Joshua Nassari adanganya "live" ITV

Joshua Nassari adanganya "live" ITV

zomba, usije ukajidanganya kuwa watu wote JF hawana akili. Reading between the line, kilichokusukuma kuweka mada JF sio kupenda usahihi wa takwimu za Nassari bali ni kumuumbua.

Nasema hivi kwa sababu, wakati Nassari anayaongea hayo aliyoongea, hakuwa amebanwa au kutakiwa kujibu swali fulani zaidi ya kwamba alikuwa anatoa maoni yake juu ya jambo ambalo limeshaamriwa. Nikisoma kilicho nyuma ya mada yako, inaonekana ulikaa muda mrefu ukisubiri siku moja akosee jambo umuandame.

Umemalizia na 'Aombe radhi haraka sana' ambayo ndio hasa msingi wa mada yako. Labda nikupe mfano mzuri wa uongo ambao ulitakiwa uombewe radhi mkuu-hovyo zomba; soma hapa

Hiyo link itakupa fursa ya kujua tofauti ya maoni na ushahidi. Na kudhihirisha kuwa uongo ulikuwa mkubwa, mpk leo Jemedari aliyesema 'fulani' muongo hajapewa nafasi ya kulithibitishia bunge kuwa 'kweli fulani' muongo. Waliomba ushahidi na sasa hawautaki
 
Last edited by a moderator:
Country
2000
2001
2002
2003
2004
2005
2006
2007
2008
2009
2010
2011
2012
Tanzania

[TD="align: right"]52.26

[TD="align: right"]51.98
[/TD]
[TD="align: right"]51.7
[/TD]
[TD="align: right"]44.56
[/TD]
[TD="align: right"]44.39
[/TD]
[TD="align: right"]45.24
[/TD]
[TD="align: right"]45.64
[/TD]
[TD="align: right"]50.71
[/TD]
[TD="align: right"]51.45
[/TD]
[TD="align: right"]52.01
[/TD]
[TD="align: right"]52.49
[/TD]
[TD="align: right"]52.85
[/TD]
[TD="align: right"]53.14
[/TD]

[/TD]


........................................
 
Au kama vp umekereka kaombe mwongozo kwa spika umshitaki Nassari kuwa amedanganya ITV!
......

Jamani jamani, tunawaponza wawakilishi wetu bungeni. Kufanya hivi hatuwajengi kabisa yaani mbunge anachemka mnamtetea atajirekebisha vipi?

Mbona Mulugo kashambuliwa sana humu JF? NASSARI popote pale ulipo tambua wanaokutetea hawakutakii mema ndugu yangu, kubali kurekebishwa na uone kama hiyo ni hatua moja mbele katika kujifunza.
 
WOte wewe na NASSARI sasa nimegundua mna matatizo ya lugha. Inawezekana kabisa NASSARI hajui hata alichokuwa akiongelea vivyo hivyo na wewe hujui unachokibishia......

Haya bwana asante kwa kunijulisha kuwa sijui.........nilisahau kuwa kila kitu Tanzania hii ni siasa....ndio maana mtu akisema ataifanya Kigoma kuwa kama Dubai TUNAMSHANGILIA KWA KUWA TU NI MWENZETU
 
safi sana mkuu, hiyo ndiyo ya kweli wale wote wanaotaka kumbeba NASSARI mbeleko zao zitaishia kupasuka vipande vipande. Huyu dogo ni miongoni mwa wanasiasa ambao vichwa ni vyeupe mno.....

Hv wanaopita kwa rushwa chamani kwenu wanabebwa na nani?M/kiti analialia na nyie wapambe vivyo hivyo,mnabanwa na nini?
 
Hii ya UNDP:
AfwlJ2P6FEopAAAAAElFTkSuQmCC


Source: http://hdrstats.undp.org/images/explanations/TZA.pdf
 
Jamani jamani, tunawaponza wawakilishi wetu bungeni. Kufanya hivi hatuwajengi kabisa yaani mbunge anachemka mnamtetea atajirekebisha vipi? Mbona Mlugo kashambuliwa sana humu JF? NASSARI popote pale ulipo tambua wanaokutetea hawakutakii mema ndugu yangu, kubali kurekebishwa na uone kama hiyo ni hatua moja mbele katika kujifunza.
......

Anzia kwenye jumba yako 1(Magamba Hse).
 
Nassari anadanganya kama una data za kumtetea weka hapa.
 
