Joshua Nassari adanganya "live" ITV

Joshua Nassari adanganya "live" ITV

Wee Zomba, acha fikra finyu, kumbuka kwamba kuna source nyingi sana za kupata takwimu mbalimbali na kwamba kila source inatoa matokeo kulingana na utafiti wao ulivyowaonyesha. Sasa Unaijua source ya Nasari au umekurupuka tu kusema kwamba anadanganya? Na mbona hili la Nasari umeliongea kwa hisia zote lakini zile za yule jamaa yenu za kusema kwamba Tanzania imetokana na muungano wa Zimbabwe na Pemba Hukiungea chochote? Toa maoni yako, huyo jamaa yenu alidanganya vyombo vya habari pamoja na watanzania kwa ujumla au "aliteleza ulimi"?

Wacha porojo, weka zako zitowe kokote utakakozitowa, mimi nimeweka hizo hapo post #1 , naona mnabishana tu bila kuja na data zinazoendana na kauli ya uongo ya Nassari.
 
hata bila kutumia takwimu, maisha yanazidi kuwa mafupi wewe,
 
Wacha porojo, weka zako zitowe kokote utakakozitowa, mimi nimeweka hizo hapo post #1 , naona mnabishana tu bila kuja na data zinazoendana na kauli ya uongo ya Nassari.
Kama wewe ni mtaalamu sana we sources, tuambie Muungano wa zimbabwe na pemba mmeupata kutoka source gani kama sio uongo wenu?
 
msimtetee kwa sababu ni wa CDM,siku nyingine ajifunze aache kudanganya watu wazima.......mi naona alipika data,maana mbele ya kamera si mchezo,unaweza ukapata kigugumizi ati.
 
Unajua hawa viazi hawa wanaogomea tafiti kama Census ndo tatizo kwenye nchi hii!
Wako fasta kukimbilia report za UN na World bank.......Zipo sahihi kiasi gani?

Kwamfano, Mtu akisema HIV prevalence ni 12%, utabisha bila kumuuliza hiyo ni Tanzania, Iringa au Kigoma? je utakurupuka bila kumuuliza ni mwaka gani na data za lini?

Labda anaongelea katika level ya domestic.......kwa maana jimboni kwake.
Tunaomba takwimu sahihi mkuu, au tueleze 47 imetoka wapi?
 
Shida yako unafikiri kua mtu akiongea ukweli humu ni CCM, tafuta thread zangu mi popote kwenye ukweli nasema tu sina chama humu! kwani Juzi hukuona nilivyokua napingana na Zomba kuhusu Fao la kujitoa?

Maana mnachosikitisha ni kuendeleza ubishi usio na faida yoyote its ok iwe 48 au 52 then!!
Life expectancy ya watanzania kwa sasa ni fupi kuliko hizo zilizotolewa.Kwa magonjwa, umaskini,
ARV feki vyakula vya kijenetik mnategemea mtanzania anakwepa wapi hapo?!!!!!Nendeni mkachangie
post za kujenga tufanyeje kuondoa rushwa ambayo ndio tatizo kubwa kwenye nchi yetu.
 
Acha ukanjanja wewe, fupi ngapi? na ulete data hapa
 
Wacha porojo, weka zako zitowe kokote utakakozitowa, mimi nimeweka hizo hapo post #1 , naona mnabishana tu bila kuja na data zinazoendana na kauli ya uongo ya Nassari.

Hivi aliyetoa takwimu za uongo J.Nassari na aliyekamatwa na rushwa Zungu yupi analiangamiza Taifa
la Tanzania?!!! Ni vema tukemee rushwa kwanza.
 
Kama wewe ni mtaalamu sana we sources, tuambie Muungano wa zimbabwe na pemba mmeupata kutoka source gani kama sio uongo wenu?

Life expectancy ya Mtanzania leo hii ni miaka 47 ? amma kweli, Tanzania tuna safafri ndefu sana ya kwenda, ikiwa hawa ndio vijana tunaodhani wataleta mabadiliko, wanazuwa uongo wa waziwazi kabisa.
 
Kijana wetu hapo amelipuka takwimu zinaonyesha ni 58.2, Ingawaje you can Question this data!!!
 
Back
Top Bottom