Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Katika suala la pesa na rushwa Zitto sii wa kumuamini hata kidogo.Nikikumbuka alivyopewa pesa CHC tsh 50m ili amtoe Mkulo uwaziri sina hamu naye hata kidogo

"Mukulu" huu ndo wakati wa kufunua mambo yanayohusu Msaliti Mkuu,
 
Vijana Wenye njaa ndiyo Wenye mawazo potofu, tupo pamoja na zitto
 
mashirika ya umma, zitto anaibia hela hadi huko, kweli msaliti hana dogo, ni tapeli wa umma pia
 
Back
Top Bottom