Haya bwana asante kwa kunijulisha kuwa sijui.........nilisahau kuwa kila kitu Tanzania hii ni siasa....ndio maana mtu akisema ataifanya Kigoma kuwa kama Dubai TUNAMSHANGILIA KWA KUWA TU NI MWENZETU....

Na kujenga International Airport kule Misenye Kagera (kumbuka hata Mwanza hakuna International Airport),
Na kununua meli ya kisasa kwa ajili ya Ziwa Victoria, kubwa kushinda MV Victoria.

To remember only those 2.
 
Country2000200120022003200420052006200720082009201020112012
Tanzania

[TD="align: right"]52.26

[TD="align: right"]51.98[/TD]
[TD="align: right"]51.7[/TD]
[TD="align: right"]44.56[/TD]
[TD="align: right"]44.39[/TD]
[TD="align: right"]45.24[/TD]
[TD="align: right"]45.64[/TD]
[TD="align: right"]50.71[/TD]
[TD="align: right"]51.45[/TD]
[TD="align: right"]52.01[/TD]
[TD="align: right"]52.49[/TD]
[TD="align: right"]52.85[/TD]
[TD="align: right"]53.14[/TD]
[/TD]


........................................

Hata hizo data zako ingawa hazina source wala hazijulikani za nini lakini hakuna hata moja hapo inayokubalizana na Nassari.

attachment.php


zangu zinatoka hapa: http://hdrstats.undp.org/images/explanations/TZA.pdf
 

Attachments

  • Tanzania Life Expectancy UNDP.JPG
    Tanzania Life Expectancy UNDP.JPG
    53.9 KB · Views: 4,135
mbunge joshua nassari amedanganya alipokuwa anahojiwa na itv kwenye viwanja vya bunge dodoma aliposema "life expectancy" ya mtanzania ni miaka 47 kwa sasa.

Huo si ukweli kabisa, uwiano wa "life expectancy" ya mtanzania si chini ya miaka 58 kwa sasa. Kuna tofauti kati ya uongo na kutokujua.sina uhakika na source,


tanzania-life-expectancy-at-birth-female-years-wb-data.png

source: life expectancy at birth in tanzania


wabunge wengine sijui wako dunia ipi, yaani hiyo "life expectancy" ni miaka ya nyerere huko si leo wala jana.

Mpaka sasa sielewi huyu mbunge anapata faida ipi kuwadanganya umma wa watanzania kupitia vyombo vya habari.
Aombe radhi haraka sana

kuna tofauti kubwa kati ya uongo na kutokujua.sina uhakika na source yake,lakini kumbuka kuwa kuna source nyingi sana ambazo zinatoa takwimu.labda kwanza ungemuuliza muhusika source yake.........hata hivyo source yako inaonyesha kuwa life expectancy ilikuwa miaka 47 mwaka 2009,miaka miwili na nusu iliyopita,muda ambao sio mkubwa sana.labda ungemuita kuwa yuko nyuma na wakati,kidogo ningekuelewa........
 
Mbunge Joshua Nassari amedanganya alipokuwa anahojiwa na ITV kwenye viwanja vya bunge Dodoma aliposema "life expectancy" ya Mtanzania ni miaka 47 kwa sasa.

Huo si ukweli kabisa, uwiano wa "life expectancy" ya Mtanzania si chini ya miaka 58 kwa sasa.


tanzania-life-expectancy-at-birth-female-years-wb-data.png

Source: Life expectancy at birth in Tanzania


Wabunge wengine sijui wako dunia ipi, yaani hiyo "life expectancy" ni miaka ya Nyerere huko si leo wala jana.

Mpaka sasa sielewi huyu Mbunge anapata faida ipi kuwadanganya umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari.
Aombe radhi haraka sana
Source yako inawezakuwa pia sio sahihi si lazma iwe sawa coz nayo imeandaliwa kwa mitizamo yake!
 
Mpaka sasa sielewi huyu Mbunge anapata faida ipi kuwadanganya umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari.
Aombe radhi haraka sana.....[/QUOTE]

Nassari yupo sahihi kulingana na source aliyoisoma yeye, na ili suala la life nexpectancy ya mtanzania imeongelewa na watu tofauti kulingana na criterial tofauti so izo data ulizotoa sina imani nazo ila kwa taarifa zaidi nenda kasome kitabu cha POPULATION GEOGRARHY,au DEMOGRAPHIC IN TANZANIA' na tuachane na ushabiki wa vyama , tuongee uhalisia wa mambo.
 
Hii graph yako haieleweki, Hiawezi kutumika kumkosoa Nassari.Upande wa mlalo (horizontal) inaonyesha muda, Upande wa wima (vertical) unaonyesha namba tu ambazo hazina tafsiri. umejuaje kama ni miaka???? Uwe mwangalifu unapokosoa kwa takwimu.Mi naweza kusema Hizo 52 - 60 ni uzito wa mtanzania wakati wa kufariki!! je nitakuwa nimekosea??? Pamoja na kuwa umeonyesha chanzo lakini haitoshi kufanya ukosoaji.
 
Nassari yupo sahihi kulingana na source aliyoisoma yeye, na ili suala la life nexpectancy ya mtanzania imeongelewa na watu tofauti kulingana na criterial tofauti so izo data ulizotoa sina imani nazo ila kwa taarifa zaidi nenda kasome kitabu cha POPULATION GEOGRARHY,au DEMOGRAPHIC IN TANZANIA' na tuachane na ushabiki wa vyama , tuongee uhalisia wa mambo.
Mkuu Nasari amekosea, hakuna sehemu yoyote ile inayosema Life expectancy ya mtanzania ni 47 " tukubali tu ameongelea hii mada kishabiki tu!
 
Mbunge Joshua Nassari amedanganya alipokuwa anahojiwa na ITV kwenye viwanja vya bunge Dodoma aliposema "life expectancy" ya Mtanzania ni miaka 47 kwa sasa.

Huo si ukweli kabisa, uwiano wa "life expectancy" ya Mtanzania si chini ya miaka 58 kwa sasa.


tanzania-life-expectancy-at-birth-female-years-wb-data.png

Source: Life expectancy at birth in Tanzania


Wabunge wengine sijui wako dunia ipi, yaani hiyo "life expectancy" ni miaka ya Nyerere huko si leo wala jana.

Mpaka sasa sielewi huyu Mbunge anapata faida ipi kuwadanganya umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari.
Aombe radhi haraka sana

kikwete atuombe radhi kwa kutudanganya ya kuwa atatuletea maisha bora kwa kila mtanzania, lakini zaidi sana kwa kushindwa kutekeleza dhana aliyoiasisi ya kujivua gamba ndani ya ccm, lakini atuombe radhi kwa kuiporomosha thamani ya shilingi yetu, kikwete ATUOMBE RADHI WATANZANIA KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA UCHUMI KWA NJIA IPASAYO, TAZAMA MAFUTA YA PETROL, DIEZEL NA MAFUTA YA TAA HAKUNA NCHI NZIMA!!!!!!!!!!!!!! Kikwete kapewa nini na wafanyabiashara wa madawa ya kulevyaaaa!!!! alituambia "orodha ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ninayo" au biashara hiyo ni halali nchini kwetuuuuu!!!!!!!
 
Source yako inawezakuwa pia sio sahihi si lazma iwe sawa coz nayo imeandaliwa kwa mitizamo yake!
Shida ni kwamba mnatetea bila kuleta wapi hiyo ya miaka 47 imepatikana.. tuwe wakweli tu hapa dogo alikurupuka
 
