Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Mkuu subiri uone watavyo tafutana.Hii ni mistake nyingine ambayo upinzani imecheza bungeni, Ukisoma hiyo hotuba ya sugu bila ushabiki utagundua kwamba ni muendelezo wa siasa chafu zisizo tija, Huku ni kuzua mijadala mipya isiyo tija kwa taifa, ngoja tusubiri naye Zitto atasema nini lakini huku ni kumpandisha kisiasa bila kujua.
HURUMA SANA SIASA ZETU
Last edited by a moderator: