MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Opportunist!
Opposition!
Opportunist!
hivi ni kwamba inauma au?Ameamua kula matapishi yake, huko ameenda kujizika
JK naye hana kazi za kufanya? Anadhalilisha kiti chake.
Mkuu vijana kama hawa hawana bei maana ni njaa kali inawasumbua!! Kwa ushauri wangu huyo Shonza atafute kazi ya kufanya aachane siasa za maji taka, vinginevyo ndio anaishia hivyo!!!haya maswali mengine huwa hatuyaulizagi lakini ni muhimu wakuu!
Hivi, mtu kama huyu kwa haraka haraka anapata shilingi ngapi kwa kazi kama hii aliyokuwa ametumwa???
Mfano namsikiaga Mh. zitto akisema "mimi sina bei" ambapo nafikiri huwa anamaanisha reputation yake na kusaliti, sasa hiyo pesa ya kudhalilisha utu wako (kuongea usichoamini hadharani) ina thamani gani?
mfaa maji.... Amuulize Tambwe Hiza yupo wapi kwa sasa aliama cuf kwa makeke kwenda kwa magambaTaarifa zilizopatikana muda huu ni kwamba JUliana Shonza na Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mbozi mashariki(MTELA ALLAM MWAMPAMBA) wamehamia CCM NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA Rais KIKWETE
Tukio la kuwapokea vijana hao limefanyika Dodoma mbele ya Rais wa nchi (MWENYEKITI WA CCM TAIFA) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
Vijana hao ambao wameteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa, Wamepewa nafasi ya kutoa ushuhuda wa kile kinachofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mmoja ametoa ushuhuda wake kadri alivyotendewa na yanayotendeka ndani ya CHADEMA.
Mapokezi yao yamekuwa makubwa sana kutokana na kuunganishwa na shughuli zingine za kichama zinazomalizika muda si mrefu.
Taarifa zaidi itakujia nikifanikiwa kupata VIDEO nitaiweka, Dr J.Kikwete awapokea rasmi muda huu,,!!
![]()
Mkuu ninaona wamepokelewa baada ya kufanya kazi waliyotumwa, ila vita ya kuvuruga CDM imewashinda, Mwigulu na Nape wake wapange mbinu mpya hiyo imefeli vibaya saana!!!!
![]()
ALIYEKUA MAKAMU MWENYEKITI BAVIACHA(UMOJA WA VIJANA CHADEMA)...JULIANA SHONZA....NA MPIGANA MTELA MWAPAMBA...WATUA RASMI CCM.............
LEO NAKUMBUKA MANENO ...YA MWAL JK NYERERE BILA CCM INCHI HII ITAYUMBA...KARIBUNI SANAA CCM TUJENGE TAIFA IMARA...NA TUIMARISHE DEMOKRASIA YA KWELI......KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...
Kuaminika kupo Mkuu hasa kama unarudi nyumbani kwa nini usipokelewe???magugu na mazao lazima yajimbambanue,hasa kwa siasa za maji taka za ccm hao walikuwa mapandikizi CDM.Hata CCM nao wanatakiwa kuwa makini na watu wa dizaini hii,maaana hakuna kuaminika hapo.