Malisa Gj: Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
207
453
Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini. Hata hivyo nashauri Polisi wasiishie kwa mashoga tu bali wakamate na mabasha pia.
Shoga akikamatwa ataje "wanaomshughulikia" ili nao wafunguliwe mashtaka. Kukamata mashoga bila mabasha hakuondoi tatizo. Kuna "scenario" za mashoga ambao waliharibiwa na ndugu zao, wazazi wao, walezi wao, wanafunzi wenzao (hasa shule za boarding) na wengine waliharibiwa na viongozi wa dini. Kwahiyo kukamata mabasha ni sehemu muhimu ya kushinda hii vita.

Tukumbuke ushoga ni kosa kisheria, tangu wakati wa ukoloni. Wajerumani walipokuja nchini mwaka 1889 walizuia mapenzi ya jinsia moja. Japo hawakutunga sheria lakini yeyote aliyebainika kufanya hivyo aliuawa.

Walipokuja Waingereza walitunga sheria ya kupinga ushoga na usagaji. Sheria ya kanuni ya adhabu ya mwaka 1945, kifungu cha 3 kilitoa adhabu ya kifungo hadi miaka 30 kwa watu watakaopatikana na hatia ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Tulipopata uhuru tukaiongezea makali sheria hiyo. Mwaka 1998 tukatunga sheria maalumu ya makosa ya kujamiiana (Sexual Offense Special Provision Act) ambayo iliongeza adhabu hadi kifungo cha maisha, na adhabu ya kifo kwa makosa ya ushoga na usagaji (kufungu cha 138).

Majirani zetu hawakua na sheria ya aina hiyo, lakini sasa hivi wameanza kutunga. Uganda muswada upo tayari unasubiria tu saini ya Rais uwe sheria.

Tuliposikia hivyo tukawapongeza Uganda tukasahau sisi tunayo sheria siku nyingi kabla hata Museveni hajazaliwa. Tunayo sheria tangu mwaka 1945. Kwa kifupi mashoga wote waliopo mtaani leo wamezaliwa wakakuta sheria inayopinga ushoga. Unless kama kuna lishoga lililozaliwa kabla ya 1945.

Ni kweli sheria ilikua haitekelezwi. Inawezekana serikali "ilijisahau" au iliamua kukausha. Lakini baada ya vitendo vya ushoga kuongezeka, sasa sheria imeanza kutekelezwa. Mashoga wanakamatwa. Ajabu ni kwamba walewale mliosifu Uganda kutunga sheria ya kudhibiti ushoga, ndio haohao mnaolalamika mashoga Tanzania kukamatwa. Paradox.!

Kuwalaumu polisi kukamata mashoga ni kuwaonea tu. Polisi wanatekeleza sheria. Kumbuka sheria inasema ushoga ni jinai kama zilivyo jinai nyingine.. Kwahiyo Polisi kumkamata shoga haina tofauti na polisi kumkamata jambazi. Kwa kifupi polisi wanatekeleza wajibu wao kwa mujibu wa sheria. Kama hatutaki mashoga wakamatwe basi tufute sheria inayozuia ushoga, halafu tuone kama kuna polisi atahangaika na toto la mtu linalogeuzwa.

Lakini kwa sheria zilizopo polisi wana haki ya kuwakamata mashoga wote na kuwafikisha mahakamani.

Kuhusu polisi kukamata watu "wanaohisiwa" kuwa mashoga na kwenda kuwapima nadhani ni sawa. Lakini isichukuliwe kama njia ya kudhalilisha watu. Wakamatwe wale tu ambao polisi wamejiridhishwa "beyond doubts" kwamba wanaweza kuwa mashoga.

Isitumike kama "gear" ya kisiasa ya kukamata wapinzani na kuwadhalilisha. Si mnakumbuka issue ya madawa ya kulevya Bashite alitaja watu wasiohusika, simply kwa sababu anawachukia.

Mtu asiwe "harrased" wakati wa kukamatwa. Ukimhisi mtu ni shoga usianze kumpiga kabla hujafanya uchunguzi na kujiridhisha. Unaweza kuua mtu halafu baadae ukagundua hakua na hatia. Ukimkamata nenda kampime kama sheria inavyotaka. Ikibainika ni shoga peleka mahakamani. Kama sio shoga mwachie huru na umwombe radhi.

