J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Alikuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa..matokeo yake kaumbuka!
sasa hivi kila mtu anamuona kama punguani flan hivi!
Alipoamua kwenda gerezani Lema alisema: “Leo nimeamua kwa hiari yangu kutangulia magereza. Watakaotubeza tuwasamehe kwa sababu wanahitaji ukombozi wa kifikra. Watakaotuunga mkono na kutuhurumia tuwafundishe ujasiri wa kutoogopa jela wala magereza katika mapambano ya kutafuta haki, uhuru na utu wa mwanadamu,” alikaririwa Lema katika waraka alioutoa kwa wafuasi wake
siku alipokwenda mahabusu.

Sasa wewe endelea kutumiwa hayo Masaburi yako na Mafisadi wa Magamba. Sisi tunasonga mbele kwenye Ukombozi. Freedom is coming tomorrow.
 
Unacheza na Jela muulizeni Ndanda Kosovo..
Mpaka sasa najiuliza Lema kwa nini alingangania kwenda Jela?
 
Mleta mada umechemsha au labda hukufanya utafiti au ni ushabiki tu,ni lini Lema alipolilia dhamana!!? Polisi ndio walimuomba akubali dhamana na pia Mbowe akamuomba akubali dhamana ili aende bungeni! Ebu toa ushahidi unaoelezea Lema kulilia dhamana! Na leo shujaa anatoka na ujumbe kashafikisha pamoja na umaarufu kaupata.
 
Nachojua mimi na kumbukumbu nzuri niliyonayo, ni kwamba Mheshimiwa Godbless lema also knows as jemedari, mpiganaji, asiyewaogopa polisisisiem leo atakua mtaa kwa mtaa, watu mliopo Arusha mtujuze kinachoendelea hapo, pipoooooööööööóøøööoooooz.
 
Alipoamua kwenda gerezani Lema alisema: Leo nimeamua kwa hiari yangu kutangulia magereza. Watakaotubeza tuwasamehe kwa sababu wanahitaji ukombozi wa kifikra. Watakaotuunga mkono na kutuhurumia tuwafundishe ujasiri wa kutoogopa jela wala magereza katika mapambano ya kutafuta haki, uhuru na utu wa mwanadamu, alikaririwa Lema katika waraka alioutoa kwa wafuasi wake
siku alipokwenda mahabusu.

Sasa wewe endelea kutumiwa hayo Masaburi yako na Mafisadi wa Magamba. Sisi tunasonga mbele kwenye Ukombozi. Freedom is coming tomorrow.

Kama aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwa nini nyie siku ile mlikwenda kulala viwanja vya unga limited, mkitataka Lema atoke?
 
Kama aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwa nini nyie siku ile mlikwenda kulala viwanja vya unga limited, mkitataka Lema atoke?

That was political move...na ilifanikiwa! Hizi siasa wanazofanya Cdm ni level kubwa kiasi kwamba nyie mlio zoea siasa za zidumu fikra za mkuu mnashindwa kuzielewa...pole sana mkuu
 
Kama aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwa nini nyie siku ile mlikwenda kulala viwanja vya unga limited, mkitataka Lema atoke?
sijawahi kukuona hata siku moja ukiandika point,akili zako zimekaa kimasaburisaburi tu
 
Kama aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwa nini nyie siku ile mlikwenda kulala viwanja vya unga limited, mkitataka Lema atoke?

Muwasho wa Kipele huanza taratiiibu, na kama Kidume huwezi kupambana nao muda si mrefu utafuta Msaada wa Cameroon. Kaka ndiko unakoelekea
 
Unapaswa kuelewa kuwa Lema alikataa dhamana kwa kutafuta sifa. Hana uwezo wa kusimamia msimamo wake.

Msimamo wake ulikuwa kukataa dhamana na kwenda Kisongo na amefanya exactly that. Sasa hapo kwenye red unaongea nini?
 
Hapa nilipo niko mnara wa saa hapa Clock Tower naona kuna vijana wamepita wakiimba Peoples Power kuelekea mahakami! Nitawajuza.
 
Tupo pamoja na kamanda Lema,wao CCM wana mafisadi,pesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu anayeturinda.
 
Ni vizuri atoke ila sasa afanye kazi na sisi tufanye kazi. Hatuwezi kukaa tu mwaka sasa tunaongelea kitu kimoja
 
Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wooote.

Lema kajidai mjanja kuwa anaweza kuingia na kutoka apendavyo, nasikia na kesho kama hajatimiza masharti ya dhamana ataendelea kusota ndani, akipenda asipende. Hapo ndipo tunapojuwa kuwa Serikali ipo.

MwanaMKE!
 
Mimi nimeshaBook chumba pale Kisongo kuanzia kesho jumapili nitakua huko ili jumatatu niamkie gerezani kumsindikiza kamanda wa machalii kuja mahakamani! na ole wake huyo hakimu alete Magamba style! Bora atafute sehemu ya kwenda kuishi nje ya jiji la Arusha.

Sasa ukiisha msindikiza then what? kama ndoo kasha nyea na akifanya mchezo na mahama atarudi ndani na hata mkimuua hakimu bado atakaa ndani! CDM acheni u mbumbu wa kuabudu abudu watu! hali hii hamja chukua nchi mkichuku si itakua balaa!!
 
hao ndio vijana waliopewa kazi ya kustarehesha wabunge wa CDM, ameamua kwenda kumpunguzia maumivu boss wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom