Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
"Tumekuwa ni taifa la tume..." Sungusia
Huyu jamaa yuko vizuri, sijui CCM iko wapi hata kumchukua ampe busara nape. Jamaa ametangaza hana chama cha siasa
"Tumekuwa ni taifa la tume..." Sungusia
Iundwe tume kuchunguza kipindi hiki, ikibainika Masako alikiuka sheria kumkutanisha tendwa na watu hawa ambao si size yake.achukuliwe hatua
Iundwe tume kuchunguza kipindi hiki, ikibainika Masako alikiuka sheria kumkutanisha tendwa na watu hawa ambao si size yake.achukuliwe hatua
hahaha, nchimbi yuko wapi aunde tume. Tendwa leo amebanwa kunako.
Iundwe tume kuchunguza kipindi hiki, ikibainika Masako alikiuka sheria kumkutanisha tendwa na watu hawa ambao si size yake.achukuliwe hatua
Naskia ndiye FAIZA FOXY
Nimemiss kipindi, ila thanks jf kwa comments zenu, yani ni kama naangalia kipindi live
Tendwa pamoja sina imani naye lakini kajibu swali la polisi vizuri.
Hivi hiki kipindi kinarudiwaga...?
Wadau mtujuze na Tendwa anachangia nn... hakuna maana ya mjadala kama karibia wachangiaji wote mpo upande mmoja
Anasema mauwaji ya raia si tanzania 2 hadi nnje ya nchii so si kitu kigeni
Wadau mtujuze na Tendwa anachangia nn... hakuna maana ya mjadala kama karibia wachangiaji wote mpo upande mmoja
Hivi Tendwa kwa kweli uwa simuelewa kwanza anajifanya kiswahili kinampa shida halafu ana tabia za kibabe ambazo zinamfanya awe anropoka hovyo.
hivi ndivyo vitu vinavyoelimisha na huku ukibudika kwa kusoma na kufikiri" kazi za ubongo".......................
Tendwa ni mzee wetu lakini naweza kuthubutu kusema kuwa mzee wetu anajivua heshima yake kwa kuwa kipofu mbele ya ccm na kuvaa darubini mbele ya cdm..............................
Hivi huyu mtangazaji wa ITV si aligombea ubunge kupitia CCM.