Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Ukiona mtu hapa anatetewa fasta fasta na MSALANI pamoja na LIZABONI, hakuna haja ya kuuliza tena, fahamu moja kwa moja kwamba huyo mtu ni wa Chama kilichotangaza maisha bora kwa kila Mtanzania, ambayo mpaka leo, hayapo !!!!
 
mi sielewi why zitto anatetewa na ccm hapo ndio mnapomfanya aonekane ni kibaraka wenu,mbona wengine wa upinzania wakiwa na conflict na vyama vyao hamuwatetei
 
Zitto ameshapotea kisiasa.

Aende akafundishe tu chuoni kwenye siasa ni maiti ile tayari.

Ila nikisikia mwanangu anafundishwa na zitto ni lazima nimuhamishe chuo maana atamuambukiza unafki na majivuno tu.

by the way siku hizi jf imesharuhusiwa kumjadili zitto?
 
UZURI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI bungeni HAIMUNG'UNYI MANENO , HONGERA SANA MH SUGU , UTAFITI UNAONYESHA KWAMBA HATA MBELEKO YA CHUMA HUFIKA MAHALI INATOBOKA , ATABEBWA LAKINI ATAANGUKA !
 
Last edited by a moderator:
Ccm wanamuharibia Zito. Why kila Zito akishutumiwa au kutuhumiwa,watu wa ccm ndio huwa fasta kumtetea. Mfano Lizaboni na Msalani humu jf. Why?
 
Hii ni mistake nyingine ambayo upinzani imecheza bungeni, Ukisoma hiyo hotuba ya sugu bila ushabiki utagundua kwamba ni muendelezo wa siasa chafu zisizo tija, Huku ni kuzua mijadala mipya isiyo tija kwa taifa, ngoja tusubiri naye Zitto atasema nini lakini huku ni kumpandisha kisiasa bila kujua.

HURUMA SANA SIASA ZETU
 
Last edited by a moderator:
mihemko ya kidini na udini ndio imekuwa msingi ya utetezi wa mafisadi na wavunja sheria. tanzania ina ugonjwa huu.
 
Hii ni mistake nyingine ambayo upinzani imecheza bungeni, Ukisoma hiyo hotuba ya sugu bila ushabiki utagundua kwamba ni muendelezo wa siasa chafu zisizo tija, Huku ni kuzua mijadala mipya isiyo tija kwa taifa, ngoja tusubiri naye Zitto atasema nini lakini huku ni kumpandisha kisiasa bila kujua.

HURUMA SANA SIASA ZETU

Umeambiwa hizo nyaraka hata ofisi ya Spika inazo. Shirikisha brain ujue zimefikaje kwa spika na spika anakaa nazo za nini
 
Last edited by a moderator:
Alishasema msiwaamini wanasiasa. Wote niwachumia tumbo!
 
Back
Top Bottom