Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

tulisha sema hakuna mtu atakaye fanya kazi ya CCM ataachwa atambe ndani ya CHADEMA wamekwenda waliko kuwa wanafanyia kazi yao ila Mwampamba ametangaza vita na Zambi !!!

Ni aibu kuahamia huko baada ya kufukuzwa wangekuwa wajanja wangehamia kabla hawajafukuzwa
 
Sasa uongozi wa bavicha umemkosa,akogombee uenyekiti wa uvccm! Nawashukuru sana jamii forum, habari hii iliwekwa hapa, watu wakadhani utani,leo yametimia!
 
Hatimae mapepo yamerudi kuzimu! Wote tuseme aaaamen!
 
Juliana maziwa wazi...kifungo...,jicho nyanya kaegemea Kitua cha mume wa Watu ....rough Kama kukurupushwa guest.....na kwa kumuangalia dhamira inamsuta....bora huyu mwambapa Ana confidence Fulani ...
Watampiga miti ...hadi akubaliii
 
Recycling dirt is business once Chadema kick out the mole some else need the junk...
 
Kwangu mimi kiongozi anayehamahama chama ni ishara ya udhaifu. Ni upuuzi na upuuzi wa hali ya juu kushangilia ujio wa mwanachama anayetoka chama kingine.

hao hawajahama, wamejiunga na ccm wakiwa hawana chama. Kichwa cha habari kingesomeka, wamejiunga badala ya kuhamia.
 
Hiyo Blouse Juliana aliiokota wapi? mbona kama imetafunwa na Ng'ombe
 
Kuhama kwake pia ni uthibitisho kwamba kumbe Ben Saanane alikuwa mkweli kwamba Juliana na wenzake walikuwa mapandikizi ndani ya chadema.
Pili, walikuwa wanatunga kashfa za uwongo dhidi ya Dr Slaa, Mbowe na Chadema kwa ujumla. Mbio za sakafuni......

Hapo kwenye blue,
Ina maana ndio wale waliokuwa wanatumia ID ya 'Tuntemeke' hapa JF ????
Maana ni siku nyingi 'Tuntemeke' hajaonekana JF !!!!
 
hao hawajahama, wamejiunga na ccm wakiwa hawana chama. Kichwa cha habari kingesomeka, wamejiunga badala ya kuhamia.

Na wangeongeza kuwa hawa walitimuliwa CDM
 
Atambie kitu gaaani??
aende huko huko kwa mafisadi,huku CHADEMA hakuna nafasi,

JULI SHONZA.jpg

eti nae ajigambe.!,ajigambe?
ajigambe ana nini??
 
Back
Top Bottom