John Shibuda: Mbowe ni dikteta

John Shibuda: Mbowe ni dikteta

hoja yako ni uharo.
Sina haja ya kukuorodheshea aliyoyafanya Mbowe ila kama unakifuatilia chama cha Chadema kilivyokuwa kabla ya Mbowe na sasa wakati mwenyekiti ni Mbowe utagundua ni yepi ambayo Mbowe amesaidia.
Ukishindwa kuelewa hapo tena basi

kwa kweli kumpa credit zote mbowe ni kutokutenda haki

akina chacha wangwe, ndesamburo, zitto, hata vijana wa chadema akina mnyika, mdee, na wengine walipigana befga kwa bega kukifikisha chama hapo, ila cha kusikitisha kuwa kwa kuwepo kwake hakikufika mbali ilish=tahili wafike mbali zaidi ila yeye ndio kikwazo
 
Mbowe ni dikiteta , lakini edward lowasa na rostam ni koloni la ccm.
Wanaccm pado wapo utumwani kama watu hawa wanaweza kuhujumu nchi kupitia dowans , richmond na kagoda lakini wasitajwe na hata serikali inawaogopa/ basi ni zaidi ya dikiteta.
Rostam kamununua zitto ili agombee uenyekiti kumung'oa mbowe,!! Bora mbowe aendelee kuwa dikiteta!! Nyerere alikuwa dikiteta kwa wakoloni kama mbowe
 
Gazeti la Mtanzania 13 December 2010 limemnukuu Shibuda akilalamika kuwa mbowe ni Dikteta na anawaburuza na anajenga makundi badala ya umoja ndani ya chama

"hali ilikwishachafuka, Mbowe anaendesha vikao kwa ubabe, kuhujumiana, kubomoana na kujenga makundi... ule ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa wajumbe watano wa kamati kuu, lakini ukatanguliwa na hicho kikao cha kuvunjiana heshima, ilibidi nitoe jina langu" alisema Shibuda.

Shibuda kama ulikuwa hujui huyo ndio Mbowe.

Mpuzi Shibuda,Hajui anachoongea anabwabwaja tu.Watu kama yeye hawatavumiliwa.
 
hoja yako ni uharo.
Sina haja ya kukuorodheshea aliyoyafanya Mbowe ila kama unakifuatilia chama cha Chadema kilivyokuwa kabla ya Mbowe na sasa wakati mwenyekiti ni Mbowe utagundua ni yepi ambayo Mbowe amesaidia.
Ukishindwa kuelewa hapo tena basi

Halafu mnategemea mpewe nchi nyie kweli kila la kheri labda tukishakufa sie na vizazi vyetu. Mnapenda kitu kwa unazi wa kutokufahamu hata mapungufu yaliyomo ndani kila kheri bwana but hapa naona nyie ndio mnatoa uharo hamna convincing yeyote mnashindwa hata kukubali kasoro zenu.
 
Tufike mahali tuelewe inawezekana mbowe ni dikteta kwa maslahi ya chama, kama asingekuwa hivyo alivyo leo walionunuliwa na mafisadi wangekuwa wameshakivuruga chama. Shibuda busara ya kawaida inatuambia ukifika kwenye jamii ya watu wengine unatakiwa ujifunze ustaarabu wao, mbowe ameanza udikteta baada ya kina shibuda kuja. Mafisadi wanataka kujipenyeza ili kuua chadema mbowe ndo kikwazo hivyo lazima atapewa majina mbalimbali.
 
ili mambo yaende inahitaji maamuzi magumu na sio kuoneana haya maana kuongoza ni kazi ila kama kitu kikisha amuliwa hakuna kuremba kusonga mbele tu. Sasa Mboye anaonekana Dikteta kwa sababu ni kiongozi, watu wakisha kuwa wawili lazima kiongozi awepo lasivyo mambo hayawezi kwenda bABA MBOYE KOMAAAA kitaeleweka tu.
 
Ndugu wana jf, mi maoni yangu kuhusu mbowe kutuhumiwa na baadhi ya viongozi wa CDM,kua anaendesha chama ki dikteta si za kupuuzwa, kwa mfano hata kitendo cha akina zito kutofika bungeni siku ile ya hotuba ya JK,ni ishara tosha kua kuna matatizo ndani ya chama, ingawa akina halima mdee walitoa excuse mbalimbali za kutofika kwao kabisa lakini ukweli wanaujua wenyewe, hivyo basi chadema inapokua ina wachunguza akina shibuda na Zito ni vizuri imchunguze na mbowe,kuna wav wengi na mimi nikiwemo ambao hatuna imani kabisa na vyama vyetu vya siasa, lakini na cdm jinsi ilivyojipanga vizuri na kuzieleza sera zake kwa wananchi,hata sisi tuliona huenda cdm ikawa ndio mkombozi wetu, sasa basi hali ya migogoro kama hiyo mlionayo inatuvunja moyo na kutufanya tuhisi kua na nyie mnatafuta maslahi yenu binafsi. Mi napendekeza mbowe atoke kwenye kiti chake kwa muda then uchunguzi wa tuhuma dhidi yake ufanyike tena kwa misingi ya haki na ukweli na kama ikionekana ni kweli then aondoke halafu aje mwingine ambae atakaeweza kukinusuru chama kwa maslahi ya taifa zima. Mi yangu ni hayo tu.
 
