NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,681
- 17,793
Wakuu kwa wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!?
Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza! Kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida! Juzi kwenda na kiti chake! Haamini kiti cha upako!?
Ina maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!?
Anaogopa nani, nini, kwanini, kwa lengo lipi!?
Mungu ibariki Tanzania!