na mkaguzi mkuu wa serikali atatueleza pia, it appears he doesn't excute his duties diligently, relationships between zitto,nssf and tanapa has been identified as critical red flags for fraud, but he is always acting like a junior accountant and fail to review it.
kaka kama kuna ukweli ni aibu hii kwa viongozi wa UPINZANI.Sasa najiuliza WaTanzania tutaweza kuwa na IMANI na viongozi waUPINZANI?Inastua kama haya yanaendelea.Juzi tulikuwa na kesi ya Mbowe leo tuna ya Zitto,naiuliza kuna nini kinachoendelea?
yani wewe kichwani mweupe kabisa, mwenzio anaadhirika wewe unauliza kupambana?Hivi kweli Sugu anaweza kupambana kwa hoja na zitto.
Kwakweli chadema mna jiaibisha sana.
Nssf ina mdai mbowe hadi sasa hajalipa.
Siku ingine andika hivi....Mara nyingi wendawazimu inabidi tuwaache kama walivyo
Al Majununu fununu...
Ahsanta!
kaka kama kuna ukweli ni aibu hii kwa viongozi wa UPINZANI.Sasa najiuliza WaTanzania tutaweza kuwa na IMANI na viongozi waUPINZANI?Inastua kama haya yanaendelea.Juzi tulikuwa na kesi ya Mbowe leo tuna ya Zitto,naiuliza kuna nini kinachoendelea?
sasa kama hili ndio swali lako kilikuwasha nini kuquote uzi mzima? ujinga huu.nisaidie mimi si mfuaji wa muziki lakini kwa taarifa niliyopata kwa mfanyakazi mwezangu nasikia hata wale wanamuziki wa kigoma walizulumiwa
is that true?
sugu kaishia darasa la saba, halafu ndio think tank ya chadema
Wewe unatakaje?
mkuu mafisadi wote ni wajanja maana wanatuibia tukiwa tunaona na hatuwezi kuwafanya kitu maana wamejiwekea ulinzi wa kutosha, sema zitto ni fisadi mtoto.Zitto kama mwenyekiti wa PAC hakustahili kufanyabiashara na mashirika anayoyasimamia full stop hakuna kuonewa hakuna longo longo Zitto ni fisadi mjanja.
Ben hichi kipengele kinaumiza sana aisee
Inaonekana ndani ya Chadema hakuna wa kumuamini!
Mbowe ana daiwa na LAPF mamilioni ya shilingi,Mbowe ana daiwa na NHC mamilioni ya kodi jengo la billicanas!
Zitto haya yote aliyafanya akiwa Chadema!
Dr slaa alijikopesha mamilioni ndani ya chadema!
Chadema kuna haja ya kuangalia maadili ya chama chenu
kila siku mnawashtumu ACT Tanzania kwa kupambana na cdm badala ya ccm,sasa hapa napo vipi ?