Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,963
Ha ha hs ha....Zitto yupi atii??? Huyu ambaye hana mvuto hata kwa panya...????
Hebu niambie ni Zitto yupo..
Saliti kiongozi wa masalia. The Alliance for Cowards in Tanzania =ACT
Ha ha hs ha....Zitto yupi atii??? Huyu ambaye hana mvuto hata kwa panya...????
Hebu niambie ni Zitto yupo..
Mtawalinda sana wezi ila wakiingia kwenye 18 lazima wapopolewe..
Hawa ni sehemu ya Dola!
Ukitaka ufahamu vizuri angalaia Mama yake Zitto Kabwe anavyohudumiwa na Dola ndani na nje ya nchi!!
Wakati mama Zitto Kabwe akiwa ICU taarifa hizo zimesitua watawala hadi kwenda haraka kwenda kumuona kuliko hata Vicky Kamata ambaye ni danguro lao!
Zitto Kabwe na Mama Zitto Kabwe ni sehemu ya watawala wa sasa hata Mungu akiamua utaona huko Kigoma
Utanikumbuka!!
Hivi kweli Sugu anaweza kupambana kwa hoja na zitto.
Kwakweli chadema mna jiaibisha sana.
Nssf ina mdai mbowe hadi sasa hajalipa.
Tutegemee sarakasi mpya za siasa, ngoja Zitto aje kujibu ndio tupime ukweli.
Tutegemee sarakasi mpya za siasa, ngoja Zitto aje kujibu ndio tupime ukweli.
keshajifia mwizi naye analo la kushindana na mtuChadema achaneni na ZITTO hamtamuweza
Wasio na Elimu ndani ya chadema ndio wanapewa kipaumbele...
Umeambiwa hizo nyaraka hata ofisi ya Spika inazo. Shirikisha brain ujue zimefikaje kwa spika na spika anakaa nazo za nini
Ukiona mtu hapa anatetewa fasta fasta na MSALANI pamoja na LIZABONI, hakuna haja ya kuuliza tena, fahamu moja kwa moja kwamba huyo mtu ni wa Chama kilichotangaza maisha bora kwa kila Mtanzania, ambayo mpaka leo, hayapo !!!!
Kumbe kumtaja mwizi ni kumsakama..Kama kapotea iweje muendelee kumsakama? CHADEMA hata aibu hawana. Mwenzao anaugulwa na mama yake mzazi, wao kazi ya kumsakama
mwizi ni mwizi kuuguliwa na mama yake hakumfanyi asiwe mwizi mama ye apone ili ashuhuduie mwanawe akitiwa pingu kwa wiziKama kapotea iweje muendelee kumsakama? CHADEMA hata aibu hawana. Mwenzao anaugulwa na mama yake mzazi, wao kazi ya kumsakama
vielelezo vitawekwa tu Zitto mwizi walishasema anatumia kila fursa kuchota fedha za NSSF na Tanapa
Katika mambo yanayo niudhi ni hili la wapinzani wao wenyewe kushambuliana badala ya kunoa mapanga kupambana na Liccm ninyi mnapambana wenyewe nini malengo yenu sasa
Hivi hizi Milioni mia ninyingi kuliko bil 200 zilizochotwa na viongozi wa serikali na chama kwanini msiunganishe nguvu kutusemea wanyonge ili mapesa haya yarudi kama zilivyorudi pesa za rada jamani upinzani nani kawaroga kiasi cha kuanza kuumbuana hadharani kiasi hiki??!!!!!!!
BACK TANGANYIKA
Historia ya uzito ni utapeli na wizi ,hamsini zake zimekamatwa sasa auguze halafu aje kujibu wizi anaopiga kwa mgongo wa JakayaSiasa chafu za kutumia bunge tukufu kumchafua mbunge mwenzako,mwanasiasa mahiri asiyelingana uwezo wako!je unadhani itasaidia kukinusuru chama chako kuingia kaburini?je unadhani watanzania wa leo ni wale wa jana?na je unadhani uongo utaishi kilasiku na kuweza kufunika ukweli?zitto atabaki kuwa shujaa katika siasa hizi za mageuzi na heshima yake haitavunjwa na wanasiasa wenye uwezo mdogo na wenye kukubali kulipwa pesa za kumchafua mtu hebu jaribu kupima uzushi huo dhidi ya chuki yenu kwa zitto je imeweza kumbomoa?kama mlitumia bilioni mbili na hamkufanikiwa je mtamuweza kwa uzushi huo?,ushauri fanyeni siasa kwa manufaa yenu na sio manufaa ya watu
Zito anatumika ccm,hapa ndipo unapopata picha Zitto yupo kutimiza dhamira ya ccmCcm wanamuharibia Zito. Why kila Zito akishutumiwa au kutuhumiwa,watu wa ccm ndio huwa fasta kumtetea. Mfano Lizaboni na Msalani humu jf. Why?