Mawazo yako ni mazuri lakini kama wewe ni mwanachama wa Chadema ungekuwa na fursa ya kutoa mawazo hayo katika vikao husika. Hapo ndipo ungegundua kuwa udikteta wa Mbowe unaweza ukawa ni kisingizio cha kina Zitto. Kama walikaa kikao na kupiga kura ili kuamua dikteta ni yule aliyefuata maoni ya wengi au ni yule aliyetaka mawazo yake binfsi (Zitto) yafuatwe? Uwe makini na unachokisema na maana ya udikteta.
 
Kwa hiyo ujiunga hapa ili utuleteee stori ya udikteta wa mbowe. Lakini elewa hiyo ndiyo style yake ya kuongoza na ni mbowe yule yule unayemsema kuwa ni dikteta ndo ameifikisha hapo CDM. Acha umbeya.

BRUCE LEE
Join Date Sat Dec 2010
Posts 68
Thanks 0
Thanked 7 Times in 7 Posts
 
HUNA HOJA WEWE BRUCE LEEE ACHA UNAFIKI MBOWE NI KIONGOZI NA AMEONESHA MATUNDA YAKE LAKINI PIA NI BINADAMU LAKINI HUWEZI KULETA MFANO WA KUMGOMEA MKWERE KWAMBA NI MFANO WA UDIKITETA UMETUMWA WEWE NA NJAA ZAKO HATUKUSIKII MANAKE KITENDO WALICHOFANYA WABUNGE WA CHADEMA KILIFURAHIWA NA WENGI NA KUUNGWA MKONO HATA KIONGOZI WETU SLAA(PhD) ALIUNGA MKONO, ACHA MAJITAKA PALEKA HUKO KWA ZITO NYAMBFFFFFFF
 
Kuna mwalimu wangu mmoja alisema demokrasia ni kitu cha ajabu sana, unaweza ukatatua au kupata matatizo kwa njia ya demokrasia, si ya kutmika vibaya , ina mahali pake, wakati wake, na kwa sababu zake.

Kwa mfano 1+1=2, endapo kama mimi mwalimu nikawafundisha wanafunzi kuwa 1+1=2 Wakakataa na wakasema ni tatu basi hatima ya ubishani wetu unaweza kumalizikia kwa kusema tupige kura, kumbuka wanafunzi 40 against mwalimu! kura zitapigwa, wanafunzi ni wazi watashinda na wengine wachache watakuwa kwangu, kwa lengo tu la kubishana na mwalimu! KWANI WAKISHINDA NDIYO JIBU SAHIHI KUWA 1+1=3?????
facts hushinda truth

Kisingizio cha kupiga kura ni kizuri kwa demokrasia lakini kuna yaliyojificha nyuma ya hilo,. Hila??
 
Ndugu wana jf, mi maoni yangu kuhusu mbowe kutuhumiwa na baadhi ya viongozi wa CDM,kua anaendesha chama ki dikteta si za kupuuzwa, kwa mfano hata kitendo cha akina zito kutofika bungeni siku ile ya hotuba ya JK,ni ishara tosha kua kuna matatizo ndani ya chama, ingawa akina halima mdee walitoa excuse mbalimbali za kutofika kwao kabisa lakini ukweli wanaujua wenyewe, hivyo basi chadema inapokua ina wachunguza akina shibuda na Zito ni vizuri imchunguze na mbowe,kuna wav wengi na mimi nikiwemo ambao hatuna imani kabisa na vyama vyetu vya siasa, lakini na cdm jinsi ilivyojipanga vizuri na kuzieleza sera zake kwa wananchi,hata sisi tuliona huenda cdm ikawa ndio mkombozi wetu, sasa basi hali ya migogoro kama hiyo mlionayo inatuvunja moyo na kutufanya tuhisi kua na nyie mnatafuta maslahi yenu binafsi. Mi napendekeza mbowe atoke kwenye kiti chake kwa muda then uchunguzi wa tuhuma dhidi yake ufanyike tena kwa misingi ya haki na ukweli na kama ikionekana ni kweli then aondoke halafu aje mwingine ambae atakaeweza kukinusuru chama kwa maslahi ya taifa zima. Mi yangu ni hayo tu.

nimesoma heading tu

content sijasoma. mimi sisomagi majungu.

vipi chama chenu cha KUF mumefikia wapi?

KUF=Kigoma United Front.

Mnajipendekeza kwa JK ili aigeuze Kigoma kuwa Dubai??

