Joshua Nassari adanganya "live" ITV

Kwa mlo wa kipande cha mhogo na maji kwa siku unategemea mtu aishi miaka 70 kweli!
 

So you have done your research on that one........great

Kwani hii mara ya kwanza?

Ni mropokaji nae. Kuna siku alikuwa anahojiwa na Ester Bulaya na Mkosamali, Jambo Tanzania. Basi swali anaulizwa Mkosa Mali au Bulaya anarukia anajibu jibu yeye
 
Mtoa mada ni mpuuzi. Amekomalia "data za enzi za Nyerere". Nyerere hapa anaingiaje? Tena ulkiangalia hiyo graph utaona mwaka 1980 umri wa kuishi ulikuwa miaka mingapi. Je, hujui kwamba mwaka 1980 Rais alikuwa Nyerere? acha upumbavu wa kumwandama Baba wa Taifa
 

Fata link nimeweka kwenye post #1 (huwa sikisii) utajuwa, weka source yako inayokubaliana na Nassari kama hujashushuka.
Hicho ulichokionyesha kwenye link inawezekana kipo kinadharia zaidi, lakini kivitendo Mh. Nassari anaweza kuwa sawa, kwani tumeshuhudia vitakwimu vingi vinatamkwa na watafiti mbalimbali kama vile kusema uchumi wa Tanzania unakua na umekuwa kwa % fulani lakini hali ya WaTz ikizidi kuwa mbaya. kwa mtazamo wangu inawezekana hiyo life expectancy iliyopo UNDP inazungumzia watu wanaoenda kutibiwa India hata wakiugua mafua.
 
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
Country
[/TD]
[TD]
2000
[/TD]
[TD]
2001
[/TD]
[TD]
2002
[/TD]
[TD]
2003
[/TD]
[TD]
2004
[/TD]
[TD]
2005
[/TD]
[TD]
2006
[/TD]
[TD]
2007
[/TD]
[TD]
2008
[/TD]
[TD]
2009
[/TD]
[TD]
2010
[/TD]
[TD]
2011
[/TD]
[TD]
2012
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tanzania
[/TD]
[TD]
52.26
[/TD]
[TD]
51.98
[/TD]
[TD]
51.7
[/TD]
[TD]
44.56
[/TD]
[TD]
44.39
[/TD]
[TD]
45.24
[/TD]
[TD]
45.64
[/TD]
[TD]
50.71
[/TD]
[TD]
51.45
[/TD]
[TD]
52.01
[/TD]
[TD]
52.49
[/TD]
[TD]
52.85
[/TD]
[TD]
53.14
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Definition of Life expectancy at birth: This entry contains the average number of years to be lived by a group of people born in the same year, if mortality at each age remains constant in the future. The entry includes total population as well as the male and female components. Life expectancy at birth is also a measure of overall quality of life in a country and summarizes the mortality at all ages. It can also be thought of as indicating the potential return on investment in human capital and is necessary for the calculation of various actuarial measures.

Hii nimeitoa Tanzania - Life expectancy at birth - Historical Data Graphs per Year. Hata kama kakosea ni kutotafuta current data, na hayuko mbali na ukweli tofauti na mleta mada anavyotaka watu waamini. Source of the information matters a lot. Mh 48 mtoa mada 58
 
Ubishi wa kijinga usiokuwa na maana, wewe umepata kusoma wapi kuwa mwanadamu anaweza kumuhisia mwenzake kwamba ataishi miaka mingapi hapa duniani. Tubishane kwenye mambo mengine ya msingi haya ya umri wa kuishi tumwachie Muumba peke yake maana ndiye mwenye kujua siku zako za kuishi. Yeye Muumba amesema, "Mwanadamu siku zake za kuishi ni miaka 70 akiwa na nguvu ni miaka 80"
 
Jibu unajpa mwenyewe, ona tofauti sasa, wewe zakwako za UNDP latest kabisa za jana, mimi za CIA, Nasari labda kachukua za National Statictic Office, na sio lazima awe amezisoma leo au jana kama mimi na wewe!

 

Ndicho tusichoelewana hapa. Tafiti ziko katika namna tofauti ndio maana nikasema Nassari anajua alikotoa yeye hiyo 47%. Mimi pia naweza kufanya utafiti wangu makaburini na kupata even a more realistic life expectancy ya mtanzania. Simply soma misalaba ile na uchukue umri alioishi marehemu na kupata wastani wa idadi ya makaburi utakayopata. Sasa kwa vile UNDP na WHO wanadata zao basi sisi hatutakiwai kuwa na zetu?

