Joshua Nassari MB.

Joshua Nassari MB.

Mhe Nasari nataka utambue kuwa Chadema ni chama cha kitaifa, pia utambue kuwa pamoja na udogo wako wapo watu wengi ambao wanasikiliza na kufuata kila unachotamka. Maneno ya juzi licha ya kumuudhu mwenyekiti wa Taifa pia yameleta adhari kwa chama kwani wapo wengi wapenzi na wanachama ambao wameona kuwa ni kauli ya kibaguzi. pili ni vyema ukakaa chini ukapanga namna ya kujenga chama ili tuweze kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka mbele. kama akina mbowe wangelewa sifa baada ya kuwa wabunge na kusahau kujenga chama leo chadema wasingekuwa na mafanikio walionayo leo. So dogo tulia acha kuiga mambo fanya yale tuliokutuma bungeni na jenga chama kwa lugha ya kuwavutia hata wapizani wetu.

asipokuelewa atakuwa ckio la kufa.
 
Kikwete na timu yake ya jeshi la polisi wanawatambua Lema na Nassari kama watu tishio kwenye utawala wao.

Hilo la kugawa nchi ni sera ya Chadema Nassari katumwa tu kusema.
 
kauli na matendo yanayotokea zanzibar ivi sio tishio la nchi hii?
kauli na lugha chafu zinazotolewa na wanaccm katika makusanyiko mbalimbali,si tishio katika nchi hii?
tabaka kubwa na mpasuko kati ya walizonazo na wasionacho si tishio katika nchi hii?
ufisadi na uhujumu uchumi unaofanywa na watendaji na wanaccm katika sekta za umma na binafsi si tishio katika nchi hii?
polisi kwakweli tuliowachoka katika nchi hii,ivi kuna mangapi meeengi tu yanayoonekana dhahiri na yanayoendelea sehemu mbalimbali ktk nchii hii,hivi kwanini hamyavalii njuga namna hii?hapa ndipo ninapoona UDHAIFU WA HALI YA JUU wa hili geshi la polisi.Hawatendi haki kabisa na wanafanya kazi kwa kusukumwa na chama.sina lugha ya kuelezea nnavyosikitishwa na kukerwa na hili jeshi la ajabu....
:eek2::director:
iweje leo kauli za watu walio nje ya ccm ndio zionekane tishio!!!!!!!!!!
 
Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Mzee Mwanakijiji na wewe umeshakuwa mwoga kiasi hiki?What happened mkuu?Yani kweli seriously uko that much "disgusted"?
 
Mhe Nasari nataka utambue kuwa Chadema ni chama cha kitaifa, pia utambue kuwa pamoja na udogo wako wapo watu wengi ambao wanasikiliza na kufuata kila unachotamka. Maneno ya juzi licha ya kumuudhu mwenyekiti wa Taifa pia yameleta adhari kwa chama kwani wapo wengi wapenzi na wanachama ambao wameona kuwa ni kauli ya kibaguzi. pili ni vyema ukakaa chini ukapanga namna ya kujenga chama ili tuweze kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka mbele. kama akina mbowe wangelewa sifa baada ya kuwa wabunge na kusahau kujenga chama leo chadema wasingekuwa na mafanikio walionayo leo. So dogo tulia acha kuiga mambo fanya yale tuliokutuma bungeni na jenga chama kwa lugha ya kuwavutia hata wapizani wetu.

Mimi ni mfuasi wa CHADEMA lakini kauli ya Nasari imenikera sana sana sana. Najua umri unaweza kuwa tatizo la kijana hyuyu kuwa na busara inayopungukia lakini alipaswa kuwa makini na kauli zake. Wana Arusha wanapaswa kutambua si mapenzi ya wanaarusha/K'njaro kwa chadema ambayo pekee yanayofanya chadema iwe na nguvu kitaifa.

Hampaswi kunaswa na mtego wa CCM vinginevyo mtajikuta peke yenu kama ilivyo CUF na waislam kwa sasa.

DIRA ya CHADEMA nikuungasha watanzania wote popote walipo kushiriki ukombozi. DIRA ya Chadema ni kuunganisha watanzania na si kuwagawa/kugawana nchi.

Kama kuna wanaarusha wenye fikra finyu kama za Nasari nivyema wajirekebishe
 
Wakuu jmushi1, Mungi na Gurtu kwa nini mnaamini watu wasio waoga ni wale tu wanaotetea hata madudu ya CHADEMA? Mwaka 2007 mimi nilianzisha thread humu yenye kichwa "Ni lazima CCM ife" nilikuwa shujaa? Wakati huo ni wangapi walikuwa wana hoja za kutaka CCM ife ili Tanzania isalimike na ni wangapi kati yenu mlikuwa na msimamo chanya na CHADEMA wakati huo?

Mzee Mwanakijiji ni mara ngapi humu ameanzisha mada ama za kuitetea CHADEMA au kuhamasisha watanzania kwamba suluhu ya matatizo yetu haitapatikana hadi hapo tutakapoiondoa CCM? Wakati Zitto anatafuta saini 70 za wabunge si Mzee mwanakijiji ndiye aliyesema tatizo si Waziri MKuu bali ni Rais Kikwete na chama chake cha CCM? Leo akisema Nassari Kakosea ndiyo mhoji uwezo wa akili zake kufikiri?

Hatuwezi kuhalalisha uovu unaotendwa na viongozi wa CHADEMA eti kwa sababu uovu kama huo au zaidi ya huo unatendwa na viongozi wa CCM. Kila mtu atashutumiwa kwa makosa yake na si kusamehewa kwa makosa ya mtu mwingine.
 
