Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Hivi Tendwa kwa kweli uwa simuelewa kwanza anajifanya kiswahili kinampa shida halafu ana tabia za kibabe ambazo zinamfanya awe anropoka hovyo.
Iwe kwa sababu yoyote ile, Ritz umebadilika ndugu yangu. Maendeleo yako yanatia moyo kidogo. Ila wakati huo huo Zomba & Ecoli hali zao zinazidi kukatisha tamaa. Kama ukiweza kuwamegea remedy ulizotumia itatusaidia maana tunapenda kila Mtanzania ashiriki na kula mema ya nchi bila ubaguzi wala hiana.