Joshua Nassari MB.

Joshua Nassari MB.

huna lolote kwanza nasar keshatoa ufafanuz wa yale aliyotamka.Na ukae ukijua nasar kama nasar wala si chadema! So muiache chadema ifanye mambo yake.

Nasari aliwakilisha kile ambacho viongozi wa Chadema hukisema hasa wanapokuwa wenyewe tu. Kwa hiyo kile alichosema Nasari ni kile hasa Chadema wanaplan kwa nchi yetu nzuri Tanzania.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
He! yamekuwa hayo tena. Hivi huwezi kuamini kuwa uwezo wa baadhi ya viongozi wa CDM ni mdogo sana, kama ambavyo ilivyo kwa uwezo wa baadhi ya viongozi wa CCM. Hivi kila tatizo la CDM ni CCM kweli? mmmhh
Kwenye red kuna kitu hapo. Kwani kuna mbunge mmoja aliwahi kusema wafunge milango wapigane, alikuwa wa chama gani? Alikuwa na lengo la kukiharibu chamachake au ni uwezo wake tu wa kufikiri? Hata JF members tunatofautiana uwezo na uzeofu katika maisha. Ndio maana tunapata hoja na michango inayokinzana sana.
 
msemo wa mgema akisifiwa tembo hulitia maji, dalili zaonyesha cdm wamelewa misifa hivyo wamefikia kuongea pasipo tafiti wala busara. Imefikia hatua viongozi kutoa matamko tofauti wakiwa majukwaani. Moja kwa moja uongozi wa kitimu ndani hiki chama haupo.

Imethibitika katika mkutano wa unga ltd, mbunge nasari katoa tamko la ubaguzi na kuthibitika hiki chama ni cha kanda ya kaskazini tu, wengine ni abiria.


Watanzania tutumie vichwa vyetu tufikiri kwa makini, cdm ni kwa ajili wa kanda moja!!!!

Kuna matukio mengi yanayoonyesha cdm hawana utashi wa kuongoza tz, kwani walianza kutoutaka muungano, na sasa wanataka kujitenga. Tuwahurumie ndugu zetu toka kanda ya ziwa, kusini nyanda za juu waliovutwa na upepo wa msimu wa cdm pasipo kujua undani wa wamiliki wa cdm; ambao ni mbowe & mtei co.

Najua wafuasi wa cdm toka kanda husika mtasema sana kwa vile nimewagundua ujanja unaotumia kutaka kutugawa watanzania kwa misingi ya ukanda.

tunataka mabadiliko, ni bora hata fisi kutawala, kuliko utawala wa ccm, mabadiliko ni muhimu ktk maisha ya binadamu na ktk mabadiliko hayo yanaweza kuwainua au kuwarudisha chini wananchi, hivyo haijalishi kwa lolote lile, sababu hiyo miaka 50 imeprove kurudisha maisha ya wananchi wengi chini, Huku wachache wakineemeka. People (walala hoi) are fed up.
 
Naomba nitoe hoja na CHADEMA mnijibu:
KWa nini CHADEMA wanazunguka sana kanda ya kaskazini zaidi ya mara moja bila kugusa kanda za Mtwara, Lindi, Dodoma, Tabora, Morogoro na Tanga? na operesheni zao ambazo wamekuwa wakibadilisha majina mara kwa mara. KWa mfano, ni mara ngapi wamekuwa na mikutano Arusha, MWanza, Shinyanga, Geita, Karatu, Moshi etc. Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa maeneo ambayo Chadema hawafiki, kwa nini hawataki kwenda kuamsha huko.? Kwa nini warudi Arusha na Mwanza mara kwa mara wakati watu hao tayari wameshaamka na wameshaanza kujikomboa?

Nawapenda sana Chadema ila kwa hili naomba tujitazame upya na hili la Nassari pia linaanza kutia uvundo.
 
