Juliana Shonza Achumbiwa...

Juliana Shonza Achumbiwa...

Then ni kosa la mleta thread kuleta thread ya kuchumbiwa tuu lakini sikumbuki kama thread ya harusi, iliishawahi kupanda humu!, unless kama hiyo harusi ilikuwa ya siri au very private!, sikumbuki kuona picha ya mrembo huyu na shela popote!.

P.
 
Attachments

  • IMG_20171008_095230_659.JPG
    IMG_20171008_095230_659.JPG
    32.7 KB · Views: 58
  • IMG_20171008_095144_786.JPG
    IMG_20171008_095144_786.JPG
    48.8 KB · Views: 52
  • IMG_20171008_095129_907.JPG
    IMG_20171008_095129_907.JPG
    38.7 KB · Views: 53
Nenda official page ya Juliana Shonza utaziona Paschal, umekuwa mvivu wa kufuatilia mambo siku hizi Mzee
Its true nimekuwa mvivu sana kwenda fb, ila nilitegemea kwa vile huyu ni member wetu humu, na uchumba uliletwa humu, nikategemea na harusi ingeletwa humu!.

All and all, hongera zake, tutegemee na uteuzi wa ubalozini kwa mwenza wake!.

P.
 
Du!, asante kwa taarifa hii, japo imenikata maini maana...
Basi tuzidi kumuombea, na mumewe pia apate posti ya ubalozini...

Hongera sana mrs fulani!.

P.
Hahaaah!. Kama Angera Kairuki. Viongozi akina sisita du waume wanapigwa mabarozini ili wawanafasi
 
Then ni kosa la mleta thread kuleta thread ya kuchumbiwa tuu lakini sikumbuki kama thread ya harusi, iliishawahi kupanda humu!, unless kama hiyo harusi ilikuwa ya siri au very private!, sikumbuki kuona picha ya mrembo huyu na shela popote!.

P.
Ha ha ha blame game....
 
Its true nimekuwa mvivu sana kwenda fb, ila nilitegemea kwa vile huyu ni member wetu humu, na uchumba uliletwa humu, nikategemea na harusi ingeletwa humu!.

All and all, hongera zake, tutegemee na uteuzi wa ubalozini kwa mwenza wake!.

P.
We jamaa unang'ata na kupuliza
 
Nimependa hapo alipopiga magoti akivishwa pete,
Huu upumbavu wa mwanaume kupiga goti kipindi unamvisha pete mwanamke,
Kwangu niligoma alipiga goti yeye ndiyo nikamvisha na nilimwambia usipopiga goti sikuvishi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom