Joshua Nassari adanganya "live" ITV

Joshua Nassari adanganya "live" ITV

MtotowaMkwezi uwe unakuwa analtical katika kuleta issues zako hapa. Hivi mtu akisema nitamwoa fulani inakuhusu nini? Je wewe ndie mshenga? Kuna ulaji uliutaka. Hizo perosnal issues deal na matters which carry weight.
 
Maana mnachosikitisha ni kuendeleza ubishi usio na faida yoyote its ok iwe 48 au 52 then!!
Life expectancy ya watanzania kwa sasa ni fupi kuliko hizo zilizotolewa.Kwa magonjwa, umaskini,
ARV feki vyakula vya kijenetik mnategemea mtanzania anakwepa wapi hapo?!!!!!Nendeni mkachangie
post za kujenga tufanyeje kuondoa rushwa ambayo ndio tatizo kubwa kwenye nchi yetu.

Utajenga nini wakati wabunge wanawakilisha wananchi kwenye kutunga sheria wanasema uongo wa waziwazi na kuna https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/345499-watanzania-na-ubaguzi-wa-ujinga.html wanatetea huo uongo, ni ajabu kubwa sana.

Bora hata Mbowe kajiamulia kusema ukweli na kumsifu Kikwete, kakiri alikuwa hajui.
 
Pamoja na data zenu mmeshindwa kukemea rushwa inalimaliza taifa nani kanjanja hapo!!!!

mkiombwa data mnabadili data, anzisha uzi wa rushwa uone kama hatukemei,, kubali tu dogo kachemka akihojia jana alianza hivi.." kimsingi kabisa serikali ilikurupuka kuondoa hilo fao la kujitoa, kwa nini nasema hivi kimsingi ukiangalia unakuta kua life expectance ya mtanzania ni miaka 47" mwisho wa kunukuu! ukiangalia na yeye mwenywe amekurupuka anatoa data za kijiweni
 
Kijana wetu hapo amelipuka takwimu zinaonyesha ni 58.2, Ingawaje you can Question this data!!!
hili ndo jambo wanatakiwa kuongea, hapa hatujasema kua hizo data za UNDP ni 100% lakini atleast tuna pakuanzia kuongea lakini dogo kachemka na data za vijiweni
 
Life expectancy ya Mtanzania leo hii ni miaka 47 ? amma kweli, Tanzania tuna safafri ndefu sana ya kwenda, ikiwa hawa ndio vijana tunaodhani wataleta mabadiliko, wanazuwa uongo wa waziwazi kabisa.
Mbona uongo wenu ninaokuuliza hutaki kuujibu badala yake unazunguka mbuyu tu? Huna hoja ya kuhalalisha huo uongo wenu ambao mliutoa Mbele ya wanahabari bila hata haya na ndiyo maana unakwepa kuuzungumzia.
 
Utajenga nini wakati wabunge wanawakilisha wananchi kwenye kutunga sheria wanasema uongo wa waziwazi na kuna https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/345499-watanzania-na-ubaguzi-wa-ujinga.html wanatetea huo uongo, ni ajabu kubwa sana.

Bora hata Mbowe kajiamulia kusema ukweli na kumsifu Kikwete, kakiri alikuwa hajui.

Uongo wa life expectancy ya watanzania una madhara gani kwa watanzania wanaoumizwa na rushwa
inayoongozwa na viongozi wote wa chama tawala na wabunge wake?!!!!hizo data mnazotoa zingekuwa
na maana kama mngekuwa mnajali kurefusha maisha ya watanzania kwa kuyaboresha lakini mnazidi
kuyafanya kuwa mafupi kwa rushwa mnayoiendekeza.
 
Mimi,natafakari matokeo ya sensa ya taifa yatakuaje;kwa jinsi walivyoendesha zoezi lao !
 
Siyo kila anachosema mwansiasa kutoka CDM ni cha kweli, hata kama ni CDM kwani hamkosei? Naona CDM wanakuwa wagumu sana kuelewa na kubishana vitu vidogo vidogo kama hv, ki ukweli na kwa takwimu sahihi, Nassari kachemka, hata kama siipendi CCM lakini kwa ukweli utasemwa tu so long as tunajenga na si kusifia ujinga hata kama umesemwa na mtu wa CDM!
 
mkiombwa data mnabadili data, anzisha uzi wa rushwa uone kama hatukemei,, kubali tu dogo kachemka akihojia jana alianza hivi.." kimsingi kabisa serikali ilikurupuka kuondoa hilo fao la kujitoa, kwa nini nasema hivi kimsingi ukiangalia unakuta kua life expectance ya mtanzania ni miaka 47" mwisho wa kunukuu! ukiangalia na yeye mwenywe amekurupuka anatoa data za kijiweni.....