Mbona kuna thread inaendelea kule lazima uanzishe nyingine ile mashine kubwa huwezi kumshusha kwa mtindo huo ha ha ha
 
Hamasa za kisiasa hizo haswa pindi unaposhuhudia mauaji ya watu wasio hatia,unapoona haki za wananchi uliokuwa nao wengine wazazi wako wengine viongozi wako wakihangaikia ardhi ,ukiona umaskini ulikithiri na wa kutupwa kati ya wananchi unaowaoongoza huko jeshi la polisi likijifanya kufumba macho kwa wauaji tumeona hapo Arusha wale walioua wananchi tareke 5 hakuna kitu kimefanya ,Polisi wamechagiza wabunge wa chadema wacharangwe mapanga hawajachukua hatua yeyote,wameua bila ajizi wananchi kule songea,mbeya,mwanza,geita,nyamongo kweli roho inauma,hata mimi ningekuwa mwanasiasa ningesema vivyo


Utetezi wake pia ungejikita katika kile kilichotokea kwenye vyombo vya habari ambavyo source ni yeye mwenyewe kutishiwa kifo pamoja na baadhi ya viongozi wa Chadema. Utetezi huo unaweza kumsaidia kisaikoloji.
 
Ukweli utabaki pale pale CDM ni wabiga dege wa siasa za kanda
 
Kwa kweli naanza kupata wasiwasi kuhusu kijana mzalendo mwana Demokrasia kwa kuanza anavyofanya katika uwanja wa Siasa hapa Tanzania,... ''Kuhusu kwamba Sehemu ya Kaskazini Ijitenge, Iwe Jamuhuri yake''. Inawezekana ni wazo au ni mojawapo ya sera Lakini SI WAKATI HUU kwa sasa, Kwani Chama Tawala kinaweza kutumia kama njia ya Kukiharibu Chadema kwa Wananchi ambao tayari walishaanza kuweka matumaini na Kumshukuru MUNGU kuwa wamepata Chama cha kuwakomboa na cha Chama cha kupeleka Sauti zao Bungeni na kwenye Serikali.

NAJIULIZA,..
1. Inawezekana huyu kijana Alisha kuwa SETUP (Kuwekwa Pandikizi) toka yupo Chuoni kama wengine walivyofanywa?
2. Au Ameshaongwa hela Ili aje Aharibu chadema?

Sielewi lakini naamini MUNGU Atasimama kwa Raia zake,....!

Hivi kuna nini cha kushangaa kuhusu kauli ya NASSARI, au tunamfunga kengele. SERA ya chama chake inasemaje au hii ni tofauti na sera Majimbo? Lakini pia tukumbuke kauli ya Mbunge huyu kule Arumeru wakati wa kampeni, nanukuu "NITAMUOA HALIMA MDEE" kauli kama hiyo pale palikuwa mahala pake kweli?. teh teh teh, dogo kalewa Ubunge tayari huyo mhurumieni.
 
Nasari aliwakilisha kile ambacho viongozi wa Chadema hukisema hasa wanapokuwa wenyewe tu. Kwa hiyo kile alichosema Nasari ni kile hasa Chadema wanaplan kwa nchi yetu nzuri Tanzania. . "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".[NARUDIA KUSEMA TENA NA TENA NASARI AMENENA KAMA YEYE NA SIO CHADEMA KWAN KAULI YAKE SI YA CHAMA.
 
Msemo wa mgema akisifiwa TEMBO hulitia maji, dalili zaonyesha CDM wamelewa misifa HIVYO wamefikia kuongea pasipo tafiti wala busara. Imefikia hatua viongozi kutoa matamko tofauti wakiwa majukwaani. Moja kwa moja UONGOZI WA KITIMU NDANI HIKI CHAMA HAUPO.

Imethibitika katika mkutano wa UNGA LTD, mbunge Nasari katoa tamko la UBAGUZI na kuthibitika hiki chama ni cha Kanda ya Kaskazini tu, wengine ni abiria.

Watanzania tutumie vichwa vyetu tufikiri kwa makini, CDM ni kwa ajili wa KANDA MOJA!!!!

Kuna matukio mengi yanayoonyesha CDM hawana utashi wa kuongoza TZ, kwani walianza kutoutaka muungano, na sasa wanataka kujitenga. tuwahurumie ndugu zetu toka kanda ya Ziwa, Kusini Nyanda za Juu waliovutwa na upepo wa msimu wa CDM pasipo kujua undani wa wamiliki wa CDM; ambao ni Mbowe & Mtei Co.

Najua wafuasi wa CDM toka kanda husika mtasema sana kwa vile nimewagundua ujanja unaotumia kutaka kutugawa watanzania kwa misingi ya ukanda.

Wee gamba vipi?? kila kiungo kipe nafasi yake inayostahili kwenye utendaji. Kichwa na akili uvitumie kwaajili ya kufikiria vizuri na kutafakari mambo yaliyo ya msingi na masaburi yatumie kwaajili ya kutolea mambo fulani toi, cha ajabu wewe unatumia masaburi yako vice versa.

