Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Hivi karibuni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM alileta mjadala usiokuwa na tija wa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA anamiliki kadi mbili. Mjadala huo uliungwa mkono na Shonza, Mwampamba, Edo Makata, Kisandu n.k. Katika kufuatilia kwangu wote waliounga mkono hoja ya Nape nao wameshahama vyama ila nasikia aliyerudisha kadi ya CHADEMA ni Kisandu peke yake. Japo hoja hii haina mashiko naomba Nape asimamie ujinga wake ili aonekana ana misimamo katika maneno yake na awaambie Shonza na Mwampamba warudishe kadi zao za CHADEMA ili wawe wanachama halali wa CCM.
 
Hili swali atalijibu vizuri akiwa hajavaa shati au tshirt ya kijani manake huwa nashindwa kuelewa hizo nguo cjui zina kemikali gani ya kufifisha uwezo wa kufikiri
 
Mtanke, hukuwaona jana wakimkabidhi kadi zao za Chadema JK?Au ulikuwa unatafuta umtukaneje Nape ili ukachukue posho yako leo?



Hivi karibuni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM alileta mjadala usiokuwa na tija wa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA anamiliki kadi mbili. Mjadala huo uliungwa mkono na Shonza, Mwampamba, Edo Makata, Kisandu n.k. Katika kufuatilia kwangu wote waliounga mkono hoja ya Nape nao wameshahama vyama ila nasikia aliyerudisha kadi ya CHADEMA ni Kisandu peke yake. Japo hoja hii haina mashiko naomba Nape asimamie ujinga wake ili aonekana ana misimamo katika maneno yake na awaambie Shonza na Mwampamba warudishe kadi zao za CHADEMA ili wawe wanachama halali wa CCM.
 
Mbona kama kamechoka sana hako kademu? hadi kuingizwa kwenye ratiba ya kupiga picha na rais kweli kamegawa uchi hadi wazee wakashiba kwa sababu hakuna kazi kubwa ya maana kamefanya kusema kwamba anapata recognition kwa kupita picha na rais. kama walitumwa kusambaratisha chadema hawakufanikisha, hivyo haiwezekani kutuzwa
 
Du hawa ndugu zangu wa Mbozi wameniangusha sana. Nafikili hata pale Tunduma kitofu cha biashara na siasa za upinzani watakuwa wanawashangaa sana.Mbeya imeshabadilika lakini wao wanarudi kule kule. Wamuulize Shitambala kama anavuma tena.
 
Afadhali wameondoka na mungu awasaidie huko waliko watalipwa sawasawa na usaliti wao
 
Hivi karibuni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM alileta mjadala usiokuwa na tija wa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA anamiliki kadi mbili. Mjadala huo uliungwa mkono na Shonza, Mwampamba, Edo Makata, Kisandu n.k. Katika kufuatilia kwangu wote waliounga mkono hoja ya Nape nao wameshahama vyama ila nasikia aliyerudisha kadi ya CHADEMA ni Kisandu peke yake. Japo hoja hii haina mashiko naomba Nape asimamie ujinga wake ili aonekana ana misimamo katika maneno yake na awaambie Shonza na Mwampamba warudishe kadi zao za CHADEMA ili wawe wanachama halali wa CCM.
Pamoja na ujanja wake wote wa kujifanya ni malaika mwenye nuru njema shetani hubadilika na kukimbia akiwa mwenye pembe kumi,manyoya na meno marefu huku kwato zake zikiwa pana sana na mwenye majeraha mwili mzima mara tu asikiapo jina la yesu likitajwa.Juliana Shenzi na Mwampamba wamenikumbusha picha moja ya Nigeria Mashetani walioua watu wengi na baadaye wakakwaa kisiki kwa mtu wa Mungu sana alipowakemea walianguka chini watapatapa huku na huku wakadadilika sura na mmoja akafanikiwa kukimbia kurudi kwa kwa malkia wa mashetani akawa anapokelewa kwa vilio vingi huku majini wengine wkikata tamaa na kufa kwa jina la Yesu....JK nilimuona akiwa hana matumaini huku Mwigulu na Nape wakiwa na huzuni saaaaaana walipomuona Juliana aliyeshindwa kuwaletea matunda yakishetani waliomtuma kule Chadema yaani kuisambaratisha Chadema akijitambulisha mbele ya Genge la Mashetani Ccm kwenye mapango yao yalioko huko Dodoma...Kwakweli mashetani yameelemewa na Jina lenye Nguvu CDM linawatesa mashetani hawa
 
kutokana na tukio la jana la rais (m/kiti wa ccm taifa) kuwapokea vijana wawili mwampamba na shonza ambao walifukuzwa na chama ngazi ya baraza la vijana lakini matokeo yake wanakwenda kupokelewa na m/kiti wa taifa wa ccm hii inadhalilisha nafasi ya m/kiti.