Uzi wa Zungu kukamatwa na rushwa upo kwenye jukwaa hilihili lakini sijaona comment zako wala
Zomba.Kama mngekuwa kweli mna lengo zuri la kukemea maovu iwe uongo au rushwa tungewaona kwenye
uzi wa Zungu.
 
Hata kama ni UNDP wametoa data si lazima ziwe sahihi. Kwani mara ngapi TZ imesifiwa na mabepali kuwa inapaa katika maendeleo kwa Africa. Wamesema tumepunguza vifo vya watoto, vijana na akina mama, kulinganisha na wenzetu Kenya na Rwanda ambao kiuchumi hatuwakaribii hata kidogo. Kuna uhusiano wa Life expectancy na uchumi wa nchi pamoja na ubora wa huduma za afya (kinga na tiba).
 
Kaka ni vizuri kuangalia source nyingi kabla ya kutoa hoja, halafu angalia madhumuni ya taarifa yenyewe, imemlenga nani?, kwa ajili gani?, halafu changanua kwanza.

Kwa mfano, central intelligence agency (CIA) wame-update takwimu hizo kwa Tanzania na nchi zingine duniani Oct 22, 2012 na zinaonesha life expectancy is well below 58, iko 53.14. (https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html), Tanzania Demographics Profile 2012.

Wakati huohuo, WHO wenyewe wanatoa jibu zuri zaidi kwamba life expectancy ina-range from 53-58 (Hili jibu ni zuri zaidi kwa kuwa sio kweli kwamba unaweza kupata explicity/single answer katika research kama hizi, WHO | United Republic of Tanzania).

Halafu hiyo taarifa inaposema kuwa Tanzania ina life expectancy kubwa kuliko zote East Africa napata wasiwasi. Kwa mfano uchumi wa kenya ni mkubwa zaidi kuliko wetu, hii inaweza kuwa factor mojawapo muhimu katika life expectancy.

Ndo maana ukitazama data za CIA zinaonesha Kenya is well above of Tz, wana 63.7 Life expectancy, hii inaingia akilini kidogo -logically, https://www.cia.gov/library/publica...nia&countryCode=tz&regionCode=afr&rank=206#tz.

Mifano ni mingi, hata hivyo hatujui yeye kapata wapi hizo data. Tungepata source yake ndo tungeweza kuangalia credibility yake, kwa sasa huwezi kufanya critic yenye tija. Mwambie akupe source halafu tuichambue hapa.
 
Siyo kila anachosema mwansiasa kutoka CDM ni cha kweli, hata kama ni CDM kwani hamkosei? Naona CDM wanakuwa wagumu sana kuelewa na kubishana vitu vidogo vidogo kama hv, ki ukweli na kwa takwimu sahihi, Nassari kachemka, hata kama siipendi CCM lakini kwa ukweli utasemwa tu so long as tunajenga na si kusifia ujinga hata kama umesemwa na mtu wa CDM!
 
Uzi wa Zungu kukamatwa na rushwa upo kwenye jukwaa hilihili lakini sijaona comment zako wala
Zomba.Kama mngekuwa kweli mna lengo zuri la kukemea maovu iwe uongo au rushwa tungewaona kwenye
uzi wa Zungu.
.....


Si unajua nimeweka kambi kwanza hapa nikimaliza naenda huko.
 
kukurupuka kupost jf siyo vizuri .... fikirisha akili yako

kila taasisi Ina matokeo yake ya utafiti ...hata Uamsho wanaweza kutoa life expectancy data ....mungu peke yake ndiye mwenye kujua standard life expectancy tena ya individual




I SALUTE YOU - HAPO KWENYE RED - UMESEMA KWELI ............ MUNGU PEKE YAKE NDIYE AJUAYE!!!!
SIAMINI HAPA TZ KUNA TAFITI ZA KWELI ..........MAMBO MENGI FAKE FAKE TU.:attention::attention:
 
Siyo kila anachosema mwansiasa kutoka CDM ni cha kweli, hata kama ni CDM kwani hamkosei? Naona CDM wanakuwa wagumu sana kuelewa na kubishana vitu vidogo vidogo kama hv, ki ukweli na kwa takwimu sahihi, Nassari kachemka, hata kama siipendi CCM lakini kwa ukweli utasemwa tu so long as tunajenga na si kusifia ujinga hata kama umesemwa na mtu wa CDM!.
......

Ni kweli unavyosema, lakini pia elewa kwamba usipojua ukweli wa chanzo cha taarifa huwezi kujua ukweli wenyewe.

Kwahiyo inawezekana akawa amekosea au akawa sahihi. Swala la muhimu hapa ni kujua yeye hizo taarifa kazipata wapi, then tuangalie credibility yake. Vinginevyo tutakuwa tunajifurahisha tu.
 
Back
Top Bottom