John Shibuda: Mbowe ni dikteta

Najuwa unafahamu nasema nini, mimi si Chadema ila nawapa nasaha zangu tu. Mkipenda zisikizeni mzifanyie kazi, la hamkupenda zipuuzeni kwani waswahili hunena "sikio la kufa halisikii dawa".
Tunachagua kwenye bold, utamchaguaje adui chaka la kujificha.
 
Ukabila, undugu, ubinafsi na udikteta ndivyo vimetawala Chadema. Sijui mpaka kufika 2015 kaMA chadema chadema ya mfano wa mrenda. na ukweli huu utasimama wale amabao mawazo yao yako ndani ya chupa kwa kujifanya conservative wa chadema waendelee tu kupayuka, ila comes 2015 mtakubali wenyewe kama mlivyokubali kila kitu mlichokuwa mnajidai kupigania kama kumtambua JK. Mbowe anaiua chadema sisi wenye kuona mbali tunasema na tutaendelea kusema, Zitto ndiye mkweli ndani ya chadema anatumia vizuri usomi wake, akili yake katika chumbua mambo kifupi ' zitto think in a big picture' Bravo Zitto.
Tulipomaliza uchaguzi wa 2005 walituambia maneno hayo hayo walifikiri 2010 ni mbali.
 
Mbowe ni mwiba kwa ccm -mafisdi na wengineo wanajua hilo, alianzisha move ya helicopta wote wakafuuata. Huyu ni kamanda wa vita asiye nunulika kama cash anayo hatishiki -huyu kiongozi bwana
 
Mbowe ni mwiba kwa ccm -mafisdi na wengineo wanajua hilo, alianzisha move ya helicopta wote wakafuuata. Huyu ni kamanda wa vita asiye nunulika kama cash anayo hatishiki -huyu kiongozi bwana

Watu wengine wako tayari kuongozwa hata na jiwe wao wanakubali tu kwa mapenzi yao. So unataka kutuambia Mbowe ni kiongozi shupavu kwako? Hebu tupe sababu za kusema hilo? Kuna watu humu wanasema eti Chadema Chini ya Mbowe kimeweza kupata wabunge wengi. You guys are totally wrong kilichosababisha kupata wabunge ni vitu hivi hapa chini:-
a. Chuki ya watanzania dhidi ya mafisadi iliyopelekea wabunge wengi wanaotuhumiwa kuwa mafisadi kuanguka katika ubunge. Mfano Jimbo la Kawe, na Ubungo. Subiri ikifika 2015 kama CCM wakijirekebisha mtaona. Mfano mzuri ni mmeona Chadema imepoteza Tarime.

b. Umaarufu wa wagombea ubunge. Mfano Zitto, Shibuda, Mbowe, wameshinda si kwasababu ya Chadema bali umaarufu na their personal calibre imewafanya kushinda.

c. Msukumo kutoka kwa mgombea aliyekuwa makini naye ni Dr. Slaa hilo nalo limechangia hata wabunge wengine wasio na pointi kabisa kama akina Sugu kushinda ubunge simple kwasababu ya umaarufu wao na msukumo kutoka kwa Dr Slaa kuweka msukumo wa watu kumchagua.

Sasa kwasababu hizi chache hebu wanazi wa Chadema niambieni mchango wa chadema kama chama uko wapi? Kuna wajumbe wa chadema waliokuwa wakipita kila sehemu kupiga kampeni? Kumekuwa na hata majumbe wa chini waliokuwa wakipita nyumba kwa nyumba kupiga kampeni? Jibu hakuna sasa mnasemaje Chadema imeperform?

Mwe upenzi mwengine bwana unawafanya watu wawe vipofu tu wasione lililokuwa nyuma ya pazia.
 
Je hayo uliyoyaorodhesha yametokea kipindi ambacho Bob Makani ndie Mwenyekiti wa Chama au Aikaeli?

Sasa kama yametokea wakati yeye ndie mwenyekiti wa chama basi anastahili pongezi.

Ngoja nikupe Mfano:
Anza tangu enzi ya Marehemu Kolimba, pitia mpk kwa Mangula kisha njoo kwa Baba January.
Je ni kipindi cha nani kama katibu mkuu ambacho chama kimeporomoka?

Au anzia kwa Mchonga, Mzee Ruksa, Uncle Ben au kwa huyu wa sasa je ni uongozi wa nani ambao chama kimeonekana kuporomoka?