Ebu soma hii kama inashabihiana ya ya kwako,....mana 2010 yako ni above 58

[h=1]Tanzania Demographics Profile 2012[/h]Home > Tanzania

[TD="class: c"][h=2]Population[/h]43,601,796 (July 2012 est.)
note: estimates for this country explicitly take into account the effects of excess mortality due to AIDS; this can result in lower life expectancy, higher infant mortality, higher death rates, lower population growth rates, and changes in the distribution of population by age and sex than would otherwise be expected
[h=2]Age structure[/h] 0-14 years: 42% (male 9,003,152/female 8,949,061)
15-64 years: 55.1% (male 11,633,721/female 11,913,951)
65 years and over: 2.9% (male 538,290/female 708,445) (2011 est.)
[h=2]Median age[/h] total: 18.5 years
male: 18.2 years
female: 18.7 years (2011 est.)
[h=2]Population growth rate[/h]1.96% (2011 est.)
[h=2]Birth rate[/h]31.81 births/1,000 population (2011 est.)
[h=2]Death rate[/h]11.92 deaths/1,000 population (July 2011 est.)
[h=2]Net migration rate[/h]-0.29 migrant(s)/1,000 population (2011 est.)
[h=2]Urbanization[/h] urban population: 26% of total population (2010)
rate of urbanization: 4.7% annual rate of change (2010-15 est.)
[h=2]Major cities - population[/h]DAR ES SALAAM (capital) 3.207 million (2009)
[h=2]Sex ratio[/h] at birth: 1.03 male(s)/female
under 15 years: 1.01 male(s)/female
15-64 years: 0.98 male(s)/female
65 years and over: 0.75 male(s)/female
total population: 0.98 male(s)/female (2011 est.)
[h=2]Infant mortality rate[/h] total: 65.74 deaths/1,000 live births
male: 72.42 deaths/1,000 live births
female: 58.87 deaths/1,000 live births (2011 est.)
[h=2]Life expectancy at birth[/h] total population: 53.14 years
male: 51.62 years
female: 54.7 years (2011 est.)
[h=2]Total fertility rate[/h]4.02 children born/woman (2011 est.)
[h=2]HIV/AIDS - adult prevalence rate[/h]5.6% (2009 est.)
[h=2]HIV/AIDS - people living with HIV/AIDS[/h]1.4 million (2009 est.)
[h=2]HIV/AIDS - deaths[/h]86,000 (2009 est.)
[h=2]Major infectious diseases[/h] degree of risk: very high
food or waterborne diseases: bacterial diarrhea, hepatitis A, and typhoid fever
vectorborne diseases: malaria and plague
water contact disease: schistosomiasis
animal contact disease: rabies (2009)
[h=2]Nationality[/h] noun: Tanzanian(s)
adjective: Tanzanian
[h=2]Ethnic groups[/h]mainland - African 99% (of which 95% are Bantu consisting of more than 130 tribes), other 1% (consisting of Asian, European, and Arab); Zanzibar - Arab, African, mixed Arab and African
[h=2]Religions[/h]mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim
[h=2]Languages[/h]Kiswahili or Swahili (official), Kiunguja (name for Swahili in Zanzibar), English (official, primary language of commerce, administration, and higher education), Arabic (widely spoken in Zanzibar), many local languages
note: Kiswahili (Swahili) is the mother tongue of the Bantu people living in Zanzibar and nearby coastal Tanzania; although Kiswahili is Bantu in structure and origin, its vocabulary draws on a variety of sources including Arabic and English; it has become the lingua franca of central and eastern Africa; the first language of most people is one of the local languages
[h=2]Literacy[/h] definition: age 15 and over can read and write Kiswahili (Swahili), English, or Arabic
total population: 69.4%
male: 77.5%
female: 62.2% (2002 census)
[h=2]School life expectancy (primary to tertiary education)[/h] total: 9 years
male: 9 years
female: 9 years (2007)
[h=2]Education expenditures[/h]6.8% of GDP (2008)
[h=2]Maternal mortality rate[/h]790 deaths/100,000 live births (2008)
[h=2]Children under the age of 5 years underweight[/h]16.7% (2005)
[h=2]Health expenditures[/h]5.1% of GDP (2009)
[h=2]Physicians density[/h]0.008 physicians/1,000 population (2006)
[h=2]Hospital bed density[/h]1.1 beds/1,000 population (2006)
[/TD]
[TD="class: noprint"]
check-small.png
check-small.png
check-small.png
check-small.png
check-small.png
ShareThis
check-small.png
inShare​





[/TD]

[TD="colspan: 2, align: center"]
Source: CIA World Factbook Unless otherwise noted, information in this page is accurate as of July 19, 2012
[/TD]

Mbunge Joshua Nassari amedanganya alipokuwa anahojiwa na ITV kwenye viwanja vya bunge Dodoma aliposema "life expectancy" ya Mtanzania ni miaka 47 kwa sasa.

Huo si ukweli kabisa, uwiano wa "life expectancy" ya Mtanzania si chini ya miaka 58 kwa sasa.


tanzania-life-expectancy-at-birth-female-years-wb-data.png

Source: Life expectancy at birth in Tanzania


Wabunge wengine sijui wako dunia ipi, yaani hiyo "life expectancy" ni miaka ya Nyerere huko si leo wala jana.

Mpaka sasa sielewi huyu Mbunge anapata faida ipi kuwadanganya umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari.
Aombe radhi haraka sana.
 
Back
Top Bottom