Wananchi hawaunganishwi, wananchi wanaungana.
 
Kigarama, huo uovu alioutenda Nasari ndo upi?Ebu nieleze vyema makosa ya kauli yake, halafu tuone huo uovu uko wapi.
 
Last edited by a moderator:
Kigarama, huo uovu alioutenda Nasari ndo upi?Ebu nieleze vyema makosa ya kauli yake, halafu tuone huo uovu uko wapi.
Na hapo jmushi1 linapokuja tatizo kwa wengi wenu. Uovu si matendo pekee yake hata kauli kuna kauli ovu. Ukiwa Mmarekani hata kama si kiongozi ukisema "nataka kuitenga Texas na USA" subiri uone shughuli yake. kauli ya Nassari ni kauli ovu na ndiyo maana Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye mimi naamini ana busara sana aliamua kumkanusha Nassari pale pale na kusema CHADEMA haina mpango huo!!

Sasa nyie mnaomtetea Nassari mnataka kutuambia mko kinyume na Mbowe ambaye kikatiba ndiye mwenye mamlaka ya kutoa matamko ya chama?
 
Mkuu Kigarama, kwani nani kasema marekani hakuna wanaotaka kujitenga na mbona huwa wanasema wazi wazi?, tatizo ni kwamba manufaa ya kujitenga ni machache kuliko yale ya kuungana, states zinaweza kufilisika zikijitenga,zitapigwa kodi kama vile ni mataifa ya nje, tena hata passport na visa etc, kulikuwepo na umuhimu wa kuungana, haukuwa wa kulazimishiwa sana, walipigana ndiyo wakaungana.Sisemi tupigane, ila mikwaruzano ipo, haina maana tutapata maendeleo kwa kuwa makondoo na kuachia watu wafanye wanachotaka kwasababu wanaongoza nchi yenye wananchi wenye nidhamu ya woga!

Mkuu kauli niliyoiona humu, haionyeshi kwamba kasema "nataka kuitenga sehemu fulani", labda sijaisoma vyema kauli hiyo, unaweza kuniwekea hapa "verbatim"?
 
Kina Ritz wanamwona Nassary ni mtu mkubwa sana. Ni waoga hujapata kuona

Mimi nashangaa watanzania waliwa amini vp? maana dunia hii wanahitajika viongozi wenye ujasiri..
 
Kwa kweli naanza kupata wasiwasi kuhusu kijana mzalendo mwana Demokrasia kwa kuanza anavyofanya katika uwanja wa Siasa hapa Tanzania,... ''Kuhusu kwamba Sehemu ya Kaskazini Ijitenge, Iwe Jamuhuri yake''. Inawezekana ni wazo au ni mojawapo ya sera Lakini SI WAKATI HUU kwa sasa, Kwani Chama Tawala kinaweza kutumia kama njia ya Kukiharibu Chadema kwa Wananchi ambao tayari walishaanza kuweka matumaini na Kumshukuru MUNGU kuwa wamepata Chama cha kuwakomboa na cha Chama cha kupeleka Sauti zao Bungeni na kwenye Serikali.

NAJIULIZA,..
1. Inawezekana huyu kijana Alisha kuwa SETUP (Kuwekwa Pandikizi) toka yupo Chuoni kama wengine walivyofanywa?
2. Au Ameshaongwa hela Ili aje Aharibu chadema?

Sielewi lakini naamini MUNGU Atasimama kwa Raia zake,....!
 
Fredrick Sanga.
Dogo Nassari anaropoka sana muwekeni chini mfahamisheni siasa za Tanzania zilivyo.

Nasaari.jpg

Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari (kushoto), akiwa na wakili wake, Alberth Msando, wakingia katika Kituo Kikuu cha Polisi mjini Arusha jana baada ya kutii wito wa kujisalimisha.
 
Msemo wa mgema akisifiwa TEMBO hulitia maji, dalili zaonyesha CDM wamelewa misifa HIVYO wamefikia kuongea pasipo tafiti wala busara. Imefikia hatua viongozi kutoa matamko tofauti wakiwa majukwaani. Moja kwa moja UONGOZI WA KITIMU NDANI HIKI CHAMA HAUPO.

Imethibitika katika mkutano wa UNGA LTD, mbunge Nasari katoa tamko la UBAGUZI na kuthibitika hiki chama ni cha Kanda ya Kaskazini tu, wengine ni abiria.

Watanzania tutumie vichwa vyetu tufikiri kwa makini, CDM ni kwa ajili wa KANDA MOJA!!!!

Kuna matukio mengi yanayoonyesha CDM hawana utashi wa kuongoza TZ, kwani walianza kutoutaka muungano, na sasa wanataka kujitenga. tuwahurumie ndugu zetu toka kanda ya Ziwa, Kusini Nyanda za Juu waliovutwa na upepo wa msimu wa CDM pasipo kujua undani wa wamiliki wa CDM; ambao ni Mbowe & Mtei Co.

Najua wafuasi wa CDM toka kanda husika mtasema sana kwa vile nimewagundua ujanja unaotumia kutaka kutugawa watanzania kwa misingi ya ukanda.
 
He! yamekuwa hayo tena. Hivi huwezi kuamini kuwa uwezo wa baadhi ya viongozi wa CDM ni mdogo sana, kama ambavyo ilivyo kwa uwezo wa baadhi ya viongozi wa CCM. Hivi kila tatizo la CDM ni CCM kweli? mmmhh
 
Back
Top Bottom