bushman
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,413
- 747
Kweli nyie ccm mko desperate kweli saizi nchi hii, hao hawajahama cdm wamefukuzwa hawakutoka kwa hiari yao,sasa ndio mmemsogezea mwigulu nchemba juliana shoza ATAPIGA KWELI SASA DUU VIGOGO WA CCM WANAFAIDI NYAMA LAINI!! Na mimi kwa heshima na taadhima naomba nimpongeze sana john heche na uongozi mzima wa bavicha hakika mlilenga shabaha hamkukosea na kweli baada ya kuwatimua tumesoma matamko yao mengi ya kuwashambulia viongozi wa juu wa cdm ili kukamilisha kazi waliyotumwa na mwigulu nchemba.you made my day bavicha.