Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Zitto kama mwenyekiti wa PAC hakustahili kufanyabiashara na mashirika anayoyasimamia full stop hakuna kuonewa hakuna longo longo Zitto ni fisadi mjanja.

Huu ni uzushi wa CHADEMA tu, katika harakati za kumchafua Mh.Zitto.
 
Eti Sugu nae ni waziri kivuli...yaani chadema kuna vituko mpaka basi..

Ushabiki wa Uchadema utasababisha wengi kutofanya kazi zao

Tatizo la Chadema wanamfata mtu mmoja mmoja
Umejishtukia?, sasa ni busara kufikiria kabla ya kuchangia
Tuwekeni siasa kando na tufanye kazi. Tumesikia upande mmoja wa shilingi tusubiri Zitto nae aseme upande wake ili tulinganishe na tutoe hukumu kwani Chadema kwa chuki yao juu ya Zitto wanaweza ongea lolote lile.
Afu pia wao kina Sugu walipata wapi hizo documents kama wao nao sio wadau?
 
Mkuu ManDla Jr mimi si mshabiki wa chama chochote wala mwanasiasa yoyote ndio maana ni rahisi kwangu kukosoa msimamo wa CDM linapokuja swala la uhusiano wetu na Rwanda au mahusiano yetu na EAC.Utashangaa zaidi naiunga mkono CCM kati hili na kuponda msimamo wa UKAWA au ukipenda CDM.Naikosoa CCM bila taabu yoyote wanapokwapua fedha zetu za kodi au wanapokuja na sera mbaya kama zile za Kigamboni,wewe kama umefungwa na minyororo ya uchama au wanasiasa wasakatonge shauri yako.
Wasio na Elimu ndani ya chadema ndio wanapewa kipaumbele...
 
Last edited by a moderator:
Ngoja muone zitto atavyo wamaliza hawa chadema. uzuri ni mtu makini na wataumbuka.
 
Ni sawa sawa tuu na kutoboa jahazi mlilopanda wote tena mpo katikati ya bahari.

Mkuu wako jahazi moja hawa?? Kumbukumbu zangu ni kwamba hawa walikuwa kwenye Jahazi moja na lilipokuwa katikati ya bahari likipasua mawimbi makali ya bahari, baharia mmoja alitupwa baharini lakini kwa bahati akaokolewa na patrol boat za polisi na bado kesi haijaisha.
 
Hotuba Hii haijazungumzia mipango name maendeleo ya wizara husika Bali vijembe kwa MTU mmoja je tutafika?
 
Wana kihoro sana na kidume zitto moto utawaunguza tuu...

Mbona hawahoji zinapokwenda ruzuku za CDM?
 
Katika wanasiasa niliokuwa nawakubali basi ni Zitto...Ata wakati wanaanza kumuanika nikajua ni siasa chafu wanamuonea......Nilikuja kuchoka nilipokaa na kina Linex wanamuziki members wa Leka Tugite waliponiambia namna alivyokuwa anawatumia wasanii kupiga pesa.....Yani jamaa walikuwa wanaongea kwa uchungu uwezi kuamini ni Zitto uyu uyu ... rip leka tugigite

Uongo Wa mchana kweupe
 
Last edited by a moderator:
kaka kama kuna ukweli ni aibu hii kwa viongozi wa UPINZANI.Sasa najiuliza WaTanzania tutaweza kuwa na IMANI na viongozi waUPINZANI?Inastua kama haya yanaendelea.Juzi tulikuwa na kesi ya Mbowe leo tuna ya Zitto,naiuliza kuna nini kinachoendelea?

Unaamini bila hata kushughurisha ubongo wako? TZS MILIONI 119 kitu gani ni pesa kdogo sana kwa kundi la vijana wanaotafuta maisha. wivu wa sugu na CDM kila kitu siyo lazima ukandie. SUGU mavi.
 
Siasa za kishamba za kuwindana zitamaliza uhai kiduchu wa upinzani. Mnadhani mnamchafua zitto kumbe ndio mzidi punguza uhai wenu.
 
kaka kama kuna ukweli ni aibu hii kwa viongozi wa UPINZANI.Sasa najiuliza WaTanzania tutaweza kuwa na IMANI na viongozi waUPINZANI?Inastua kama haya yanaendelea.Juzi tulikuwa na kesi ya Mbowe leo tuna ya Zitto,naiuliza kuna nini kinachoendelea?

Mbowe amefanyaje mkuu....manake kama ni kuhusu NSSF imeshakanushwa!!!!!!!
 
Back
Top Bottom