Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

mimi nadhani sio maana ya sugu kuwa ana pambana na zitto ila anaweka wazi ukweli kama kawaida ya sugu hana mchezo wa kubana pua mbele ya waharifu;kwani sio kweli?
 
uzuri ni kuwa zitto akijibu wote wataonekana wapuuuzi tu
 
Ccm wanamuharibia Zito. Why kila Zito akishutumiwa au kutuhumiwa,watu wa ccm ndio huwa fasta kumtetea. Mfano Lizaboni na Msalani humu jf. Why?

Ww chungakauli yako mm nitakuwa na zt hadi mwisho na fitina zenu zote zitakwisha tu
Act tunasonga mbele
 
Jamani kwani kuna ubaya kwa mbunge kuwa na kazi nyingine ya kitaaluma.

Mbona Tundu Lisu wanatetea watu mahakamani. Au mh Mtemvu ana kampuni nayotuletea wafanyakazi wa ndani na madereva huku Uarabuni. Je kuna Ubaya au akifanya Zitto ndio kosa.

Kama wameona ame corrupt popote basi waifikishe kampuni Mahakamani na sio kumchafua Zito bungeni.

Pole sana Sugu kwani Zitto ana ilmu kubwa sana kuliko wewe na wenzako.
 
mimi nadhani sio maana ya sugu kuwa ana pambana na zitto ila anaweka wazi ukweli kama kawaida ya sugu hana mchezo wa kubana pua mbele ya waharifu;kwani sio kweli? Hivyi mtu akiwa muaminifu juzi na jana leo hawezi kuwa mchafu;tatizo vijana wengi wa ccm,act mnapenda vibaya na hii inachangiwa na kugeuza siasa ni ajira baada ya kumalivyo vyuo hamtaki kurudi vijijini kulima na wale mjini mkauze magazeti,sasa mnakua wapofu hata kwa wale walio poteza uaminifu hamtaki wasemwe!
 
Mkiambiwa wanasiasa wanawazingua kila uchao humu mipovu kibao..............yeye mwenyewe alisema "msiwaamini wanasiasa".........................

Sasa kwa ushahidi huu wa mpaka transactions naona kama blaza ZZK sasa kaa vizuri maana heshima yako kama kweli umefanya haya uliicha ulipoamua tu kufanya haya!!!!!!!
 
Jamani kwani kuna ubaya kwa mbunge kuwa na kazi nyingine ya kitaaluma.

Mbona Tundu Lisu wanatetea watu mahakamani. Au mh Mtemvu ana kampuni nayotuletea wafanyakazi wa ndani na madereva huku Uarabuni. Je kuna Ubaya au akifanya Zitto ndio kosa.

Kama wameona ame corrupt popote basi waifikishe kampuni Mahakamani na sio kumchafua Zito bungeni.

Pole sana Sugu kwani Zitto ana ilmu kubwa sana kuliko wewe na wenzako.

Kwa hiyo hata akikua tembo bora wengine wanafanya shughuli basi aachwe tu!!!!???????
Kapituka pakubwa kama kafanya haya madudu
 
Watakutukana,.. Mwisho utashinda.
Chadema baada ya kuona Zitto hakubaliani na utumiaji mali za Chama kwa kutumia jina la UKAWA wanataka wa mponde kwa wana nchi. Sisi tunajua kila kitu, ukweli uko wazi. Mlimtukana weeeeee baba wa taifa leo mmeamia kwa Zitto kisa anataka kupata PHD yake. Mwambieni Mbowe arudi shuleni...
 
Sikuwahi kutegemea kama CHADEMA itafikia level siasa rahisi na za kitoto kiasi hiki.

Sitaki kuamini kama kweli haya yaliyosomwa na Sugu ndio maoni ya KAMBI RASMI YA UPINZANI inayowajumuisha wenyeviti wawili wa vyama vya siasa.

