wewe ni dafu kabisa, una mapenzi mpaka yanapitiliza...Ngoja muone zitto atavyo wamaliza hawa chadema. uzuri ni mtu makini na wataumbuka.
Prof NgongoZitto kama mwenyekiti wa PAC hakustahili kufanyabiashara na mashirika anayoyasimamia full stop hakuna kuonewa hakuna longo longo Zitto ni fisadi mjanja.
Naona siku hizi unajifanya mjanja wa JF, teh teh teh kauzu kweli wewe.wewe ni dafu kabisa, una mapenzi mpaka yanapitiliza...
Sugu ameona hilo tu?
Bunge limekuwa kijiwe cha majungu;
Na atakapojua kuwa ulikuwa mkopo halali
huyo sugu atajibu nini?
Hivi kweli Sugu anaweza kupambana kwa hoja na zitto.
Kwakweli chadema mna jiaibisha sana.
Nssf ina mdai mbowe hadi sasa hajalipa.
Unawataka UKAWA wachangue uchafu wa kufagia, yaani watoe mchanga tu,vumbi waliache kisa?Katika mambo yanayo niudhi ni hili la wapinzani wao wenyewe kushambuliana badala ya kunoa mapanga kupambana na Liccm ninyi mnapambana wenyewe nini malengo yenu sasa
Sugu ameona hilo tu?
Bunge limekuwa kijiwe cha majungu;
Na atakapojua kuwa ulikuwa mkopo halali
huyo sugu atajibu nini?
albert Msando.......jiandae kuwaadabisha hawa jamaa viloba vya konyagi
CHADEMA waache chuki binafsi za kumshambulia mtu kisa tu hataki kufuata mkumbo wao.
Unawataka UKAWA wachangue uchafu wa kufagia, yaani watoe mchanga tu,vumbi waliache kisa?
wewe ni dafu kabisa, una mapenzi mpaka yanapitiliza...