 
[/COLOR]
I SALUTE YOU - HAPO KWENYE RED - UMESEMA KWELI ............ MUNGU PEKE YAKE NDIYE AJUAYE!!!!
SIAMINI HAPA TZ KUNA TAFITI ZA KWELI ..........MAMBO MENGI FAKE FAKE TU.:attention::attention:

Hawa wabunge wa kuokoteleza ndo tatizo,poor IQ,hasomi vitu kazi kukurupuka.Unapokuwa mwakilishi wa wananchi unatakiwa kuwa current and whatever you speak,you have to be sure.Ona ashapotosha watu tayari.shame on you
 
kweli kapata wapi Nassari hizi data kwani ukicheki kila
tafiti miaka ya kuishi sio chini ya hamsini kwa Tanzania
labda atuambie kwa sababu ya janga la HIV vijana wengi ndio waathirika labda atupe evidence
 

...kwanza pokea LIKE...

Hivi vikaragosi vya magamba vinaweweseka tu,vimeishiwa hoja vimebaki kusikiliza CDM watasema nini ili vipate kupika majungu...sitofautishi huo ujinga waliouweka hapo juu kama chanzo cha kuthibitisha kukosea kwa mh mbunge na takmwim tunazosomewa kila mara na baba zao akina Wassira,ya-kwamba uchumi unakuwa kwa kasi ilihali watu huku mitaani kila uchwao hawajui watakula nini...mbona hata hiyo miaka 47 aliyosema mh mbunge ni mingi sana ukilinganisha na hali halisi,ukiangali kwa jicho la tatu utagundua kwamba hata hao wanaoshadidia wananayofanya mafisadi walishakufa siku nyiiingi kabla hata ya kufikisha miaka 47,na wengine tuonao humu JF wanaishi kama misukule tu...
 
Hata kama 47 na 58 ni tofauti, tujiulize kwani hiyo 58 ni ya kujivunia kiasi hicho? kwanini life expectancy isiwe miaka 70? mi sioni sababu ya kumshambulia Mh wangu maana estimates zake haziko mbali sana na ukweli
 
hakuna exact kwenye life expectancy wajamen...hiyo ni aproximation tuu......kwani kuna variations.....
kuweni wasomi bwanaa.....!
 
Jibu unajpa mwenyewe, ona tofauti sasa, wewe zakwako za UNDP latest kabisa za jana, mimi za CIA, Nasari labda kachukua za National Statictic Office, na sio lazima awe amezisoma leo au jana kama mimi na wewe!

1) soma kwenye hizo za CIA chini kabisa zinasemaje? halafu siziamini kwani CIA ni kiwanda cha uongo kama alivyo Nassari

2) Za UNDP zimetangazwa rasmi na hakuna aliyezipinga mpaka leo.

3) Za Nassari hujaweka, kazitowa wapi au hata zinazofanana na hiyo 47, hujaweka.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/345499-watanzania-na-ubaguzi-wa-ujinga.html
 

Tuoneshe alikovitoa hivyo vitakwimu nakuhakikishia hakuna kitu kama hicho hiyo ilikuwa wakati wa Nyerere, kabla ya yeye kuzaliwa na pengine wewe kuzaliwa.
 

Nakuhakikishia huna hoja. Hoja ni kuwa Nassari kadanganya katoa hesabu za uongo, wewe kama unaona hajasema uongo tuwekee za kweli hapa.

Unajuwa kusoma?
 

Wewe katafute kote uje na ya Nassari ya miaka 47, mimi nimeweka zangu nilipozitowa na nnaziamini. Mpaka sasa hujaja na ya Nassari naona unahangaika tu. Uongo hauteteeeki hata iweje. Na ukweli wala hauumizi kichwa.
 
Mbona uongo wenu ninaokuuliza hutaki kuujibu badala yake unazunguka mbuyu tu? Huna hoja ya kuhalalisha huo uongo wenu ambao mliutoa Mbele ya wanahabari bila hata haya na ndiyo maana unakwepa kuuzungumzia.

Kwa hiyo umekubaliana nami kuwa Nassari ni muongo, vyema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…