Juliana Shonza Achumbiwa...

Juliana Shonza Achumbiwa...

Duh inaonyesha Roho inakuuma mkuu,pole weee
hongera dada yangu kwa kupata mtu wa kugegedana naye kihalali, kelele za wasio kupenda achana nazo, k
kumbuka unakaribia kufika menopause na hamu ya kugegedwa itapungua, tumia vizuri kila siku ambayo haupo MP kugegedwa, amka, wakati ndio sasa.
nakupenda sana na nakuombea .
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kua ndoa yenyewe iliyeyuka (ilikua ndoa hewa?).
imevunjika, lakini hata biblia inatambua hilo, bora kuishi peke yako kwa amani kuliko wawili kila siku chuki
 
Hongera Juliana Shonza...kumbe ndo maana kelele zimepungua ee...Halafu mmmmh!!! mbona hujaniaga,? by the way tangu mwaka 2011 pale hall five...nimekumiss mwe.!! Nenda salama July jamaa namfahamu ni mpole sana..! Ngoja nikatoe umbea kwa Amin kwamba... July kimenuka 'siyo msela tena' hivyo tupite mbaliiiiii! au..................
Be a gentle nigga..kwan ukipita lazima uchonge?wanaume wa dar mna mambo sana
 
ila yule mheshimiwa amekubaliana na hili?? umeachana nae???kuwa makini...usije muunginza kijana wa watu katika huba la kuumizana na visasi...........khila la kheri bibie....
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kua ndoa yenyewe iliyeyuka (ilikua ndoa hewa?).

Huyu bwanake kanisumbua sana ila kazaa nae mtoto wa kwanza nilimuuliza abt mtoto wa pili akawa hatoi ushirikiano


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We Mzee bhana....
Mambo ya kuitana Wazee ni kuzibiana na kutaka ku rostishana!, we are all human na tuna weaknesses zetu, hakuna mkate mgumu mbele ya chai, angalia watu tulianza kuwapigania lini
Watu tumepambana sana kuwapambania watu, ila ndio hivyo tena!.
P
 
Hakiyanani namuonea huruma huyu Jamaa,aise pole sana mkuu kwa kuingizwa mkenge

Aisee nlishawah kwenda kwene harusi moja ya kibabe kalikuwepo kanamshobokea boss mmoja ivi nlikuwa nae akakala kimasihara ivi boss yule akisoma ule uzi wa rickboy the sattanist ataleta ushuhuda wake, kama kanaolewa katulie, alafu kwene picha kama karefu, ukikaona live kafupi kembamba hakana chura so hakana mpango 🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom