Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Watanzania wana akili siku hizi sio wale kuhama watahama lakini wenye uelewa watajua ni ni cha kufanya hawa kumbe kweli walikua vibaraka hata siku moja huwezi kumkuta bundi kwenye kundi la njiwa
 
poor nape na jk.....nilipita pale nikasikia nape anasema makamu mwenyekiti wa bavicha amehamia ccm.......tafsiri sahihi ni aliyeng'olewa umakamu mwenyekiti bavicha ahamia ccm....

Halafu nape mbona shughuli zenu mnazifungia pale white house? Na hapajai siku hizi? Muwe mnasonga viwanja barafu!
 
Mwacheni aondoke alikua hajafiti kwnye formation ya 4-4-2 ya bavicha.. Kila gem alikua anaanzia bench
 
Dr Slaa naye alitoka CCM akaja CHADEMA. Waacheni vijana hawa watumie hii "transfer window" kabla ya 2015 ebo!
 
Ukimwagwa cdm unaenda ccm ndo vyama vyenye upinzani. Hawa jamaa kumbe kweli ni vibaraka wa ccm.
 
Thanx to CHADEMA's Inteligence Systems.
Safisha safisha hadi maji yawe safi na salama.
 
Huyu ana hadhi ya kupokelewa na mwenyekiti taifa? Kikwete unaidhalilisha hadhi yako.
Ndo ujue hadhi ya CDM,screpa tu kule kwao inanunuliwa na kupokelewa kwa hadhi hii,je mmbunge ! Ndo maana tunasema ccm sasa wanatafuta umaarufu kupitia cdm
 
He he heeee!!
Isaac Mwampashi yuko wapi!

Alisemaje vile?

Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.

Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA

NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.

Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.

NA KWA TAARIFA TU KWA WENGINE NI KWAMBA MIKOA YA KUSINI HAINA DESTURI ZA USALITI TOKA HISTORIA ZA KALE KAMA KINA MKWAWA, KINJEKITILE NK. WAKUSINI WOTE WALIO WASALITI NI WAGANGA NJAA TU NA WATAISHIA PABAYA :nono::wave:

Mwakata mzee !! mponzile!
 
Last edited by a moderator:
Watatangatanga sana hawa wanaonyesha ni wa roho wa madaraka na wanataka vile wanavyopenda wao.
Watasahaulika huko ccm hadi washangae, ccm inawenyewe!
 
Mkuu unashau huyu mamluki alianza kutukana wakubwa zake akiwa ndani ya CDM hivyo hatushangai akipewa mshiko wake kwa nini asilipe fadhira???

Huko walikoenda JK anatukanika vizuri zaidi kuliko Dr Slaa,,, maana kwa jinsi hawa vijana wasivyo na adabu nashindwa kuamini kama hawatamtukana JK au Kinana
 
Mkuu unashau huyu mamluki alianza kutukana wakubwa zake akiwa ndani ya CDM hivyo hatushangai akipewa mshiko wake kwa nini asilipe fadhira???
haya maswali mengine huwa hatuyaulizagi lakini ni muhimu wakuu!
Hivi, mtu kama huyu kwa haraka haraka anapata shilingi ngapi kwa kazi kama hii aliyokuwa ametumwa???
Mfano namsikiaga Mh. zitto akisema "mimi sina bei" ambapo nafikiri huwa anamaanisha reputation yake na kusaliti, sasa hiyo pesa ya kudhalilisha utu wako (kuongea usichoamini hadharani) ina thamani gani?
 
We have HECHE !! who is July by the way ??
 
Hii siku nilikuwa naisubiri sana kwani nilijua itafika. Siku ambayo zile nyimbo zao zinazojirudiajirudi kila zitafikia kikomo. Mara sijui mchumba wa fulani, mara kajikopesha, mara udini/ukanda....hapatakuwa na kipya zaidi ya hayo. Baada ya leo hawatakuwa na nafasi nyingine tena ya kuimba huo wimbo wao. Ndio hapo watakapotafuta "cha kufanya"

Mwenzao kisandu nyimbo zimechuja sasa amehami vyuo vikuu. Eti mtetezi wa wanafunzi wa vyuo vikuu.
 
Waende salama wachumia tumbo hawa.Dhambi hii itawatafuna hadi kaburini.
 
Back
Top Bottom