jukwaa la wahariri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ipyana Samson Njiku

    Je Jukwaa la Wahariri ni Kutoka Dar Pekee Mbona wahariri Kutoka Radio za Mikoani Hatuwaoni Kwenye Mikutano

    Ni kwa Muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Mikutano mbalimbali ya Jukwaa la wahariri lakini sijawahi Kumuona mhariri kutoka radio za mikoani,au wameweka masharti magumu ya kuwafanya wahariri wa nje na Dar washindwe Kujiunga,kuna umuhimi wa Jukwaa hilo kujitathimini na kuangalia namna gani...
  2. Pascal Mayalla

    GE2020 Live from Morena Hotel Mloglo: Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 9 wa MwakaJukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba.

    Wanabodi, Salaam, Mimi mwanabodi mwenzenu Mzee Pasco, ambae ni member wa TEF, niko live hapa Morena Hotel, mjini Mloglo, mji kasoro bahari, kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 9 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba...
  3. Pascal Mayalla

    Live kutoka Peackock Hotel: Kikao Kazi Kati ya Wizara ya Nishati, TBPA, TPDC na Jukwaa la Wahariri, TEF, Kujadili Sekta ya Mafuta na Gesi .

    Wanabodi, Jumapili ya leo, niko hapa ukumbi wa hotel ya Peackock jijini Dar es Salaam, kuwaripotia live, Kikao Kazi Kati ya Wizara ya Nishati, TBPA, TPDC na Jukwaa la Wahariri, TEF, Kujadili Sekta ya Mafuta na Gesi nchini Tanzania. Karibuni kupitia Mwanahalisi...
  4. Pascal Mayalla

    Live From NIMRI: Kikao Kazi Wahariri wa TEF na Hospitali ya Benjamin Mkapa, Jinsi Ilivyo Mkombozi Mkuu na wa Pekee wa Upandikizaji Figo, na uloto!.

    Wanabodi, Nikiwa member wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, nakuripotia live, kutoka ukumbi wa NIMRI, Ocean Rd, jijini Dar es Salaam, taarifa ya kikao kazi kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF na Hospitali ya Benjamin William Mkapa, kuwajulisha jinsi hospitali hii Ilivyo, sio tuu ni...
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)latoa pole na wito wa haki baada ya vurugu na vifo vilivyotokana na Uchaguzi Mkuu 2025

    POLENI WATANZANIA, TUJISAHIHISHE Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) linafuatilia kwa karibu na limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Watanzania wenzetu, wakiwamo wanahabari na wengine waliojeruhiwa.Siku ya tukio tulipokea taarifa za vifo vya vijana na askari polisi. Baadhi ya...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Jukwaa la wahariri lakemea kuhusu 'Kapteni Tesha'

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani vikali kauli na maudhui yaliyosambazwa katika mitandao ya kijamii Oktoba 4, 2025, yakionesha watu wanaodaiwa kuwa wanajeshi wakihamasisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kujiingiza katika siasa kupitia mapinduzi. TEF imesema hatua hiyo...
  7. Pascal Mayalla

    Serena Hotel: Kikao Kazi kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Tume ya Mipango, kuhusu Dira 2050 kuelekea Tanzania tuitakayo!

    Wanabodi, Niko hapa Serena Hotel, nikiwaletea Live mubashara from Serena, kuhusu kikao kazi kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Tume ya Mipango, tukizungumza kuhusu Dira 2050 kuelekea kwenye Tanzania Tuitakayo!. https://www.youtube.com/live/pu6kyCDzVFE?si=UhznxhlmDD8F3MSI Karibu. Paskali
  8. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Live from JNCC: Kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa na Jukwaa la Wahariri, kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Wanabodi Jumamosi ya leo, nimeanzia, ukumbi wa JNCC, kwenye kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Jukwaa la Wahariri (TEF), kuelekea uchaguzi mkuu 2025!. NB: Kumbe Kikao hiki ni Strictly Confidential!, hivyo nitawapa briefing...
  9. Pascal Mayalla

    Live from Bombambili Songea: Uchaguzi Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF), M/Kiti Deodatus Balile, M/M/Kiti Bakari Machumu, Wapita Bila Kupingwa!