Hii inadhihilisha kuwa chadema kwa sasa iko juu sana, mwampamba ni mwanachama wa kawaida na shonza alikua m/kiti ndio maana hata hukumu zao zimetolewa na kamati tendaji ya bavicha kwa maana hawana hadhi ya hata suala lao kufikishwa ngazi ya juu ya chama lakini wanapokelewa na viongozi wa taifa wa ccm.

Nina maswali mawili nawauliza wanajamii, hivi kama wangefukuzwa na kamati kuu ya chama (cdm), je kule ccm wangepokelewa na nani? pili kama wangekuwa wamefukuzwa kutoka chama cha CHAUSTA wangepokelewa kama ilivyo jana? Hii inadhihilisha kuwa cdm ni cdm kikubwa kuliko ccm na kinachokwenda kuchukua dola 2015.
 
NI aibu pia kwa Rais wetu kwani indhihirisha pia anakubaliana na malalamiko ya wapinzani kuwa CCM na viongozi wake kwa kutumia Polisi na nafasi walizonazo kuua upinzani.Ni wakati sasa CCM kukubali kuwa upinzani upo kwa ajili yakujenga nchi na katiba ya nchi inaruhusu.:confused2:
 
Labda wamemwambia kuwa kazi waliyowatuma kusambaratisha chadema imetimia yeye si mtu wa kudanganywa kila siku kama mwenyewe anavyokiri ,vinginevyo ilikuwa ni kupoteza muda,hata magazeti ya chama chake habari leo,Uhuru,jambo leo,yote wameandika viongozi waandamizi wakijua hawakuwa viongozi duh kweli Raisi hana kitu cha kifanya
 
Mi nilizani wanampokea Zitto ,Lema? Lisu,Mdee na majembe wengine aha sifa zote hizi wanampokea Shonza kaaazi kwelikweli. Tunakutakia maisha mema ya siasa huko uendako dada ndani ya cdm kwa maoni yangu wewe sawa na soksi hata usipoivaa kiatu kinavalika tuuuu.
 
Muda aliopoteza kufanya hayo maigizo, angekuwa makini angekuwa Geita au Mwanza akiongea na wakuu wa mikoa juu ya mauaji ya kidini. Tumwombeni Mungu ampe ufahamu mkuu wetu wa nchi na wote wenye dini zetu mbali mabili tumwombee mkuu wetu wa nchi ili amalize vizuri muda wake kwa amani na upendo na washauri wake kama wataweza kupitia hapa jamani chonde chonde msimpotoshe mzee huyu, msaidieni awatumikie wananchi wa Tanzania asitumikie chama.
 
kutokana na tukio la jana la rais (m/kiti wa ccm taifa) kuwapokea vijana wawili mwampamba na shonza ambao walifukuzwa na chama ngazi ya baraza la vijana lakini matokeo yake wanakwenda kupokelewa na m/kiti wa taifa wa ccm hii inadhalilisha nafasi ya m/kiti.

Hii inadhihilisha kuwa chadema kwa sasa iko juu sana, mwampamba ni mwanachama wa kawaida na shonza alikua m/kiti ndio maana hata hukumu zao zimetolewa na kamati tendaji ya bavicha kwa maana hawana hadhi ya hata suala lao kufikishwa ngazi ya juu ya chama lakini wanapokelewa na viongozi wa taifa wa ccm.

Nina maswali mawili nawauliza wanajamii, hivi kama wangefukuzwa na kamati kuu ya chama (cdm), je kule ccm wangepokelewa na nani? pili kama wangekuwa wamefukuzwa kutoka chama cha CHAUSTA wangepokelewa kama ilivyo jana? Hii inadhihilisha kuwa cdm ni cdm kikubwa kuliko ccm na kinachokwenda kuchukua dola 2015.
wliwapokea kwa kujenga hila na hila inawarudi wenyewe,ccm ni pembe la ngombe,hila zao hazifichiki kila wanalofanya mambo hadharani mpaka 2015 watakuwa choka mbaya
 
waungwana mnalonga sana hao ndo wabaya wa cdm mtu akizoe kuiba ataiba tuu hata apewe nini na kwa chadema ngoma ya watoto haikeshi na wanafiki kama hao akina mwampamba na shonza hawana nafasi waende zao huko ndo kwaooooooo
 
Ukiwa Ccm hata akili hunakua huna
Aaaah OK???
Stori za vijiweni bana......
090702114614_chimpanzee386.jpg
 
Back
Top Bottom