John Shibuda: Mbowe ni dikteta

KIoNGOZI YEYOTE LAZIMA UWE NA VIELEMENT VYA KIDIKTETA OTHERWISE UTAKUWA UNACHEKA TUU KAMA JEYKEI.LAZIMA UDIKTETA KAMA BEN MKAPA.KAZA BUTI MBOWE

Then tuache kulialia kwa kisingizio cha demokrasia.............Hivi Dikteta Kikwete mtamvumilia hata pale atakapokandamiza maslahi yenu yenye kutishia maslahi ya Taifa???

By the way, I thought vyama vya upinzani Tanzania vilianzishwa kuleta Demokrasia....ama hiyo ilikuwa ni kauli mbiu tu isyokuwa na chembe ya imani ya kweli????
 
Ndugu wana jf, mi maoni yangu kuhusu mbowe kutuhumiwa na baadhi ya viongozi wa CDM,kua anaendesha chama ki dikteta si za kupuuzwa, kwa mfano hata kitendo cha akina zito kutofika bungeni siku ile ya hotuba ya JK,ni ishara tosha kua kuna matatizo ndani ya chama, ingawa akina halima mdee walitoa excuse mbalimbali za kutofika kwao kabisa lakini ukweli wanaujua wenyewe, hivyo basi chadema inapokua ina wachunguza akina shibuda na Zito ni vizuri imchunguze na mbowe,kuna wav wengi na mimi nikiwemo ambao hatuna imani kabisa na vyama vyetu vya siasa, lakini na cdm jinsi ilivyojipanga vizuri na kuzieleza sera zake kwa wananchi,hata sisi tuliona huenda cdm ikawa ndio mkombozi wetu, sasa basi hali ya migogoro kama hiyo mlionayo inatuvunja moyo na kutufanya tuhisi kua na nyie mnatafuta maslahi yenu binafsi. Mi napendekeza mbowe atoke kwenye kiti chake kwa muda then uchunguzi wa tuhuma dhidi yake ufanyike tena kwa misingi ya haki na ukweli na kama ikionekana ni kweli then aondoke halafu aje mwingine ambae atakaeweza kukinusuru chama kwa maslahi ya taifa zima. Mi yangu ni hayo tu.

-----------
Mawazo yangu, kwa hatua changa ya chama ni muhimu Mbowe kuwa dikteta kwa level fulani kwa sababu CDM ina wapinzani wenye nguvu sana na isipofanya baadhi ya maamuzi kidikteta basi itakufa. Hii ni hatua muhimu sana katika ukuaji wa chama hasa kwa mazingira haya ya kimaskini na intelligensia kutumika kuhujumu chama, hata katika hatua za awali za kukua kwa ccm na maendeleo ya nchi ilikukuwa ni muhimu kwa Nyerere kutumia udikteta vinginevyo tusingeweza kupiga hatua. Katika hatua hizi za mwanzo, ni muhimu sana viongozi watumia udikteta kiasi, bila hivyo kuna hatari wajinga baadhi ndani ya chama kutumika na wapinzani wa CDM.

Mie naunga mkono utendaji wa Mbowe, keep it up!
 
kuna mwalimu wangu mmoja alisema demokrasia ni kitu cha ajabu sana, unaweza ukatatua au kupata matatizo kwa njia ya demokrasia, si ya kutmika vibaya , ina mahali pake, wakati wake, na kwa sababu zake.

Kwa mfano 1+1=2, endapo kama mimi mwalimu nikawafundisha wanafunzi kuwa 1+1=2 wakakataa na wakasema ni tatu basi hatima ya ubishani wetu unaweza kumalizikia kwa kusema tupige kura, kumbuka wanafunzi 40 against mwalimu! Kura zitapigwa, wanafunzi ni wazi watashinda na wengine wachache watakuwa kwangu, kwa lengo tu la kubishana na mwalimu! Kwani wakishinda ndiyo jibu sahihi kuwa 1+1=3?????
Facts hushinda truth

kisingizio cha kupiga kura ni kizuri kwa demokrasia lakini kuna yaliyojificha nyuma ya hilo,. Hila??

tunakujua ww ni msemaji wa zitto na ni anti-cdm
 
Back
Top Bottom