Kuna sehemu eti aliyekwenda kuna pesa taslimu millioni 28 ziliwekwa kwenye account in "cash" na mtu aitwaye Mchange. Hapa kuna kitu, hii account inatumika kupitishia pesa za kuendesha shughuli za ACT. Nina imani ni Mchange huyu kada wa CCM aliyeingiza pesa cash kwenye account ya Zitto. Mtani wangu huyu, ameanza kuaibika hivi hivi.
"Baada ya hapo, kati ya tarehe 14 Januari na 7 Februari, 2013, akaunti ya Leka Dutigite Ltd. iliingiziwa jumla ya shilingi 28,600,000. Fedha hizi zote ziliingizwa kama fedha taslimu na mtu aitwaye Mchange (shilingi 3,600,000 tarehe 14 Januari, 2013) na Leka Dutigite (shilingi 25,000,000 tarehe 23 Januari na 7 Februari, 2013). Kufikia tarehe 7 Februari, 2013, fedha hizo zote zilikwishatolewa benki"
Tiba