So you have done your research on that one........great
Hicho ulichokionyesha kwenye link inawezekana kipo kinadharia zaidi, lakini kivitendo Mh. Nassari anaweza kuwa sawa, kwani tumeshuhudia vitakwimu vingi vinatamkwa na watafiti mbalimbali kama vile kusema uchumi wa Tanzania unakua na umekuwa kwa % fulani lakini hali ya WaTz ikizidi kuwa mbaya. kwa mtazamo wangu inawezekana hiyo life expectancy iliyopo UNDP inazungumzia watu wanaoenda kutibiwa India hata wakiugua mafua.
Fata link nimeweka kwenye post #1 (huwa sikisii) utajuwa, weka source yako inayokubaliana na Nassari kama hujashushuka.
Data zako zinasehema hivi:
UNDP wanasema hivi na si hivyo tu wanazitoa rasmi mbele ya waandishi wa habari, unaweza kuzikataa?
Director of Economic and Social Research Foundation (ESRF), Dr Bohela Lunogelo (Left) speaks in Dar es Salaam yesterday during the launch of Human Development Report 2011. Center is UNDPs Economic Adviser, Amarakoon Bandara and UN Resident Coordinator Mr Alberic Kacou. PHOTO | VENANCE NESTORY![]()
By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Thursday, 03 November 2011 22:59
Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) shows.
According to the report released yesterday by the UN Resident Coordinator in Tanzania, Mr Alberic Kacou, taking the lead in the EAC in terms of ranking of life expectancy, Kenyans follow Tanzanians with life expectancy of 57.1 years and Rwandans with 55.4 years.
Source: Tanzania
Ndio hizi hapa data zenyewe:
![]()
zangu zinatoka hapa: http://hdrstats.undp.org/images/explanations/TZA.pdf
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD][/TD]Country
[TD][/TD]2000
[TD][/TD]2001
[TD][/TD]2002
[TD][/TD]2003
[TD][/TD]2004
[TD][/TD]2005
[TD][/TD]2006
[TD][/TD]2007
[TD][/TD]2008
[TD][/TD]2009
[TD][/TD]2010
[TD][/TD]2011
[TD][/TD]2012
[/TR]
[TR]
[TD] Tanzania[/TD]
[TD][/TD]52.26
[TD][/TD]51.98
[TD][/TD]51.7
[TD][/TD]44.56
[TD][/TD]44.39
[TD][/TD]45.24
[TD][/TD]45.64
[TD][/TD]50.71
[TD][/TD]51.45
[TD][/TD]52.01
[TD][/TD]52.49
[TD][/TD]52.85
[TD][/TD]53.14
[/TR]
[/TABLE]
Definition of Life expectancy at birth: This entry contains the average number of years to be lived by a group of people born in the same year, if mortality at each age remains constant in the future. The entry includes total population as well as the male and female components. Life expectancy at birth is also a measure of overall quality of life in a country and summarizes the mortality at all ages. It can also be thought of as indicating the potential return on investment in human capital and is necessary for the calculation of various actuarial measures.
Hii nimeitoa Tanzania - Life expectancy at birth - Historical Data Graphs per Year. Hata kama kakosea ni kutotafuta current data, na hayuko mbali na ukweli tofauti na mleta mada anavyotaka watu waamini. Source of the information matters a lot. Mh 48 mtoa mada 58
[/COLOR]
I SALUTE YOU - HAPO KWENYE RED - UMESEMA KWELI ............ MUNGU PEKE YAKE NDIYE AJUAYE!!!!
SIAMINI HAPA TZ KUNA TAFITI ZA KWELI ..........MAMBO MENGI FAKE FAKE TU.:attention::attention:
Hii graph yako haieleweki, Hiawezi kutumika kumkosoa Nassari.Upande wa mlalo (horizontal) inaonyesha muda, Upande wa wima (vertical) unaonyesha namba tu ambazo hazina tafsiri. umejuaje kama ni miaka???? Uwe mwangalifu unapokosoa kwa takwimu.Mi naweza kusema Hizo 52 - 60 ni uzito wa mtanzania wakati wa kufariki!! je nitakuwa nimekosea??? Pamoja na kuwa umeonyesha chanzo lakini haitoshi kufanya ukosoaji.
Kwanza data yako ya mwisho ni 2010. Kuna miaka mbili mbele umesoma ungwini nini wewe!
Mkuu wangu hawa ndio Pro-Chadema...ha haa ha.
Jibu unajpa mwenyewe, ona tofauti sasa, wewe zakwako za UNDP latest kabisa za jana, mimi za CIA, Nasari labda kachukua za National Statictic Office, na sio lazima awe amezisoma leo au jana kama mimi na wewe!
Hicho ulichokionyesha kwenye link inawezekana kipo kinadharia zaidi, lakini kivitendo Mh. Nassari anaweza kuwa sawa, kwani tumeshuhudia vitakwimu vingi vinatamkwa na watafiti mbalimbali kama vile kusema uchumi wa Tanzania unakua na umekuwa kwa % fulani lakini hali ya WaTz ikizidi kuwa mbaya. kwa mtazamo wangu inawezekana hiyo life expectancy iliyopo UNDP inazungumzia watu wanaoenda kutibiwa India hata wakiugua mafua.
Uongo wa life expectancy ya watanzania una madhara gani kwa watanzania wanaoumizwa na rushwa
inayoongozwa na viongozi wote wa chama tawala na wabunge wake?!!!!hizo data mnazotoa zingekuwa
na maana kama mngekuwa mnajali kurefusha maisha ya watanzania kwa kuyaboresha lakini mnazidi
kuyafanya kuwa mafupi kwa rushwa mnayoiendekeza.
Kaka ni vizuri kuangalia source nyingi kabla ya kutoa hoja, halafu angalia madhumuni ya taarifa yenyewe, imemlenga nani?, kwa ajili gani?, halafu changanua kwanza.
Kwa mfano, central intelligence agency (CIA) wame-update takwimu hizo kwa Tanzania na nchi zingine duniani Oct 22, 2012 na zinaonesha life expectancy is well below 58, iko 53.14. (https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html), Tanzania Demographics Profile 2012.
Wakati huohuo, WHO wenyewe wanatoa jibu zuri zaidi kwamba life expectancy ina-range from 53-58 (Hili jibu ni zuri zaidi kwa kuwa sio kweli kwamba unaweza kupata explicity/single answer katika research kama hizi, WHO | United Republic of Tanzania).
Halafu hiyo taarifa inaposema kuwa Tanzania ina life expectancy kubwa kuliko zote East Africa napata wasiwasi. Kwa mfano uchumi wa kenya ni mkubwa zaidi kuliko wetu, hii inaweza kuwa factor mojawapo muhimu katika life expectancy.
Ndo maana ukitazama data za CIA zinaonesha Kenya is well above of Tz, wana 63.7 Life expectancy, hii inaingia akilini kidogo -logically, https://www.cia.gov/library/publica...nia&countryCode=tz®ionCode=afr&rank=206#tz.
Mifano ni mingi, hata hivyo hatujui yeye kapata wapi hizo data. Tungepata source yake ndo tungeweza kuangalia credibility yake, kwa sasa huwezi kufanya critic yenye tija. Mwambie akupe source halafu tuichambue hapa.
Mbona uongo wenu ninaokuuliza hutaki kuujibu badala yake unazunguka mbuyu tu? Huna hoja ya kuhalalisha huo uongo wenu ambao mliutoa Mbele ya wanahabari bila hata haya na ndiyo maana unakwepa kuuzungumzia.