Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Ni sahihi kusema kuwa mauaji yanayofanywa na polisi hapa nchini hufanywa na mataifa mengine pia?
Ni kama kuiambia mahakana kuwa hauna kosa kwa vile pia kuna watu wengi tuu wanaiba, na kuibiwa.
Ni sahihi kusema kuwa mauaji yanayofanywa na polisi hapa nchini hufanywa na mataifa mengine pia?
Anasema mauwaji ya raia si tanzania 2 hadi nnje ya nchii so si kitu kigeni
Kama atapitia hapa natumaini atasilizia hii voice clip jinsi wabunge wa Afrika kusini walivyolaani yale mauaji ya MarikanaAnasema mauwaji ya raia si tanzania 2 hadi nnje ya nchii so si kitu kigeni
Ni kweli na akaondolewa kimizengwe ili kumpisha Msola, ndiyo maana kawachoka!
Ni kweli na akaondolewa kimizengwe ili kumpisha Msola, ndiyo maana kawachoka!
Hivi kupata nafasi yakuwa msajili wa vyama vya siasa ni nini kinapaswa kuwa kigezo?
Hiyo cd ya ushahdi wa mauaji tunaomba wai upload humu
Uyu mzee short circuit yaani naye alikubali kuja kwa mdahalo kama huo no wonder polisi wamechomoa,
"Na demokrasia ni pamoja na ulinzi na usalama wa raia"Nimenukuu michapo Tendwa asemavyo! Wapenzi wana jf,tunukuu michapo then tupia hapa! ITV live!
Masako anauliza kwanini mara nyingi mauaji haya huambatana na vyama ambavyo viko karibu na chama kinachotawala, mafano enzi za NCCR-Mageuzi ikiwa katika peak na Polisi, ikaja CUF na Polisi, now ni Chadema na Polisi VS Raia, tendwa anajikanyaga
Hakuna lolote la maana ambalo Tendwa kaliongea zaidi ya ngojera zisizoeleweka.Twende mbele turudi nyuma, mh Tendwa kajitahidi. Aligundua mapema kuwa hali si shwari, na watu wamekuja na takwimu na kama mlisikiliza vizuri wana ushahidi kwamba polisi wanafuata maelejezo kutoka chama tawala. asilimia kubwa pamoja na masako wameituhumu polisi kutokutenda haki na kupendelea chama tawala. Mh Tendwa alionekana kubadilika na hakuwa na jazba.
Ndiyo tabia ya Wapare hiyo umemsahau mama Anne Kilango au muke ya muzungu anavyouza u turnHivi Tendwa kwa kweli uwa simuelewa kwanza anajifanya kiswahili kinampa shida halafu ana tabia za kibabe ambazo zinamfanya awe anropoka hovyo.