Sasa ukipata jibu ndo utakuwa umefahamu kwa nini Mbowe anaheshimika na yeye binafsi yuko imara kuhakikisha hakuna ushuzi yeyote ambaye ni pandikizi atapata nafasi ya kutema sumu.

Endelea Mbowe, hao wanaopiga kelele ni madebe matupu tu
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya Shibuda na Masumbuko Lamwai? Tell me please!

Physically, Shibuda ana mdomo mpana na mropokaji na lamwai ni mwembamba na kigeugeu, politically hawana tofauti.
 
CCM are more than MAFIA for sure!
It's not get in my mind why all this conflicts/rumours/saga is happening now after election,I wonder some members are planted by CCM.The only strong opposition in Tanzania now at risk of getting huge damage on administration!
Real pain....after all effort of getting majority/popularity and trust from our prospect voters!Dam hurt.
 
Chadema on the brink of collapsing. Nawaonea huruma sana, nilifikiri ndio kitakuwa chama ambacho kidoogo kitaleta ushindani wa dhati.

Yote ni kama ijulikanavyo, Mbowe anaki-manage hicho chama kama anavyo manage night club.
 
jiulize kama night club haijafa ni lini CDM itakufa?
 
Nilishasema tangu mwanzo Shibuda huyu watakuja kujuta CHADEMA, watu wakasema ooh, aaah. Hajaweza hata kumaliza fungate la ushindi tayari matatizo.

CHADEMA hawawezi kusema Kiranga hajawaambia hapa.
 
Kuna haja ya watu kuchunguzwa kabla ya kujiunga na chama hasa wanaotokea CCM maana ndio naona kwa maoni yangu huleta matatizo.Heri kuwa na wabunge wachache wenye maadili
 
Mie cna imani kbs na shibuda yule ni ccm pure!aende tu asituchafulie hali ya hewa
 
My friend, mimi sisemi kitu, maana I am CDM hater number one! ninapoona mawazo ya wengine hivi, siyo kuwa nafurahi tu bali ninaona kabisa kumbe sio wote waliolala!

kwa CDM Shibuda is another nightmare, however, ameongeza idadi ya wabunge na ameongeza ruzuku, who cares now? Shibuda hata asingekaribishwa CDM angeshinda kwa chama chochote kile, huo ndio ukweli.

cha uone kesho kuna nini!

Watu huku mitaani tunajua Zitto vs Uongozi wa CDM. Zitto Vs waliokuwa na imani nae (including myself). Makosa ya Zitto wala sio ya kusingiziwa,lile la TBC1 limekera watu na kama nyie mnamsapoti mnamchimbia kaburini. Hili bado ni tete na tunahitaji maelezo ya hio kamati ya CC.

Politics is to win majority (ameshindwa ndani ya chama na nje pia). Kweli mmeshindwa kuwashawishi watu ndani ya CC to implemet your views? shame. Democrasia gani mnaongea?

CDM vs CCM - Mafisadi (majority ya top leaders CDM wapo kuwatumikia wananchi. Hivi Bashe anaweza kumuapproach Mbowe hata kwa mazungumzo ya dakika? Atamwambia nini? what if kwenye yale mazungumzo ya Lowassa na Mbowe kuhusu walk out ingekuwa ni kati ya Lowassa na Zitto? i am saying this. ZITTO HANA KIBESI ZA KUMTUNISHIA LOWASSA.

Mbowe utatupia mawe tu lakini tutasimama nawe, wameona kama hilo halifai wameanza kumshirikisha Dr. Slaa na wajumbe wengine CC. Hakika siku Dr. Slaa akizungumzia hizi tuhuma sijui mtajificha wapi.

Salama ya Zitto kujiuzulu tu uongozi then aanze moja kama anazile ndoto za kuwa greater leader. Kumbukeni ni politics there is no permanent friendship but interest.

Alhaj ANS.
 
lazima tufaham ya kwamba ccm wana ajenda kubwa ya kuuwa upinzani wa kweli,na hadi sioni wapinzani wa kweli kwani wengi wao walitoka ccm ili kwenda kuuruga upinzani, hebu kumbuka akina mrema,marando na wengineo wote ni ccm, ila wanatuchanganya tu. I dont trust these guys completely.
 
Back
Top Bottom