Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,045
- 12,537
Hivi kweli Sugu anaweza kupambana kwa hoja na zitto.
Kwakweli chadema mna jiaibisha sana.
Nssf ina mdai mbowe hadi sasa hajalipa.
Rudia kusoma kilichoandikwa , pia uwe una pima jambo kwa uhakika na si kuhisihisi. Kwani huyo Zitto ameumbwa na Mungu tofauti na aliye muumba Mbilinyi ?
Mbilinyi hajasema Zitto ajibu hoja bali amezitaka mamlaka husika zitolee maelezo kwa kile kilichotokea. Na Zitto kama mmoja wa wanabodi Wa PAC kama ikimbidi atalitolea ufafanuzi kwa kile anachokijua.