Uganda: Rais Museveni apiga marufuku uhamasishaji wa Mapenzi ya Jinsia moja

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
GI3DbWE37LYxHoWLxWB7BNJFDh1XKWRbid0oz-2WQ_qaqTdBMQI5IJzrM8ecXCgu_djONjdRP3mPV9jqu1m3shswhk8GoFZEpg-fnB328Q=s750
Rais Yoweri Museveni ameonya wanaotaka kufanya kampeni zozote zinazounga mkono Haki za Wapenzi wa jinsia moja nchini mwake ambako vitendo hivyo tayari vimeharamishwa Kisheria.

Museveni ameita Haki za Wapenzi wa Jinsia moja kuwa ni 'Upuuzi' na kuongeza kuwa alifurahi kuhudhuria mkutano Viongozi wa Afrika nchini Marekani na hakusikia masuala ya Haki za LGBTQ yakizungumzwa.

Amesema "Usilete upuuzi wowote hapa, tulikuwa Washington Wamarekani walipanga mkutano vizuri kwa sababu hawakuleta masuala haya. Walijikita kwenye Biashara na hawakuleta mambo ya Mapenzi ya Jinsia moa, kama wangeleta tungekuwa na matatizo."

===============

Uganda's President Yoweri Museveni has warned against campaigns supporting rights of homosexuals in the country.

Homosexual acts are already illegal in Uganda.

The president termed gay rights as "nonsense" during remarks made on Wednesday at a graduation ceremony at the National Defence College.

He added that he was glad to have attended a recent meeting in the US where issues of gay rights were not brought up.

The president said:

"Don't bring any more nonsense here... We were in Washington, [and] this time the Americans organised the meeting well because they didn't bring up these issues. They concentrated on business which was good. They didn't bring up issues about homosexuality. But if they would have brought those we would have had problems."

THE STAR
 
Back
Top Bottom