Ifiki kipindi kambi yenye watu makini hadi maprofesa ikaja na maoni mbadala ya kulikomboa taifa hili.
Kwa mwendo huu, upinzani kushika dola Tanzania, we have to wait another millennium.
 
wanasiasa hawa aminiki hakuna hata mmoja mwenye nia ya dhati ya kuwasaidia wananchi sio upinzani wala wa chama tawala...
 
mimi nadhani sio maana ya sugu kuwa ana pambana na zitto ila anaweka wazi ukweli kama kawaida ya sugu hana mchezo wa kubana pua mbele ya waharifu;kwani sio kweli? Hivyi mtu akiwa muaminifu juzi na jana leo hawezi kuwa mchafu;tatizo vijana wengi wa ccm,act mnapenda vibaya na hii inachangiwa na kugeuza siasa ni ajira baada ya kumalivyo vyuo hamtaki kurudi vijijini kulima na wale mjini mkauze magazeti,sasa mnakua wapofu hata kwa wale walio poteza uaminifu hamtaki wasemwe!
 
Thread inatambaa vibaya mno huu ni uthibitisho ZZK ni maarufu kushinda Mbowe,Mbowe alituhumiwa juzi watu waka kaa kimya...hii scandal ya kijinga I know the guy is going to kick it off easily
 
Zitto kawashika pazuri chadema. Hawapati usingizi, chama kiko ukingoni mwa kaburi.

Wawashukuru CUF na NCCR wanaowabeba kwa sasa.
 
Je biashara ya mbowe anayodai anaikopesha chadema ni uadilifu..jee kuizia chadema magari chakavu ni saw a..je kutokuweka wazi mkataba wa pango la ofisi ya chadema ni uadilifu..tamko la sugu linaonesha kuwa cdm awajakuwa kisiasa na awapo tayari kupewa nchi walitakiwa waongee na zitto personal.uyo sugu 2015 mbeya hatumtaki labda watuletee mama Naomi. Chadema yoyote ukiunga mkono hoja ya sugu utakuwa mpofu wa fikra na unapelekwa kama punda tu.chadema sio mharubain wa matatizo yetu kwan wanajua kupika majungu tuu...itafahamika baada ya uchaguzi mkuu
 
Jamani kwani kuna ubaya kwa mbunge kuwa na kazi nyingine ya kitaaluma.

Mbona Tundu Lisu wanatetea watu mahakamani. Au mh Mtemvu ana kampuni nayotuletea wafanyakazi wa ndani na madereva huku Uarabuni. Je kuna Ubaya au akifanya Zitto ndio kosa.

Kama wameona ame corrupt popote basi waifikishe kampuni Mahakamani na sio kumchafua Zito bungeni.

Pole sana Sugu kwani Zitto ana ilmu kubwa sana kuliko wewe na wenzako.
Waambie hawa kumlinganisha Sugu na ZZK sawa umlinganishe Mess na Boban sunzu
 
Sikuwahi kutegemea kama CHADEMA itafikia level siasa rahisi na za kitoto kiasi hiki.

Sitaki kuamini kama kweli haya yaliyosomwa na Sugu ndio maoni ya KAMBI RASMI YA UPINZANI inayowajumuisha wenyeviti wawili wa vyama vya siasa.

Ifiki kipindi kambi yenye watu makini hadi maprofesa ikaja na maoni mbadala ya kulikomboa taifa hili.
Kwa mwendo huu, upinzani kushika dola Tanzania, we have to wait another millennium.
We toa pumba hizo,utajengaje taifa kwa kufuga wezi,tumia akili usiwe kama mkasi..
 
Thread inatambaa vibaya mno huu ni uthibitisho ZZK ni maarufu kushinda Mbowe,Mbowe alituhumiwa juzi watu waka kaa kimya...hii scandal ya kijinga I know the guy is going to kick it off easily

Kutambaa kwa thread haina maana zzk ni maarufu bali comments nying zinz mponda zzk nyie ccm mmelaaniwa nyinyi na vizazi vyenu pambaf.
 
Zitto kawashika pazuri chadema. Hawapati usingizi, chama kiko ukingoni mwa kaburi.

Wawashukuru CUF na NCCR wanaowabeba kwa sasa.
Ndio maana wanakuita ajuza akili huna kabisa,kule mahakamani alifata nini?
 
Back
Top Bottom