Kama ishu ni kwamba Nassari katamka wakaskazini wajitenge basi hiyo itakuwa ni kauli ya Nassari ambaye ni mtu mmoja tu, je unafahamu ni Wazanzibar wangapi ambao wanataka wajitenge kutoka ktk Jamhuri wa Muungano wa Tanzania? kati ya hao Wazanzibar wote wanaotaka kujitenga, unajua kuwa wanachama wa CCM ni wangapi? Chama gani chenye lengo la kuuvunja Muungano kati ya Chadema na Magamba? Fikiria kama Great Thinker kijana kabla hujaandika utumbo wako hapa.
 
Mafilili hana jipya zaidi ya kuelekeza shutuma kwa CDM, huyu ni gamba tena kundi la wenye njaa kali. Hatujali kuwa unatoka kanda gani lakini kwa maelezo yako utakuwa wa PWANI ambao bado mmejifunika shuka zito. Kumepambazuka achia shuka vaa bukta ufanye tease! Ukombozi una gharama zake hivyo ni lazima wapinzani wapate misukosuko. Wakati Mkapa na Lusinde wakiwatukana vyama vya upinzani hasa CDM hukusikika ukitoa rai yoyote, ila sasa watu kusema kidogo tu jukwaani unaweweseka. mwendo wa M4C, achia ngazi kawaombe buku ya lunch muda wenyewe ndio huu. Kama huna mchango humu katafute kijiwe kingine.
 
The Kiddo doesnt know kama anavyosema hivyo wananchi wake wanaweza kumchukulia serious ukaja msafara wa rais wakaanza kuurushia mawe! yakatokea maafa wakafa waliokuwepo na wasiokuwepo!

Chadema makao makuu kaeni chini mumfanyie Counseling huyu kijana asije kupoteza muda wake wote mahakamani.
 
Msemo wa mgema akisifiwa TEMBO hulitia maji, dalili zaonyesha CDM wamelewa misifa HIVYO wamefikia kuongea pasipo tafiti wala busara. Imefikia hatua viongozi kutoa matamko tofauti wakiwa majukwaani. Moja kwa moja UONGOZI WA KITIMU NDANI HIKI CHAMA HAUPO.

Imethibitika katika mkutano wa UNGA LTD, mbunge Nasari katoa tamko la UBAGUZI na kuthibitika hiki chama ni cha Kanda ya Kaskazini tu, wengine ni abiria.

Watanzania tutumie vichwa vyetu tufikiri kwa makini, CDM ni kwa ajili wa KANDA MOJA!!!!

Kuna matukio mengi yanayoonyesha CDM hawana utashi wa kuongoza TZ, kwani walianza kutoutaka muungano, na sasa wanataka kujitenga. tuwahurumie ndugu zetu toka kanda ya Ziwa, Kusini Nyanda za Juu waliovutwa na upepo wa msimu wa CDM pasipo kujua undani wa wamiliki wa CDM; ambao ni Mbowe & Mtei Co.

Najua wafuasi wa CDM toka kanda husika mtasema sana kwa vile nimewagundua ujanja unaotumia kutaka kutugawa watanzania kwa misingi ya ukanda.


Wewe ndio hukuelewa maana alichosema Nassari ni kuwa kama serkali (Rais) ataendeleza ubaguzi na unyanyasaji wa watu wanaotetea maslahi ya common man basi hakutakuwa na namna bali kujitenga. Swali la msingi ambalo hakuna anayetaka kulijibu ni kwa nini serkali haitoi msimamo kuwa haitawakandamiza wananchi na watetezi wao? Mimi naona kama kweli serkali inaendekeza misimamo ya kikandamizaji basi hakuna namna! Ndicho kilichotokea Sudan kusini kwa mfano, Waarabu wa kaskazini wakisukumwa na uislamu waliamua kuwatesa weusi na kujaribu hata ethnic cleansing hadi kusini wakawachukia kabisa na kuamua kujitenga.

Bahati mbaya tu Nasari ni mbunge wa Arumeru lakini nakumbuka kuna wakati kata fulani za kule Karagwe walimwandikia Mkapa barua kuwa kama unyanyasi wa polisi utaendelea dhidi yao wako radhi kuwa sehemu ya Uganda. Hawa walikuwa wanatuma ujumbe kuwa wamechoka kuona majambazi yakishirikiana na polisi kuua wananchi. Mimi sioni tatizo hadi hapo. Suala la msingi ni kwa nini mtu asifikiri kujitenga ikiwa serkali ni kandamizi kwake? Sasa yeye atakimbilia wapi kama polisi, na wawatawala badala ya kumsaidia wanamhujumu???
 
