John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

Tendwa kamalizia kiupole maskini..anataka kulia...!
 
ukweli ni kuwa dhaifu ndo anasababisha udhaifu huu

We unadhani Mzee akiwa MLEVI watoto watajifunza nini kwake! Kila Mmoja atafanya analojua.. CCM ndo ilivyo kila Mtu anafanya Ajualo kutetea TUMBO
 
Hakika kupitia kipindi hiki nimeamini CDM inapendwa na watanzania.
 
UMENIKUMBUSHA NA HII
attachment.php
Me like this
 
UMENIKUMBUSHA NA HII
attachment.php
[/QUOTE]

Unamaanisha huyu mzururaji wetu wa magogoni au?
 
pyepyeee!!! CHADEMA 500 - 0 CCM. NA MPIRA UMEISHA.
 
Hakika kupitia kipindi hiki nimeamini CDM inapendwa na watanzania.

umeona hee mkuu yani ccm wanazidi kujishushia credit kwa kutumia polic kuvuruga CDM watu tumepigika mtaani hatuitaki ccm hata kwa mabomu
 
Twende mbele turudi nyuma, mh Tendwa kajitahidi. Aligundua mapema kuwa hali si shwari, na watu wamekuja na takwimu na kama mlisikiliza vizuri wana ushahidi kwamba polisi wanafuata maelejezo kutoka chama tawala. asilimia kubwa pamoja na masako wameituhumu polisi kutokutenda haki na kupendelea chama tawala. Mh Tendwa alionekana kubadilika na hakuwa na jazba.
 
umeona hee mkuu yani ccm wanazidi kujishushia credit kwa kutumia polic kuvuruga CDM watu tumepigika mtaani hatuitaki ccm hata kwa mabomu

Hawajui ya kuwa ipo siku ya mnyonge kufurahi,waache waendelee kuuwa lakini kabla 2015 panaweza tokea vurugu kubwa sana ndani ya nyinyiemu.

Adhabu ya mnafiki ni hapa hapa duniani,waache waendelee kufurahi mauaji yatokeayo.

Wanajidanganya tu lakini wajiandae pana nyakati watakuja kulia na kusaga meno.

Walioangalia kipindi mashahidi kwa wote walopiga simu wanalalamika namna raia wanavyouwawa bila hati na serikali katili na dhalimu na ya kibabe ya nyinyiemu.

RAB U MWENZA WA YOTE TWAYAACHA YOTE MIKONO MWAKO.AMINA.
 
Kwakweli kipindi kimeiongezea credit za kutosha cdm!
Namshukuru Tendwa kwa kuwapa fursa wananchi kumjua vizuri!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom