KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Kwamba ataeleza madhila aliyoyapata akiwa CDM ili ifutwe? Je kuna madhila yanayozidi wizi wa mali za Tanzania ulioongozwa na huyo mwenyekiti wa ccm?
Huyo ndiye Mkulu wa Tanzania, kweli tutasota saana hadi 2015 hakuna rangi tutaacha kuona!!!Nilitegemea katika masaa 24 kuanzia saa 4 asubuhi jana angelikuwa ameongelea suala la Buselesele, Gaita. Au ameshafanya hivyo ila mimi ndiye niko nyuma ya pazia!?
Kwa jinsi suala la vijana hawa lilivyo, hata Nape kuwapokea isingekuwa busara labda katibu wa wilaya wa chama!
Muda mwingi wa viongozi wa CDM umeelekezwa kwenye kukemea rushwa na masuala mbali mbali yahusuyo Taifa letu.ametumia uamuzi wa busara kujiunga na chama chenye mpangilio mzuri wa uongozi ndani ya chama
haaa haaaa
halafu bado anataka kugombea uenyekiti wa BAVICHA
this is increadible
Taswira,
Naona watu wamezila kukugonga LIKE wanaombeleza. Umeanzisha UZI huu umewaulimiza mioyo.
ingekuwa kuhama huko ni kutoka CCM ( MBONI MHITA - makamu UVCCC) kwenda Chadema LIKE zingekuwa hazina kipimo.
Atagombea Uenyekiti wa BAVICHA kwa tiketi ya CCM.Sasa anasema hapa yeye atagombea Uenyekiti wa Bavicha, atagombea akiwa anatoka CCM?
Mkuu ninaona wamepokelewa baada ya kufanya kazi waliyotumwa, ila vita ya kuvuruga CDM imewashinda, Mwigulu na Nape wake wapange mbinu mpya hiyo imefeli vibaya saana!!!!Hahaha ccm kushiney, wanashangilia kulamba magalasa!? Kwakuwa imekosa mvuto kwa vijana si vibaya ikajipongeza kwa kuwapata hao maPM7.
Sasa nimefahamu kwanini muda wote walikuwa wanapiga piga makelele kwamba bado wao ni wanaChadema kumbe ilikuwa mbinu ya kuwafanya ccm iwathaminishe zaidi.