Kuhusu haki za binadamu, hakuna haki yoyote ya binadamu inayosema watu wa jinsia moja waingiliane. Kwakifupi ushoga sio haki ya binadamu. Haki za binadamu ni kama kuishi, kutoa maoni, kuabudu, kupata elimu, kupata malazi, chakula. Hakuna haki ya kuwa shoga. Haki gani ya kupumuliwa kisogoni na mandevu yako? Stupid (in SSH's voice).

Pia ieleweke shoga kufungwa jela anapopatikana na hatia sio kuvunja haki za binadamu. Mbona jambazi akifungwa jela, hatusemi tumevunja haki za binadamu? Naunga mkono mashoga na "mabasha zao" kukamatwa. Kama hatutaki wakamatwe, tuliambie bunge lifute sheria ili ushoga uwe halali hapa nchini. Lakini kwa sasa ushoga ni jinai, na mtu yeyote anayefanya jinai anastahili adhabu. Period.!
 
Sahvi hawa mashoga wanaojianikaanika kwenye media kazi
Wanayo
Aggrey,James delicious na hao wasani wanaowaleeni shuguli mnayo
Angalau sahv kutatulia .....
Kama maujinga yenu mtayafanya huko chobingo

Ova
 
Huyu nae,

Aendelee kukusanya hela za misaada tu apate ugal wake....

Unamtambuaje mtu ni Shoga?
Hii ya kupima watu muhimbili Kuna siku itatumika kama silaha kwa wapinzani wa serikal na mtaanza kulia lia kama nguchiro...👇
 
Attachments

  • Screenshot_20230421-174341_Twitter.jpg
    Screenshot_20230421-174341_Twitter.jpg
    166.6 KB · Views: 10

japo sikuung mkono ila article iko very smart , mtu ashikwe akiwa anafanya ushoga na sio kumkadilia tu , hii wanasiasa wanaeza itumia kukandamiza wapinzan au wakosoaji wao
 
Mimi Sijaelewa unampimaje mtu na kuthibitisha kuwa ni shoga!?

Kuangalia sehemu ya haha kubwa kama imetanuka sana ndio kujua ni ushoga!?

Vipi kama jamaa ana makimba makubwa sana!?

Vipi kama jamaa anajiingiza chupa kwenye huko ila Halali na wanaume ndio kusema ni shoga!?

Je Wanawake wanaofanga ngono kinyume na maumbile nao watapimwa kujua kama ni mashoga!?

Sio kwamba shoga utamtambua kwa kushuhudia na macho pasi na shaka kuwa anafanya kitendo Cha kishoga.

Mimi unaweza Kuta hirizi ndani kwangu ndio kusema Mimi mchawi au mshirikina!?

Vipi kama mchawi aliisahau Jana usiku alipokuja kuniwangia wakati nimelala!?

Naona wenge tu hapo!!!!
 
... taaluma za watu hizo!
 
Maelezo mengi, pumba tupu. Watu wa siku hizi kujifanya wanauwezo wa ku reason
 
Wapewe mashamba walime
 
Sahvi hawa mashoga wanaojianikaanika kwenye media kazi
Wanayo
Aggrey,James delicious na hao wasani wanaowaleeni shuguli mnayo
Angalau sahv kutatulia .....
Kama maujinga yenu mtayafanya huko chobingo

Ova
Siku wakimkamata Delicious,waniite nikampime
 
Mimi Sijaelewa unampimaje mtu na kuthibitisha kuwa ni shoga!?

Kuangalia sehemu ya haha kubwa kama imetanuka sana ndio kujua ni ushoga!?

Vipi kama jamaa ana makimba makubwa sana!?

Vipi kama jamaa anajiingiza chupa kwenye huko ila Halali na wanaume ndio kusema ni shoga!?

Je Wanawake wanaofanga ngono kinyume na maumbile nao watapimwa kujua kama ni mashoga!?

Sio kwamba shoga utamtambua kwa kushuhudia na macho pasi na shaka kuwa anafanya kitendo Cha kishoga.

Mimi unaweza Kuta hirizi ndani kwangu ndio kusema Mimi mchawi au mshirikina!?

Vipi kama mchawi aliisahau Jana usiku alipokuja kuniwangia wakati nimelala!?

Naona wenge tu hapo!!!!
Punguza khofu mkuu
 
Huyu nae,

Aendelee kukusanya hela za misaada tu apate ugal wake....

Unamtambuaje mtu ni Shoga?
Hii ya kupima watu muhimbili Kuna siku itatumika kama silaha kwa wapinzani wa serikal na mtaanza kulia lia kama nguchiro...
Wewe unadhani watumie njia ipi?
 
Back
Top Bottom