JK mtu wa Pwani. Anajua Kiswahili A-Z
 
Ndugu wana jf, mi maoni yangu kuhusu mbowe kutuhumiwa na baadhi ya viongozi wa CDM,kua anaendesha chama ki dikteta si za kupuuzwa, kwa mfano hata kitendo cha akina zito kutofika bungeni siku ile ya hotuba ya JK,ni ishara tosha kua kuna matatizo ndani ya chama, ingawa akina halima mdee walitoa excuse mbalimbali za kutofika kwao kabisa lakini ukweli wanaujua wenyewe, hivyo basi chadema inapokua ina wachunguza akina shibuda na Zito ni vizuri imchunguze na mbowe,kuna wav wengi na mimi nikiwemo ambao hatuna imani kabisa na vyama vyetu vya siasa, lakini na cdm jinsi ilivyojipanga vizuri na kuzieleza sera zake kwa wananchi,hata sisi tuliona huenda cdm ikawa ndio mkombozi wetu, sasa basi hali ya migogoro kama hiyo mlionayo inatuvunja moyo na kutufanya tuhisi kua na nyie mnatafuta maslahi yenu binafsi. Mi napendekeza mbowe atoke kwenye kiti chake kwa muda then uchunguzi wa tuhuma dhidi yake ufanyike tena kwa misingi ya haki na ukweli na kama ikionekana ni kweli then aondoke halafu aje mwingine ambae atakaeweza kukinusuru chama kwa maslahi ya taifa zima. Mi yangu ni hayo tu.

Unaona wachaga wanavyokushambulia? wenyewe wanaamini mbowe hakosei na hastahili kukosolewa!
 
Mawazo yako ni mazuri lakini kama wewe ni mwanachama wa Chadema ungekuwa na fursa ya kutoa mawazo hayo katika vikao husika. Hapo ndipo ungegundua kuwa udikteta wa Mbowe unaweza ukawa ni kisingizio cha kina Zitto. Kama walikaa kikao na kupiga kura ili kuamua dikteta ni yule aliyefuata maoni ya wengi au ni yule aliyetaka mawazo yake binfsi (Zitto) yafuatwe? Uwe makini na unachokisema na maana ya udikteta.

maoni mazuri mkuu
 
poleni sana wana chadema kwa hali hiyo mmenidhihirishia kua nyie na cdm yenu mna ajenda ya siri na hamna nia ya kuinusuru nchi, hali hiyo imenifanya ni pate majibu ya maswali yangu. THE BEAUTIFUL ONES ARE NOT YET BORN. nyinyi,cuf, nccr,CCM.. Lenu moja tu. Na kwanjia hakuna ukombozi wa kweli tz. Lazima tujifunze toka kwa majirani kenya walijiunga na kuiangusha serkali ya kanu, lakini nyinyi mlivyo wanafiki mmeshindwa kujiunga na kua kitu kimoja. Shauri yenu.
 
Ndugu wana jf, mi maoni yangu kuhusu mbowe kutuhumiwa na baadhi ya viongozi wa CDM,kua anaendesha chama ki dikteta si za kupuuzwa, kwa mfano hata kitendo cha akina zito kutofika bungeni siku ile ya hotuba ya JK,ni ishara tosha kua kuna matatizo ndani ya chama, ingawa akina halima mdee walitoa excuse mbalimbali za kutofika kwao kabisa lakini ukweli wanaujua wenyewe, hivyo basi chadema inapokua ina wachunguza akina shibuda na Zito ni vizuri imchunguze na mbowe,kuna wav wengi na mimi nikiwemo ambao hatuna imani kabisa na vyama vyetu vya siasa, lakini na cdm jinsi ilivyojipanga vizuri na kuzieleza sera zake kwa wananchi,hata sisi tuliona huenda cdm ikawa ndio mkombozi wetu, sasa basi hali ya migogoro kama hiyo mlionayo inatuvunja moyo na kutufanya tuhisi kua na nyie mnatafuta maslahi yenu binafsi. Mi napendekeza mbowe atoke kwenye kiti chake kwa muda then uchunguzi wa tuhuma dhidi yake ufanyike tena kwa misingi ya haki na ukweli na kama ikionekana ni kweli then aondoke halafu aje mwingine ambae atakaeweza kukinusuru chama kwa maslahi ya taifa zima. Mi yangu ni hayo tu.

Samahani mie sichunguzwi
 
kama ww ni mwanacdm lipeleke kwenye vikao husika kama hauna chama usijiunge nao mwache awaongoze wanaoridhia , dikteta anayesababisha maendeleo mm nadhani ni mzuri mbaya kama kama cdm ingepungukiwa na madiwani na wabunge pamoja uongozi wa halmashauri so far hizo zote zimeongezeka basi na katibu mkuu wake naye awe dikteta watachukua nchi next election
 
Back
Top Bottom