Hera majimbo ya upinzani uwa zinapelekwa kweli mnyika afanyaje.si mkuu no kupekeka hela auHivi Mnyika anajua Kibamba mpaka leo barabara kibao zinapitika kwa shida sana,akipata muda apite Segerea atashangaa sana
Sadist a person who rejoice on other people misery [emoji24]sadist
As stupid as youMnyika is stupid!
Sadist ni neno lenye fumbo zito sana. Ili mtu alielewe basi English Grammar iwe imelala vizuri kichwani.
Neno "Sadist" ni Etymology.
Limetokana na neno la Kifaransa "sadisme". Limechukua mzizi kutoka kwa mwandishi "Marquis de Sade", aliejulikana sana kwa ubingwa wake wa uandish juu ya maswala yanayo husiana na UHURU, miongoni mwa maandishi yake ni "Kupata Furaha/Amani/Utulivu kwa kutia maumivu watu wengine".
Mnyika wa dhaifu na Mnyika wa sadist ni watu wawili tofauti.Uzuri wa Mnyika akiamua kupinga anapiga kweli kweli, yule alikuwa dhaifu huyu ni sadist.
Kongole meeen!!Just like you, idi0t!
AminaMungu mbariki Mnyika .
Kama ingekuwa viwango vya u-stupidity vingepimwa basi wewe ungekuwa na kiwango cha kutisha cha U-stupidity.Mnyika is stupid!
Kama ingekuwa viwango vya u-stupidity vingepimwa basi wewe ungekuwa na kiwango cha kutisha cha U-stupidity.
As stupid as you
mbona kama kweli,daaah ila hawa jamaa wa upinzani japo sio wote ila wengi wao ni great thinkers saana,huu ni ukweli na ukweli unaumaNi maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
Nyani Ngabu kwani umekuwaje siku hizi!!
Kusambaza taarifa za matusi kwa watu ni uhalifu,huyu anastahili kushtakiwa mahakaniKama ni tusi kwa nini ushiriki kusambaza matusi?