Juliana Shonza Achumbiwa...

Juliana Shonza Achumbiwa...

Kiburi..dharau..matusi Kwa mumewe baada ya kupata ubunge tu jamaa akaona usiwe tabu akapiga chini maana ulikua full kuchepuka na wakubwa wa CHAMA tena waziwazi ...tulimuambia abadilike hakusikia
 
Kwa mujibu wa kumbukumbu yangu, haijawahi kutokea mwanamke mrembo single akateuliwa waziri, halafu akaolewa akiwa waziri, hii imewahi kutokea maranyingi, kwa mawaziri single wanaume kuoa wakiwa mawaziri, hivyo huyu dada ana chance ya ataweka historia mpya Tanzania, kwa kuwa mwanamke wa kwanza Tanzania, kuolewa akiwa waziri.

Alinyanyaswa sana!, alidharauliwa sana!, alipuuzwa sana!, lakini Mungu ni Mkubwa!.
Jiwe walilolikataa waashi, limefanywa kuwa jiwe Kuu la Pembeni.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.

p.
 
Kwa mujibu wa kumbukumbu yangu, haijawahi kutokea mwanamke mrembo single akateuliwa waziri, halafu akaolewa akiwa waziri, hii imewahi kutokea maranyingi, kwa mawaziri single wanaume kuoa wakiwa mawaziri, hivyo huyu dada ana chance ya ataweka historia mpya Tanzania, kwa kuwa mwanamke wa kwanza Tanzania, kuolewa akiwa waziri.

Alinyanyaswa sana!, alidharauliwa sana!, alipuuzwa sana!, lakini Mungu ni Mkubwa!.

p.
Duuh mbona alishaolewa siku nyingi
 
Duuh mbona alishaolewa siku nyingi
Then ni kosa la mleta thread kuleta thread ya kuchumbiwa tuu lakini sikumbuki kama thread ya harusi, iliishawahi kupanda humu!, unless kama hiyo harusi ilikuwa ya siri au very private!, sikumbuki kuona picha ya mrembo huyu na shela popote!.

P.
 
Nenda official page ya Juliana Shonza utaziona Paschal, umekuwa mvivu wa kufuatilia mambo siku hizi Mzee
 
Kwa mujibu wa kumbukumbu yangu, haijawahi kutokea mwanamke mrembo single akateuliwa waziri, halafu akaolewa akiwa waziri, hii imewahi kutokea maranyingi, kwa mawaziri single wanaume kuoa wakiwa mawaziri, hivyo huyu dada ana chance ya ataweka historia mpya Tanzania, kwa kuwa mwanamke wa kwanza Tanzania, kuolewa akiwa waziri.

Alinyanyaswa sana!, alidharauliwa sana!, alipuuzwa sana!, lakini Mungu ni Mkubwa!.

p.
Muondoe Mungu katika teuzi, nadhani aliye mkubwa katika hili anaeleweka ni nani !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom