli akatafuta second chance ndio akafaulu, which means jamaa ni kilaza. Pia kutafuta 2nd chance haihalalishi kitendo alichokifanya kwani sio mfano mzuri kwa jamii, ingawa anaweza kuwa na sababu za msingi kufanya hivyo na manufaa yake ameyapata. Hope hii experience itamsaidia kupata ubunge 2015 kwani alishafeli ubunge 2010.
Watanzania lazima tujenge utaratibu wa kuwaweka viongozi katika public scrutiny ili tupate viongozi wazuri na wasafi. Haya mambo ya kuwa na RAIS MWENYE GPA 2.1 yanatokana na kutowaweka viongozi ktk public srutiny. Nawapongeza CUF kwa kujua maovu ya Mtatiro, endeleeni kwa viongozi wengine...
Hapo kwenye red, sitaki kukubali kuwa watu waliofeli nyakati zile walikuwa vilaza, kumbuka mkoa wa mara ulikuwa na sekondari tatu tu yaani Tarime Sec, Mara na Musoma alliance kwa hiyo kupata nafasi haikuwa rahisi kumbuka pia rushwa ilikuwa sehemu ya watu kuchaguliwa katika shule hizi na fact zingine kibao. Amini usiamini kuna watu wengi sana Bongo wanaotumia majina yasiyo yao waliosoma nyakati hizi.
 
Kwani sheria inasemaje kuhusu hili? Ukiwa mtoro au ukiacha shule basi unapoteza haki-miliki ya jina lako?
Mkuu kwanza naomba uelewe kuwa we not justifying this bu it is unfortunate kwamba imefanyika katika nchi yetu kwa kiwango cha juu hata watu ambao hutegemei wamepitia the same trend so mkichokonoa hili kwa Mtatiro hatimaye utashangaa ni wengi wasio salama katika hili
 
Back
Top Bottom