Leo baada ya mahojiano na polisi Arusha mjini zaidi ya masaa sita,Nassari akiongea na waandishi wa habari alisema "Mimi ni mdogo,kama ninauwezo wa kuigawa nchi hii basi nchi hii haikupaswa kuwepo"

Source;ITV News 2000hrs*

Hapa ameonesha tabia kama ya watoto wa chuo kikuu (undergraduates). Huwa hawajielewi walipo. Katika masuala fulani wanapenda wachukuliwe kama adults, lakini wakishachemsha utawasikia wanalalamika kwa mkuu wa chuo "mzee sisi ni kama wanao, wewe ni mzazi..." nk. Huwa najiuliza, kumbe wanajikumbuka ni watoto wakishajiingiza kwenye matatizo wanapohitaji sympathy tu? Mheshimiwa Nasari nasikia kamaliza pale mlimani majuzi tu, bado zile 'tongotongo' za DARUSO hazijamtoka. Kwa kuwa ameshapendwa na watu wa Arumeru, hebu basi asikie pia ushauri wa kaka zake waliomtangulia kwenye 'game' hilo akina Mbowe na Zito, asisubiri kuharibu kwanza halafu aanze kulialia utoto. Mimi ningekuwa mtu wa Arumeru ningempigia Nasari kura yangu bila kusita, lakini nisingependa aje kuniangusha kwa kulialia utoto.
 
Wee gamba vipi?? kila kiungo kipe nafasi yake inayostahili kwenye utendaji. Kichwa na akili uvitumie kwaajili ya kufikiria vizuri na kutafakari mambo yaliyo ya msingi na masaburi yatumie kwaajili ya kutolea mambo fulani toi, cha ajabu wewe unatumia masaburi yako vice versa.

Kama ishu ni kwamba Nassari katamka wakaskazini wajitenge basi hiyo itakuwa ni kauli ya Nassari ambaye ni mtu mmoja tu, je unafahamu ni Wazanzibar wangapi ambao wanataka wajitenge kutoka ktk Jamhuri wa Muungano wa Tanzania? kati ya hao Wazanzibar wote wanaotaka kujitenga, unajua kuwa wanachama wa CCM ni wangapi? Chama gani chenye lengo la kuuvunja Muungano kati ya Chadema na Magamba? Fikiria kama Great Thinker kijana kabla hujaandika utumbo wako hapa.

Tumia kichwa ili busara ichukue mkondo; Nasari ki kiongozi, siku zote ni vigumu kutengenisha kauli ya kiongozi na kuali yake binafsi TENA iwapo atakuwa katika jukwaa. Kauli ile ilitolewa kweupe siyo gizani!! Tatizo nyie wafuasi wa CDM hamtaki kuambiwa UKWELI
 
hospitali.jpg
school.jpg
 
"Alichotakiwa kusema Nassari ni hiyo kauli yake ya kwanza tu kuwa hakumaanisha ubaya wowote na kama mtu yeyote amekwazwa anaomba radhi. .....................................


Ni matumaini yangu Polisi hawatoliendeleza hili na Nassari atakuwa amegundua (sidhani kwa sababu arrogance ya madaraka nayo nimbaya sana!) makosa yake. Sitaki ajisikie ameonewa bali ajue genuinely hakupaswa kutoa kauli hiyo na ni unfortunate. Kwa mfano Lema angekuwa makini na kauli zake wala asingevuliwa Ubunge! HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA!!" (MZee Mwanakijiji, Jumatano, 09, 2012)


Wanachadema wenzangu ambao mnadhani Nasari hapaswi kukosolewa mnakosea. Nakushukuru Mzee Mwanakijiji natumai wenzangu na hasa machalii watazingatia weledi wako nahivyo kuelewa kwanini tunasema Nasari Amekosea
 
Tumia kichwa ili busara ichukue mkondo; Nasari ki kiongozi, siku zote ni vigumu kutengenisha kauli ya kiongozi na kuali yake binafsi TENA iwapo atakuwa katika jukwaa. Kauli ile ilitolewa kweupe siyo gizani!! Tatizo nyie wafuasi wa CDM hamtaki kuambiwa UKWELI
monduli11.jpg
 
Back
Top Bottom