    Wanabodi Wahariri 200, tuko hapa ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili Songea kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) kwa ajili ya kuwachagua viongozi wetu. https://www.youtube.com/live/aikWUmkeZoQ?si=XurjnnZA5ESAjUmB...
  10. G

    Hongera sana Mhariri wa gazeti la Nipashe

    Siku hizi kuna ukosefu mkubwa wa habari kutoka kwenye media zetu karibu zote. Ukiangalia magazeti karibu yote habari zao ni uchawa mwanzo mwisho. Gazeti la nipashe angalau mhariri ameonyesha ujasiri wa kuweza kuandika bila woga na uchawa. Najua karibuni utapata misukosuko kutoka kwa mafisadi...
  11. Pascal Mayalla

    Morogoro: Warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wanabodi Niko hapa Morena Hotel Morogoro kuwaletea live, warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi. Karibuni. ==== Update ya Matukio - MC wa event hii ni Innocent Prim Mungi, amemkaribisha Mwenyekiti wa Jukwaa la...
  12. Pascal Mayalla

    Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF Karibuni. Paskali
  13. Pascal Mayalla

    Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  14. Pascal Mayalla

    Live from Hyatt Regency: Mkutano wa Waziri Prof. Kitila Mkumbo, TIC na EPZA na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri, (TEF)

    Wanabodi, Niko hapa Hyatt Regency, zamani Kilimanjaro Kempiski, kuwaletea mkutano wa Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri. https://www.youtube.com/live/WFUYWRfpEMo?si=IndxqjQLpwOEv19tKaribuni. OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI TAARIFA...
  15. PendoLyimo

    SI KWELI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa taarifa kwa umma likiishutumu LHRC kwa ubaguzi wakati wa kutetea haki za binadamu

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza masikitiko yake na kulaani vitendo vya upendeleo vinavyodaiwa kufanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). TEF limezitaka taasisi zote zinazojihusisha na haki za binadamu, kama LHRC, kulaani vitendo vya ukiukwaji wa haki bila kuegemea...
  16. The Sheriff

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF): Waziri Silaa ameshindwa kuwa karibu na Waandishi wa Habari

    Jerry Silaa, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kutoridhishwa na kitendo cha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, kukosa kuhudhuria mikutano muhimu ya wadau wa habari. Mwenyekiti wa TEF, Deodatus...
  17. Pascal Mayalla

    Kutoka Karimjee: Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Linawapiga Msasa Wahariri Kutoka Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Karimjee, nikiwaletea live, kikao kazi cha Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, NEEC, na wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. kuhusiana na mambo ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ni Taasisi...
  18. Pascal Mayalla

    Siku ya Kupinga Adhabu ya Kifo Duniani - LHRC Kuadhimisha na Jukwaa la Wahariri (TEF)

    Wanabodi Tarehe 10 ya October kila mwaka, ni siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo Duniani. Kwa Tanzania kwa mwaka huu, Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu Tanzania, LHRC kinazungumza na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, katika ukumbi wa hoteli hii ya Holiday Inn ya hapa...
  19. Pascal Mayalla

    Live From Mafao House: Mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF- NSSF Yatisha!, Una Thamani ya Trilioni 8.5 Ndani ya Muda Mfupi!.

    Wanabodi, Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF. Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la...
  20. The Sheriff

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF): Tumesikitishwa na kifo cha Ali Kibao. Rais aunde Tume ya Majaji kuchunguza wimbi la utekaji na mauaji

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitishwa na taarifa za kifo cha Kada wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Sekretarieti, Ndugu Mohamed Ali Kibao. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo, Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amewapa pole familia ya ndugu...
Back
Top Bottom