John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

Simu kutoka mwanza mpigaji anaitwa juliasi masako anasema hawasikilizani vizuri anawasii watu wajaribu kupiga simu mara kwa mara
 
Sungusia- aNASEMA TUNAHITAJI KUWA NA OVERSIGHT BODY ILIIFANYE KAZI YAKE KWA USAWA, NA ANAWAASA ASKARI WAJUE KUWA MIPAKA YA NCHI HAITOWALINDA MILILELE KWANI MKONO WA KIMATAIFA UTAWEZA KUWAFIKIA

KIPINDI KINAELEKEA MWISHO DAKIKA YA 89, CDM50-0 CCM
 
Masako anasema muda unawa2pa mkona na kusikitika kwa walio kosa kupiga simu
 
ukweli ni kuwa dhaifu ndo anasababisha udhaifu huu
 
Iundwe tume kuchunguza kipindi hiki, ikibainika Masako alikiuka sheria kumkutanisha tendwa na watu hawa ambao si size yake.achukuliwe hatua

MIA!!!! maana ni sawa na kuipambanisha tukuyu stars na man city ..tehtehhhhhh
 
images



Compare




empty_mind_440.jpg
UMENIKUMBUSHA NA HII
attachment.php
 
Mheshimiwa Tendwa sasa anapumua, anajaribu kujikakamua
kwa kuliasa jeshi la polisi huku akivitaka vyama vya siasa
visilete migongano na jeshi la polisi...
 
Tendwa anamalizia
Anasema watz wa leo wanafahamu haki yao kuu ya kuishi,anawasii mapolisi kufata sheria, na awadau woote wanapaswa kukutana na kuzungumza ya nini kifanyike, ili kila mtu atakeleze wajibu wake kwa mujibu wa sheria. Kipindi kimekwisha naona Tendwa napumua sasa maana mechi ilkuwa ngumu sana, dakika ya 91 CDM 100-0 CCM. BYE
 
Kauli za mzee tendwa na kupwaya kwake kwenye huu mjadala kunasadifu uozo ulio ndani ya ccm! Naamini angekuja mzee wassira, nchimbi, nape, shigella na mzee sitta mambo yangekuwa haya haya ya mzee tendwa! Wote wangepwaya tu maana ni maadui wa ukweli, ukiwa adui wa ukweli siku hizi kwenye mijadala kama hii lazima watu wakuone akili zako zinapiga mbizi, maana kila kitu kwako hata kama nicha dhahiri na wazi utasema liwalo na liwe chama kwanza!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom